nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua gari kwa mara ya kwanza kutoka Sbt japan. Msaada wa procedures.

    Habari za kazi wanandugu. Kazi iendelee ila irekebishwe kidogo maana tozo na ugaidi vimezidi. Twende kwenye mada. Mimi nina uzoefu kidogo kununua magari kutoka Beforward, kwa mara ya kwnza nilitumia wakala, ya pili nikazama mwenyewe mtandaoni nikachagua ninayotaka process zote za malipo hadi...
  2. JamiiForums Tanzania Nataka nikaishi Burundi au Rwanda; naombeni ushauri na muongozo cha kufanya

    Habari wadau! Nataka kuhama Tanzania niende nikaishi zangu Burundi au Rwanda naombeni ushauri na muongozo wa maisha kule.
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kujua thaman na ubora wa pikipiki aina ya Boxer

    Wakuu hivi karibuni natarajia kununua chombo cha moto (piki piki) Mapendeleo yng ni kuwa na piki piki aina ya boxer,lkn naziona zipo tofaut tofaut,zingne nasikia zinaitwa mdomo wa mamba.. Kwa anaejua tafadhari; Ipi ni Boxer imara zaid kuliko nyingne? Bei yake imesimama ngapi huko madukani...
  4. JamiiForums Tanzania Nataka kuoa ifikapo mwakani. Naanzaje kujipanga na ndoa?

    Kuna binti wa kisukuma nina mpango wa kumuoa na home kwao tiyari natambulika. Nipeni maujuzi ya kujianda na ndoa na maisha ya ndoa maana soon nataka nianze process za ndoa. Kuhusu dini yeye Pentecosti na mimi Moroviani
  5. JamiiForums Tanzania Nataka kuhamia Botswana naomba muongozo

    Wakuu habari zenu! Jamani mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nataka kubadilisha mazingira nihamie Botswana 🇧🇼 japo kibishi bishi ,naomba ushauri au connection. Asante.
  6. JamiiForums Tanzania Simu nikitype message kwa Kiswahili nataka yale maneno automatically yawe saved ili next time nikitumia hayohayo kwenye kutype nichague tu

    Hii naamini ni settings tu Nataka Simu nikitype message kwa Kiswahili nataka yale maneno automatically yawe saved ili next time nikitumia hayohayo kwenye kitype nichague tu Aina ya simu Redmi Nisaidieni.
  7. JamiiForums Tanzania Nataka niongeze tattoo mkono wa kulia

    NAtaka kuchora tattoo mkono wa kulia ili kuendana na hiyo ya kushoto, napokea ushauri
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nataka nitrack simu ya mwanangu nifanyaje

    Habar wadau !! Nina mtoto nyendo zake sizielewielewi sasa nataka ni hack SMS za kawaida ili niweze kuzisoma bila kushika simu Nataka nimtumie link either whatsapp au gmail kisha nimpigie nimwambie abonyeze io link kisha mm niweze soma sms zake huku Nifanyaje NOTE sitak purchase plan...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya Husle za hapa na Pale kuzingua nataka nije na hii plan

    Niajee wadau, baada ya husle zangu za hapa na pale kutoonesha matunda mazuri kutokana na kuwa connection hafifu nimekuja na plan hii.. Nataka niingie CCM, niwe mwanachama kindaki ndaki wa CCM yaani mpaka nitengeneze connection kwa ajili ya fursa nizitarajiazo. Je kwa wazoefu is this working...
  10. JamiiForums Tanzania Nataka Nifanye hii Biashara, Wazoefu Tusaidiane

    Niaje wakuu.. Kuna Hii Biashara ya Vibanda vya Movie naona ina return nzuri asee.. 30K per Day kawaida sana. Nimeipenda kwani ina mtaji mdogo lakini pia ni ngumu kuleta Hasara na pia rahisi kufanya. Sasa mie nataka niweke Goli hilo liwe la kuuzia Movies, Miziki, vitu kama Flash na accessories...
  11. JamiiForums Tanzania Nataka kufunga satellite dish mwenyewe

    Ninataka kufungu satellite dish mwenyewe. Ni la kampuni ya Zuku. Ninaomba muongozo nilielekezee upande gani ili nipate signal na pia step by step jinsi ya kusearch chaneli
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua kiwanda cha kuponda na kukatakata plastic Bottle (PET bottle crusher)

    Habar wana jamii forum polen na majukumu leo nimeona nije na hii mada ngumu naomba kwa wenye uzoefu mnipe mbinu na changamoto za hii biashara Nina mpango wa kufungua kiwanda cha PET BOTTLE RECYCLING kiwanda cha kusaga na kukata chupa za plastic nimeongea na kampuni moja ipo china jina kapuni...
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya kuuza gesi

    Nina rafiki yangu mmoja ambaye amebahatika kukutana na kuongea na bosi mmjo wa kampuni moja kubwa iliyojikita kwenye biashara ya mafuta na gesi; katika maongezi yao rafiki yangu alipendezwa na kufanya biashara ya kuuza gesi. Wakakubaliana kuwa anataka kufanya biashara ya kuuza gesi iliyoko...
  14. JamiiForums Tanzania Nataka kuongezaka/kunenepa fasta, nipate diet gani?

    Kichwa cha habari hapo juu chahusika Baada ya kupata kazi na kuwa na uhakika wa kipato sasa nataka nishughulike na kutafuta mwili maana sifurahii huu wembamba japo sina maradhi yoyote yanayoweza sababisha hivi. Mimi ni kijana wa miaka 27 sijaoa naishi mwenyewe. Sasa nataka kuongeza mwili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…