natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Poleni na mihangaiko ya siku nzima Wakubwa zangu kwa Wadogo zangu., Kama mada inavyojieleza natafuta kazi yoyote halali ambayo inaweza kunikwamua kwenye hii hali mbaya niliyonayo ya kiuchumi maana nimekuja kujikuta nina msongo mkubwa wa mawazo. Sifa zangu: Mtahiniwa wa mitihani ya ATEC 2(Hapa...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kuuza juisi za matunda

    Habari za humu jf, nina tafuta kijana (akiwa wa kike itakuwa vizuri) kwaajili ya kuuza na kutembeza juisi za matunda maeneo mbalimbali. Umri: Chini ya miaka 24 Location Dar es Salaam (Kigamboni) Mshahara: Makubaliano kima cha chini ni 150,000/= kwa mwezi (kwa kama akiweza kuuza angalau dumu 3...
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta kazi

    Wana jf kwema, natafuta kazi yoyote iwe halali nipo Arusha, professionally mm ni mwalimu wa Geography na history. Nina ujuzi wa computer. Fluent in English and Swahili.
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kunyoa Dar au Arusha

    Habari zenu, Mimi ni kinyozi mzoefu natafuta kazi ya kunyoa, nipo tayari kufanya kazi Dar au Arusha, Aliye tayari a nitumie mawasiliano yake pm.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za Video production na Matangazo kwa kulipa anayeleta dili

    Habari wadau. Tumefungua Ofisi mpya studio tunatafuta kazi za video production, kuandaa matangazo, video shooting, Event Management kwa mwenye dili hilo anicheki tuangalie tunafanyaje. NB: Malipo yapo kwa atakayeleta dili.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mume aliye serious anayetaka mke. Nina miaka 36

    Mimi ni mwanamke, umri 36, naishi Singida, makazi rasmi ni Arusha. Kazi ni Secretary nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa nina mtoto 1, Mkristo mhofu ya Mungu, body size medium, situmii pombe. Natafuta mchumba/mume, umri miaka 37-40, awe Mkristo, mwenye hofu ya Mungu, mwenye kazi yoyote...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu

    Habarini ndugu, jamaa na marafiki. Mimi ni mwalimu wa Chemistry na Biology. Nina uwezo wa kufundisha primary, secondary na advanced level. Nipo mbeya. Please mwenye kujua shule yenye uhitaji au connection anijulishe. Namba ya simu: 0766698323
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta audio/soundtrack ya kwenye movie ya my darling

    WAKUU Nilikua natafuta SOUNDTRACK ya movie ya MY DARLING ya Mussa Banzi ndani ya ile movie kaimba yule KIPOFU aliitwa TAFU Eeebwana eeeh lile Beat sijui alinyonga P FUNK MAJANI Maana ni balaa nikikumbuka. Beat kali,Ujumbe mkali na muimbaji aliimba kwa hisia sana . YouTube hii movie haipo ,nahisi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta web designer

    Kama wewe ni web designer mzuri nipe ofa yako PM kwa ku-design website kama hii ya Findel International. Biashara yangu ni kama yao 100%. Kitu ambacho sitataka kama wao ni huo mfumo wa malipo (payment integration)... kwa sasa sihitaji. Visit hiyo website kupitia link niliyokuwekea kisha njoo...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta wimbo au teaser ya kipindi cha watoto zamani huko RTD. Wimbo unaimba Chei Chei shangazi

    NATAFUTA wimbo au teaser ya kipindi Cha watoto zamani huko RTD. Wimbo unaimba Chei Chei shangazi. Tufirahi shangazi tufirahi shangazi
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta unlock codes za Samsung Note 10 5G

    Natafuta codes za simu tajwa hapo juu, Mwenye nazo aje tuyajenge, nakaribisha wadau wote
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali

    Nina umri wa miaka 28 ninaishia Bagamoyo maeneo ya Mapinga shule ninao uzoefu wa kutosha kwa kazi hiyo nimefanya kazi ya stationery kwa zaidi ya miaka 7 na Secretary hivyo ninaouzoefu mkubwa katika utendaji wa kazi hiyo.na kazi ya uwakala wa benk na tigopesa na Mpesa,usafi ofisini. Ninaouwezo...
  13. JamiiForums Tanzania Website developer (wordpress developer) Natafuta Kazi

    Habari wanajf, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni self taught web/wordpress developer Natafuta kazi kama website/wordpress developer Niko tayari kufanya kama freelancer,part time, remote au full time. Kama unamjua mtu yeyote mwenye connection ya kazi, au unaijua web development...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba atakaye kuja kuwa mke

    Hello! Mimi Ni kijana mtanzania Elimu shahada ya kwanza katika sayansi (Kemia) umri Miaka 28 nimejiajiri. NATAFUTA mwanamke ambae atakua mchumba na Kisha kuwa mke.. dini awe mkristo na mcha Mungu. Elimu angalau awe diploma.. Awe tayari kuishi mkoani Mbeya... asiwe na mtoto.... awe...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba master Kinondoni b au studio au Sinza

    Habari Wana jamii natafuta chumba maeneo ya Kinondoni kiwe self contained 100k kwa mwezi Hit me up
  16. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Houseboy

    Wakuu natafuta kazi ya Houseboy au kibarua chochote. Nipo tayari kwa mshahara kuanzia laki 1 (malazi na chakula juu ya boss). Kazi nazoweza kufanya usafi wote, kutunza bustani na garden, kulisha kuku au nguruwe, kuosha magari pia kuuza maduka nina uzoefu. Hivyo naomba yoyote aliye tayari...
  17. JamiiForums Tanzania Thread inayohusu Bearing za viwandani karibu kwa uzoefu

    Natafuta connection ya hizi Bearing 22217 zinatumika viwandani mwenye anazijua please share uzoefu
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta Kijana aliyesomea mambo ya Management, Dar es salaam

    Kwema Wakuu! Leo sina mengi ya kusema. Ninatafuta kijana awe wa kike au Wakiume aliyesomea mambo ya Management Kwa ngazi ya Shahada. 1. Awe na uzoefu walau Mwaka mmoja. 2. Elimu kuanzia Shahada moja. 3. Ajue kuongoza na kusimamia Watu. 4. Awe Dar es salaam Mahali; Dar es salaam Mshahara...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba (KE) Njombe

    Mimi kijana (ME) wa miaka 25, natafuta mchumba serious, awe na miaka 22-30 Nipo mkoa wa Njombe. Nimeajiriwa kipato 200k kwa mwezi. Shukrani.
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba (mwanamke)

    Naitwa Alex, Elimu yangu ni Degree pia ni mwajiriwa natafuta Mchumba yaani mwanamke wa kuoa. SIFA Awe na elimu kuanzia Diploma na kuendelea. Awe mweupe au maji ya kunde. Asiye kunywa pombe. Awe mwenye hofu na Mungu. Awe hajazaa na Kama amezaa asiwe na zaidi ya mtoto mmoja. Awe mrefu au mfupi Ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…