natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

    Habari wana JamiiForums. Mimi ni mwanaume nina 33 yrs, nipo Dar, ni muajiriwa katika shirika fulani lisilo la kiserikali. Ishu kubwa inayonikabili ni upweke. Natafuta mwanamke wa kula nae maisha, awe ndani ya Dar es salaam. Awe smart na mchangamfu, asiwe tegemezi, awe ni muelewa na mwenye...
  2. 2

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi halali ya usiku, nipo Dar es Salaam

    Habari Wana Jf Mimi ni kijana na umri wa miaka 24, MALE, makazi yangu kwa sasa nipo Kigamboni Dar es Salaam Tanzania. Natafuta Kazi yoyote ikiwemo usaidizi, data entry, customer care, receptionist & ,casinos, ambayo naweza kufanya kwa muda wa usiku, au nyingine yoyote nje ya nilizopendekeza...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira za viwandani katika maeneo haya

    Habari zenu Wana jf, kijana wenu fresh from school natafu ajira kwenye angle zifuatazo kiwandani Quality control Production plan and control Project management Asanteni
  4. JamiiForums Tanzania Nina soko Uingereza la maharage haya natafuta patner mwenye mtaji

    Miaka mitatu nyuma nimewahi fanya kazi na wazungu fulani toka Uingereza ya kununua karanga, tulipomaliza waliondoka, last week walinichek wanataka haya maharage. Wao hawataki kuja huku, wanataka tani na tani za haya maharage baada ni biashara endelevu. Kwa hiyo natafuta mbia mwenye mtaji...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Looking for a job marketing positions or insurance principal officer

    I'm Denis sSamwel Mwalumuli 24 age I'm living in Tabata Barakuda, Dar es salaam I'm looking for a job from two kinds writing above heading, marketing position or either insurance principal officer because I have graduate and very experiences in this two derpatment. I'm ready to work any place...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ndogo

    Habarini wanaJf, natumai mu wazima wa afya. MwanaJf mwenzenu ninatafuta gari ya kufanyia biashara ya kusafirisha abiria kwa njia ya mtandao, lengo ni kujikwamua kiuchumi kwa kipato cha halali kama kijana. Leseni na account za uber, bolt na nyinginezo, ninazo, na napatikana Daresalaam...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kuendesha kama uber driver

    Salaam wakuu. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24. Naishi Dar es salaam, natafuta mtu mwenye gari ndogo ambaye anaweza kufanyia biashara ya uber. Uaminifu na juhudi ya kazi hapa ndio mahala pake.kwa yeyote anayehitaji dereva wa kazi hiyo anitafute kwa namba 0759429980. Shukran.
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta binti na kijana wa kiume tusaidiane kazi za Mgahawa

    UPDATE:- Asanteni Nyoote mlio onesha Nia na kuni connect na ndugu zenu. Bado nafanya maongezi, naimani waliojitokeza tukawasiliana wanatosha, kwa Sasa. Shukran Sana.
  9. JamiiForums Tanzania Elimu yangu ni kidato cha sita, natafuta ajira

    Habari za majukumu ndugu zangu, kwa mwenye connection ya ajira au kibarua naomba msaada, nipo MBEYA elimu kidato Cha sita naitaji nipambane ata kibarua kidgo ili nipate sehemu ya kujikeep bize nkisubr Mambo ya vyuo. Kwa mwenye msaada wowote namba yangu ni 0782284770
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta mashine ya kutengenezea pipi

    Kwa anae uza mashine ya kutengenezea pipi au anae jua wapi nitapata mashine ya kutengenezea pipi. Funguka please. With much thanks in advance
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira wizara ya fedha

    Habari wadau..! Leo nimeona nisikae kinyonge niombe kazi hapa JF,maana nimesikia watu wanalipana 100milion kwa siku nchi hii. Sasa na mm naomba mwenye koneksheni ya wizara ya fedha tupeane natafuta kazi hata ya kufagia, tukale wote keki,Cv yangu ipo poa tu nina PhD ya wanyamapoli😂😂😂
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayeweza kuwekeza kwa mtaji wa milioni 50 na kupata faida ya hadi milioni 70

    Ndugu wadau habari zenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Mimi nipo Geita najishughulisha na biashara ya madini ya dhahabu offisi ni ya watu so Mimi ni msimamizi na wakati mwingine natoa ushauri pale inapobidi, ili kazi iwe yenye tija zaidi. Kwa upande wangu huwa tu nalipwa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ndani ya Dar es Salaam

    Habari naitwa John Niko Dar natafuta kazi yoyote. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu Kenya, ila kwasasa Niko likizo. Natafuta kazi yoyote. Kazi ya halali. Mawasilano yangu: +254781847643( WhatsApp) +255755938804 +255714540040
  14. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali kwa Arusha

    Mimi ni Civil technician kutokana na uhaba wa contract za ujenzi kwa sasa niko mtaani naombeni kwa yoyote anayeweza kunisaidia kazi yoyote halali. Note sichagui kazi hata kama unataka kazi ya kibarua sehemu niko tayari kufanya.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Afisa Tarafa wa kubadilishana naye. Nije Morogoro aje Mwanza

    Wakuu hbarin za jion. Naomba afisa tarafa anayeweza kubadilishana kituo Cha kazi. Ajë mwanza me nishuke morogoro. Ahsanten
  16. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Tajiri wa Gari ndogo

    Habarini humu ndani, Mimi ni dereva natafuta tajiri mwenye gari ndogo, nifanye nae kazi mkataba ama hesabu ya siku. Asanteni
  17. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kibarua au kazi yeyote ile halali

    Habari ndugu zangu. Mimi ni kijana wa kiume Elimu: Bachelor of science in mathematics and statistics. Ninatafuta kazi au kibarua chochote kile halali, hata kuwa msaidizi kwenye shughuli yeyote ile halali. Hata kazi za kuanzia jioni mpaka usiku sana nafanya. Ninaweza kufanya masuala yahusiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta supplier wa kuku wa kisasa

    Natafuta mfugaji wa kuku wa kisasa ambaye tutafanya biashara. Nahitaji kuku kwa wingi! Mwenye nao tafadhali tuwasiliane. Location awe Dar es Salaam! Capacity: 500 pcs per week Uzito: 1+KG Bei elekezi: 5,500-5,800
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa , Ipagala au Nzuguni

    Salaam wadau. Natafuta Kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa, Ipagala au Nzuguni. Kiwe kimepimwa na kiwe na hati kwa Matumizi ya makazi. aksanteni.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke

    SIFA ZANGU Umri 36 Dini: Mkristo Elimu: Shahada ya Uzamili. Ajira: Mwajiliwa wa serikali. Urefu : 172cm SIFA ZA MWANAMKE Umri 30-36 Dini: Yoyote Kabila: Lolote. Elimu: Diploma na kuendelea. Kazi: Yoyote halali. NB: Mimi sina mtoto lakini yeye hata akiwa naye sawa tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…