natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mawasiliano ya kampuni ya KYOSK mkoa mwanza

    Habari za wakati huu wakuu. Mimi ni kijana ambaye nimeamua kitumia mtandao kutengeneza CONNECTION za biashara. Leo hii naomba kama kuna mwenye mawasiliano ya kampuni ya KYOSK mkoa mwanza anisaidie. Au kama kuna watu wa KYOSK wako humu naomba wanitafute nipate mawasiliano yao. Kwa wale...
  2. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuchat nae awe mid 20-25yrs

    Nina free time ya kutosha kwa sasa natafuta ke wa kuchati nae mambo mbalimbali za mapenzi, pesa, ndoa mahusiano na mambo mengine ya kimaisha nitamshauri atanisahuri kama upo njoo pm
  3. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha primary, o level au Advance

    Jamani penye gap Tafadhali nahitaji Shule yakufundisha primary, o-level au Advance, Elimu Degree, masomo chemistry na biology, advance pcb mkoa wowote Tz, Mawasiliano 0627144965🙏
  4. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Nina stashahada ya uhandisi wa mekaniki

    nipo mkoa wa Dar es salaam,
  5. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi selemala mwaminifu Na vijana wawili wa kufanyanae kazi kwenye Workshop.

    Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea.Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza. Ofisi ipo Chanika na...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi selemala mwaminifu Na vijana wawili wa kufanyanae kazi kwenye Workshop.

    Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea. Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza. Ofisi ipo Chanika na...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi selemala mwaminifu Na vijana wawili wa kufanyanae kazi kwenye Workshop.

    Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea.Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza. Ofisi ipo Chanika na...
  8. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Wachina mitano tena, Natafuta spear Original za pikipiki kutoka machimbo ya wachina nimesikia wametufikia

    Hapo vipi? Ni baada ya kuvumilia kwa muda mrefu kutokana na kuuziwa spare(vipuri) vya pikipiki yangu (TVS) msaada wa kwenda kazini kwangu fake kwa bei ya juu sana, baada ya mwezi kimekufa. Naomba kuulizia tafadhari, enyi wakazi wa dar (mimi nipo mkoani) ni eneo gani nikifika hapo dar es salaam...
  9. Mr dollar

    JamiiForums Tanzania Natafuta single mother wa kuingia naye kwenye mahusiano

    Kama kisemavyo kichwa cha habari Awe ana-ishi dar ambaye yuko tayari anakaribishwa
  10. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania House4Rent Natafuta nyumba ya kupanga Kigamboni

    Habari ya wakati huu wadau. Nahitaji nyumba ya kupanga Kigamboni , haswa eneo la Mjimwema au Gezaulole . Sifa : Nyumba iwe na master bedroom, Sebule na Jiko, isiwe mbali na barabara, Umeme na Maji viwepo. Kwa mwenye kuweza kunifanikishia hitaji hilo tafadhali naomba tuwasiliane. Natanguliza...
  11. M

    JamiiForums Tanzania WAKUU NATAFUTA CHUMBA CHA 30000 KIMARA AU MBEZI KUFKA ROAD NAULI ISIZID 700

    Wanajf mnisaidie nisje lala nje ukiisha mwez huu nahitaji room kwakwel Uz tayari msaada uwe mwingi kuliko kashfa
  12. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki alieko Zambia / congo / Malawi/ Comoros

    Jinsia yoyote Umri wowote Urafiki Tu Friends with benefits
  13. Ubumuntu

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana wa kuwapatia vitendea kazi kwa mikataba

    Salaam! Nina vitendea kazi kadhaa (vitazame hapa chini) ambavyo nilinunua kwa ajili ya biashara. Lakini kutokana na kutokuwa na muda wa kuendesha biashara, vitendea kazi hivyo havitumiki kama vilivyokusudiwa. Vitendea kazi vyenyewe ni hivi: 1. High pressure washer machines: zipo mbili. Moja...
  14. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuwa ananiazima gari! Nakua namtoa kishikaji

    Nina plan ya kununua gari lakini naona safari kama ndefu sana. Kwaiyo nilitaka nianze kupata uzoefu na magari kwanza. Nataka mshikaji ambae anaweza kua ananiachia gari kwa bei ndogo isiwe kam bei za kukodi kwa ajili ya kugain experience. Niko mwanza.
  15. Gweny

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali nipo Mbeya

    Hello JF family, Nina umri wa miaka 26 (mwanamke)nina cheti cha kidato cha 4, pia nina mtoto mmoja. Naomba mnisaidie nipate kazi ili nijikimu na mwanangu 🥹 maisha magumu sana. Nina kipaji cha kupika na ninapenda sana kupika. TIA
  16. Yerusalemu30

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya masoko(marketing) au mauzo(sales)

    Mahali: Mwanza. Fani: Uhusiano wa Umma na Masoko Uzoefu: Mwaka 1
  17. M

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi yoyote ya kuweza kujikumu

    Habari naitwa Mary natokea Shinyanga natafuta kazi yoyote ya kuweza kujikumu iwe apa mkoano Shinyanga
  18. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nissan murano

    Habari zenu Natafuta Nissan murano. Ya mwaka wowote. Nina sh 8m sina ya ziada. Mwenye nalo anitaarifu humu
  19. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo Cha veta kinacho fundisha Architecture Au Mechanical

    Mimi ni degree holder, ila nimekuwa motivated kwenda veta ,kusoma hizo kozi tajwa hapo juu Nataka chuo kilichopo Dar es salaam. Sina background ya hayo mambo, Mimi ni muhasibu
  20. Jackson QUECA

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua chochote, nipo Ubungo, Dar es Salaam

    Nikijana mchapakazi, mwenye hofu ya MUNGU, pia ni mwaminifu, Elimu yangu na stashahada(diploma) secondary education(physics, biology),kwa upande wa VETA kama nikipata sponsor hata sasa, nipo tayari kwenda ila kwa sasa, Mimi ndio Baba Mimi ndio Mama🙏.
Back
Top Bottom