natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Watu wa Mungu mpoo? Mimi ni member wa JF tangu miaka ilopita nimekuja na ID tofauti ili nieleze yaliyonikuta iwe funzo na ushuhuda kwa wengine. Niliweka post hapa mika ilopita na kwa bahati tu sijui niseme nzuri au mbaya ila Mungu ndio anajua, nikapata mwanaume ambaye tulianza mahusiano...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Habari zenu wapenzi. Mimi ni mwanamke wa miaka 26. Ninahitaji mwanaume atakaye kuwa mme wangu Sifa zangu: 1. Ni mrefu kiasi wa cm 170 2. Nina rangi ya maji ya kunde 3. Nina shape ya kibantu, nimejaaliwa umbo 4. Nina elimu ya chuo kikuu shahada ya uzamili (Masters) 5. Ninafanya kazi ya kuajiriwa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Mimi ni kijana umri 36, nina elimu ya college, sijawahi kuoa na sina mtoto, napatikana Dar. Natafuta rafiki wa kike umri 30-34, awe na elimu angalau form 4, asiwe amewahi kuolewa, kama ana mtoto asizidi 1, nahitaji mtu mwenye malengo na mawazo ya kimaendeleo. Nahitaji mtu ambae kama...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ili niweze kujipatia kipato

    Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye miaka 25 nipo Shinyanga, level yangu ya elimu ni shahada ya awali ya elimu katika masomo ya geographia na historiaa. Natafuta kazi yoyote ili niweze jipatia kipato iwe ndani ya nilichosomea au nje ya kada yangu maana uzoefu nilionao nimewahi fanya kazi katika...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi Civil Engineering

    Habarii ndugu zangu Watanzania,Mimi ni mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzii (ordinary diploma in civil engineering) kutoka chuo Cha ufundi Arusha mwaka 2020.Natafuta kazi kwenye sekta binafsii au hata kama mtu anawezaa kujitolea kunipa connection serikalini Nitashukuru maisha mangumu mtaanii.
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta mkulima mwenye stock ya soya

    Hello! Natafuta mkulima au mtu mwenye stock ya Soya beans ile ya njano kuanzia tani 3 anipe na bei elekezi. Nimeweka picha ya Soya.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Habari wana JF, Natafuta mwanamke ambaye yupo tayari ku settle na kuwa mke wangu halali na kujenga familia pamoja. Sifa za huyo mwanamke ziwe kama ifuatavyo: Mwenye hofu ya Mungu Anayejielewa na mwenye nia ya dhati ya kuwa na mume Elimu: KUANZIA DIPLOMA na kuendelea Awe na shughuli halali -...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi katika fani ya Kilimo

    Habari za wakati Wana JF, mimi ni muhitimu wa SUA katika FANI ya horticulture nipo natafuta nafasi ya kazi KATIKA FANI husika(kilimo) naishi mkoa wa songwe ila nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote Tanzania Natanguliza shilukrani Napatikana kupitia email yangu: yitzhakedward@gmail.com
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Arusha

    Habari zenu Natafuta kazi ya ofisini lakini pia nipo tayari kufanya kazi yoyote halali,mimi ni mwanamke,naishi arusha,nina miaka 33, elimu yangu ni certificate of human resource. Natanguliza shukrani zangu.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nimehamishiwa Dar es Salaam kikazi natafuta samani za ndani used(BUDGET TSH 1M)

    Bujeti yangu ni TSH 1M ninatafuta 1. Kitanda used bila godoro 2. Sofa zilizo kwenye hali nzuri 3. TV flat screen size yoyote 4. Friji used
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Kwa majina naitwa Hussein Mohamedi Bendera kijana wa Kitanzania umri wa miaka 27. Nachukua nafasi hiii kuwajulisha ndugu zangu kuwa natafuta kazi yoyote ile ya halali inayotumia nguvu ama ya elimu, kwenye elimu kiwango changu nilichofikia ni kiwango cha Degree na katika kozi ya ualimu (BAED)...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbia Mwenye Karasha

    Kama ujumbe unavyojieleza nipo north Mara,natafuta mtu ambaye anamiliki krasha tuingie naye share,eneo la kuchimba Niko nalo na dhahabu inapatikana ,aliyeko serious anipm
  13. JamiiForums Tanzania Niliwahi andika natafuta mganga

    Watu wa wahumu Leo naomba umakini wenu ,nilienda lindi mbali sana kufuata msaada ila umegoma nikasema basi tu. Nikaanza kuomba kiaina ila msiniambie bhana unaenda huko bado au sijaenda huko Kwa hao watu kweli siwezi sema hapana ila nilizunguka sana nikasema bullshit. Nikaanza maombi na kweli...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kibaha cha Tsh. 1m

    Habari. Kama ambavyo kichwa cha habari kisemavyo hapo juu natafuta kiwanja 25 mita kwa 20 mita nina sh 1m. Eneo Kibaha yote isipokuwa Mlandizi na Bagamoyo. Ni pm
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga Maeneo ya Banana, Buza, Kinyerezi, Segerea na karibu yake

    Hello wadau' Natafuta chumba Cha kupanga Maeneo Kama title hapo. Kama una namba za madali Maeneo hayo naomba unisaide. Natafuta master room Tiles, gypsum all that Maji umeme usiwe shida na iwe karibu na Barbara Kusiwe na msongamano wa wapangaji wengi. Bajeti: kisizidi laki
  16. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke mwenye VVU

    Habari zenu wakuu? Natafuta mwanamke anayeishi na VVU. Umri l kuanzia miaka 34 mpaka 45. Kwa aliye serious anipm. Au Kwa E-mail kakumbise5@gmail.com
  17. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuishi na kuwa mke baadaye

    Habarini mimi ni mgeni humu. Nimetokea kuupenda huu mtandao Nina miaka selasini (30) natafuta msichana wa kuwa naye niko serious. Vigezo vyangu ni hivi 👇🏾 MUONEKANO: mrefu wastani, handsome kiasi sio sana, sina uhuni ni mstalabu Kabila: Mmeru Umri: 30 Dini: Mkiristo Elimu: La 7 Kazi: Kubeba...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Turbo na fuel Pump ya Nissan Patrol Y61, engine zd30

    Habari ya leo wakuu, Natafuta Turbo pamoja na fuel pump ya Nissan Patrol Y61, ZD30 engine tafadhali nicheki whatsapp kama unayo, Asante. +255675308774
  19. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Awe na umri wa miaka kuanzia 45 hadi 50... Awe mfanyakazi mawasiliano PM
  20. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Uhasibu

    Nnnnnn
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…