natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dereva wa Uber na Bolt natafuta gari la mkataba

    Kwa jina Naitwa Ernest ni dereva Uber na Bolt mwenye uzoefu katika kazii hii nina leseni yenye madaraja yote nilikuwa natafutaa Gari ya kazi iwe yenye private namba Au commercial kwa ajili ya kazi ' Kwa mawasailiano zaidi Ernest : +255628729873 Naomba ushirikiano wenu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Soko la Chainizi

    Habai wakuu Natafuta soko la chainizi kwa wenye kuhitaji shamaba lipo Morogoro, Berega ,na Nalenga kupata wateja toka sehemu za jirani kama Singida, Dar, Dodoma na Morogoro Mjini. Shambani panafikika kiurahisi maana lipo jirani na Barabara Kuu ya Dodoma Nina uwezo wa kuvuna gunia mbili za...
  3. JamiiForums Tanzania Afisa muuguzi II natafuta kazi au kujitolea

    Habari za wakati huu wanajamii? Mimi ni muuguzi, jinsia Me, umri miaka 25, naishi Bunju ,Dar es salaam nina leseni ya uuguzi, nina uzoefu wa kazi hii ya uuguzi wa mwaka mmoja. Naomba connection ya kazi kwenye hospitali, au kwenye mashirika ya Afya ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali au...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume Muislam

    Habarini. Kichwa Cha habari kinajieleza. Sifa zangu:- -nina miaka 33 -nina mtoto mmoja Alhamdulilah. -mpole,msikiv,mchesh. Sifa za nimtakae:- -kuanzia 34-45 -muslim -ukiwa na watoto sawa na nitawalea vizuri Nb:- kupima afya ni lazima hivo tutapima inshaAllah. Karibu ewe laaziz tumalizie...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimesoma Industrial Engineering Management, natafuta nafasi ya kazi au kujitolea

    A motivated, adaptive, and responsible ndustrial engineering maagement graduate seeking a position within which i will utilize my proffesional and technical skills. I have recently graduate at Mzumbe university taking Bsc in industrial engineering management and i currently looking to apply my...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva, hasa Uber na Bolt

    Ninaitwa Eliah Gwamaka. elimu yangu ni diploma ya IT. Pia nina leseni yenye madaraja C1, C2, C3, E na D.nina uzoefu wa kufanya Bolt kwa zaidi ya mwaka mmoja. Napendelea mkataba hata kama gari sio mpya. Napatikana ukonga Banana Dar es Salaam. Namba yangu ya simu ni 0686 574164. Natanguliza...
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi ya uhasibu Arusha

    Nahitaji kazi ya uhasibu nipo Arusha, elimu yangu ni bachelor of accounting and finance nimemaliza 2019. Nina zoefu wa kutumia tally na kuandaa cash statement vizuri katika computer. Pia nina uzoefu wa kufanya marketing and sales. Nilikuwa nafanya biashara ila mambo yangu yameenda tofauti kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta PS 2 used

    Wakuu Natafuta PS2 used. Kwa walioko Dodoma, tuwasiliane hapa
  9. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba 'Mwanamke ' - anayeishi Mbeya

    Kichwa cha habari chahusika. Natafuta mwanamke ambaye anahitaji kuwa na mwanaume for long term relationship ili kujenga familia pamoja. Sifa za mwanamke nimtakaye: 1. Awe anaishi mkoani Mbeya. 2. AWE TAYARI KUPIMA HIV 3. Awe na umri kuanzia 20 hadi 35. 4. Elimu yake kuanzia kidato cha nne na...
  10. JamiiForums Tanzania Afisa Muuguzi II natafuta kazi ni nipo Dar es Salaam

    Habari za wakati huu wanajamii? Mimi ni muuguzi, jinsia Ke, umri miaka 28, naishi Mbezi beach Dar es Salaam, nina leseni ya uuguzi, nina uzoefu wa kazi hii ya uuguzi wa mwaka mmoja. Naomba connection ya kazi kwenye hospitali, au kwenye mashirika ya Afya ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kununua Kisaki heka 50 - 200

    Wadau wasalaam! Nataka kuanza kilimo kikubwa maeneo ya kisaki, morogoro. Natafuta shamba la kununua eka 50 mpaka 200. Naomba offer au ushauri kwa yoyote mwenye ufahamu wa eneo hili. Asanteni.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke kwaajili ya mahusiano baadaye awe mke wangu

    Habarini Ndugu zangu Mimi ni mwanaume(Kijana), nina miaka 23. Dini yangu ni Mkristo. Elimu yangu ni Degree, sasa hivi ni mjasiriamali. Natafuta binti wa kuanza naye mahusiano awe na miaka kati ya 18-22, ambaye mahusiano yetu yatapelekea kuwa wanandoa. Kama uko tayari tuwasiliane Inbox...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, elimu yangu ni Form Four

    Naitwa Isaya Joseph Natafuta kazi yoyote ukuweza kujikimu kimaisha. Elimu yangu ni Form Four Kazi nilizowahi kuzifanya awali ni kama ifuatavyo-: Stationary miezi 6 Mashine za kusaga nafaka miaka 2 Afisa mikopo kwa wajasiliamali wadogo wadogo mwaka 1 Uwakala wa m-pesa, tigopesa mwaka mmoja...
  14. JamiiForums Tanzania Nipo Mwanza natafuta kazi, nilisoma mpaka kidato cha tano

    Wasalaam ndugu zangu katika jukwaa hili... Mimi ni kijana wa miaka 24 nipo mwanza manispaa ya ilemela ñaomba mwenye nafasi yoyote ya kazi sehemu yoyote na mahali popote nipo tayari kufanya kaz elimu yangu ni kidato cha nne nilibahatika kufika mpk kidato cha tano lkn sikuweza kumaliza kutokana...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuanzisha naye mahusiano

    Naitwa John natafuta mwanamke aliyepevuka na mwenye upendo. Sifa zangu: Nina upendo wa dhati Najituma Nimsikivu na mwelewa Sipendi kelele🤣🤣🤣 Niko simple Sana. Sifa za nimtakaye: Awe na upendo Mpole sanaaa Muelewa na awe simple tu kama Mimi Mawasiliano yangu +254781847643. (WhatsApp)...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/ajira

    sifa zangu elimu: shahada ya kwanza katika procurement and logistic managemen location: dar. Licha ya taaluma hiyo, kazi yoyote halali nitaipokea. natanguliza shukrani.
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira fani ya Kilimo

    Habari wana JF Nina Diploma in General Agriculture natafuta kazi katika fani hiyo.Mshahara maelewano.
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta Bwana/Bi Shamba (Crop Production Specialist) wa kusimamia shamba kwa muda wa miezi 6 kuanzia Oktoba 2021

    Natafuta Crop Production Specialis wa kusimamia shamba langu lililopo Dodoma eneo la Zuzu nje kidogo ya Jiji la Dodoma. Shamba hilo ni jipya (halijawahi kulimwa) litaanza kulimwa kuanzia Oktoba 2021. Kazi ya kusimamia shamba hilo itaanza mwezi Oktoba 2021 na itaendelea kwa muda wa miezi 6...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta gari ndogo Dar budget 4mil

    Tafathali rejea hapo juu, Binafsi natafuta gari ya mishe za hapa mjini. budget 4mil Namba kuanzia B..japo hata Kama una A unaamin Ina thaman tupia haina shida maana mi fundi ntaikagua mwenyew Vits RS /ist/gx110 ndo huwa mpenz Dondosha picha na namba nichambue
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kurudisha email iliyosahaulika password

    habar ndugu zangu natafuta mtaalam nitakayemlipa kama tutakavokubaliana ili anirudishie email yangu ya gmail ambayo nimesahau pasward zake..namba nilizoweka kwenye email ni mbili lkn nikibonyeza forgot pasward wanatuma code nikiingiza code,wanataka kutuma tena kwenye namba yapili. kibaya zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…