Habari wakuu
Nimekuja kwenu kuomba yeyote mwenye kazi au connection ya kazi anisaidie.
Sifa zangu
Jinsia: Me
Umri: 28
Eneo: Dar es salaam
Elimu: Bachelor’s Degree in Procurement and Logistics Management
Naonngea kiingereza vizuri sana
Kazi ninazoweza kufanya kutokana na taaluma yangu ni idara...
Wakuu habari zenu
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema
Nina uhitaji wa ile chuma ya kazi iliyotumika kwa sababu bajeti yangu haitoshi kununua mpya.
Natafuta Senoray cc 300 used akiwa kwenye hali nzuri
Habari wakuu nina sony 10iii ilianza kuonyesha arama kam kotone ka wino kwenye kioo kadri nilivozidi kutumia na yenyewe ikawa inazidi kujaa wino kwenye kioo saa hizi hata siwezi kutumia tena na nipo mara nahitaji kioo chake
Natafuta tiba za mganga wa kiasili Tanzania. Sina nguvu tena mwilini, ya kuenda chooni haja kubwa na ndogo. Nguvu za hedhi pia zimetolewa mwilini. Akili nasumbuka sana. Usiku hua nalala na nyoka. Jirani wangu anahusika pakubwa sana. Hata nguvu ya roho walitoa kabisa, hua inavutwa na kitovu...
Nipo Dar es salaam natafuta KAZI yoyote ukiachana na professional yangu Nina Degree ya sociology and social work but nahitaji kazi yyte niweze kukidhi Mahitaji yangu unaweza kunipigia kwa namba 0777838901
NB NI SERIOUS ISSUE
kama kichwa kinavyojieleza je ni wapi naweza kupata sheets za acrylic zitumikazo kwa utengenezaji wa 3D texts na bei zake zipoje?
Hasa kwa Dar na Mwanza wapi naweza kuzipata
Wakubwa najua haiwahusu ila jana nimebadili dini rasimi na kua mwisilamu so nahisi naitaji marafiki wapya wanao elewa uislamu pls kama uko tiyali njoo inbox
Habari, mimi ni binti nina miaka 23, nimekuwa mpweke sana nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo, kupeana kampani n.k
Sifa zangu.
Najishughulisha
Mpole
Siyo muongeaji sana
Mkweli na muwazi
Kimo cha kawaida
Rangi maji ya kunde
Mwili wa kawaida
Sifa za rafiki...
Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto.
Sifa zake
Dini yoyote.
Umri 25-35
Kabila lolote
Rangi mweupe
Elimu at least secondary education.
Kazi yoyote descent
Awe anaishi DSM
Awe tayari kupima afya
Sifa zangu
Umri 41
Rangi black
Elimu postgraduate degree
Napatikana Dar
Kazi kibarua kwa...
Wakuu kwema?
Naamin mko vizuri, nina skills za uchoraj wa graphite pencil. Ninategemea kuunda kitu flani hiv kinachoshabihiana kabisa na hyperealistic drawing styles ili niweze kufanya biashara safi hapa Unguja.
Ninatafuta mtaalam wa sketch mitindo hii ya hperalism. Nina ujuzi pia na uchoraji...
Rasmi najiunga na Zemanda na Natafuta Ajira kwenye operation tokomeza simping!
kwanzia sasa wakurugenzi wa hii operation naomba mnitag popote mtakapokuwa mnazungumzia hili swala. We gotta save this generation!
Na kwa kuanza natoa some point on how to stop simping!
Daily moves to kill...
kama inavyosomeka kwenye kichwa, Natafuta Mbegu za mlonge zikiwa kwenye tunda lake (drumstick)
nanunua kwa gunia kama una magunia kuanzia 50 ama unaweza kupata magunia 50 nicheki
0692594263
Habari za wakati huu wanajamii wenzangu,
Naomba kuchukua nafasi hii kuwasalimia na kuwaomba msaada wenu. Mimi ni kijana mchapakazi, mwenye ari na nguvu za kufanya kazi mbalimbali ili niweze kujipatia riziki halali ya kila siku.
Kwa sasa ninatafuta kibarua chochote halali, iwe ni kazi ya muda...
Habari
Natafuta majagi ya brenda kama haya kwenye picha ambayo anayo tutafutane nitanunua maana ya kwangu yamepasuka naambatanisha na mashine zenyewe ili iwe rahisi kufahamu.