natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuwa ananiazima gari! Nakua namtoa kishikaji

    Nina plan ya kununua gari lakini naona safari kama ndefu sana. Kwaiyo nilitaka nianze kupata uzoefu na magari kwanza. Nataka mshikaji ambae anaweza kua ananiachia gari kwa bei ndogo isiwe kam bei za kukodi kwa ajili ya kugain experience. Niko mwanza.
  2. Gweny

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali nipo Mbeya

    Hello JF family, Nina umri wa miaka 26 (mwanamke)nina cheti cha kidato cha 4, pia nina mtoto mmoja. Naomba mnisaidie nipate kazi ili nijikimu na mwanangu 🥹 maisha magumu sana. Nina kipaji cha kupika na ninapenda sana kupika. TIA
  3. Yerusalemu30

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya masoko(marketing) au mauzo(sales)

    Mahali: Mwanza. Fani: Uhusiano wa Umma na Masoko Uzoefu: Mwaka 1
  4. M

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi yoyote ya kuweza kujikumu

    Habari naitwa Mary natokea Shinyanga natafuta kazi yoyote ya kuweza kujikumu iwe apa mkoano Shinyanga
  5. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nissan murano

    Habari zenu Natafuta Nissan murano. Ya mwaka wowote. Nina sh 8m sina ya ziada. Mwenye nalo anitaarifu humu
  6. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo Cha veta kinacho fundisha Architecture Au Mechanical

    Mimi ni degree holder, ila nimekuwa motivated kwenda veta ,kusoma hizo kozi tajwa hapo juu Nataka chuo kilichopo Dar es salaam. Sina background ya hayo mambo, Mimi ni muhasibu
  7. Jackson QUECA

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua chochote, nipo Ubungo, Dar es Salaam

    Nikijana mchapakazi, mwenye hofu ya MUNGU, pia ni mwaminifu, Elimu yangu na stashahada(diploma) secondary education(physics, biology),kwa upande wa VETA kama nikipata sponsor hata sasa, nipo tayari kwenda ila kwa sasa, Mimi ndio Baba Mimi ndio Mama🙏.
  8. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Natafuta VETA inayofundisha Ubunge

    Baada ya uongozi mzima wa nchi kuamini kwamba VETA ndo suluhisho la matatizo ya nchi, ningependa kujaribu kutafuta ajira kule Bungeni. Bungeni bado tuna watu wanajua kusoma na kuandika tu! Hata kuhesabu ni shida. Nimeona ni sehemu nzuri ya kwenda. Kwa imani ya viongozui wakuu wa nchi ndani ya...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfanyakazi wa saloon ya kike

    Wanajamvi natumai mko salama.kama nilivyodokeza hapo juu. Nahitaji mtu wa saloon ya kike, awe wa kike au wa kiume, kikubwa awe anajua kazi zote za saloon kama Kuosha wateja Kuweka Dawa Kusuka Misuko Tofauti Make Up kwa wateja Kubana styles tofauti. Awe anaishi Dar Nipigie kwa simu 0674626208...
  10. Kanye2016

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa Pili Umri kuanzia 20-40 (Binti wa Kiislam)

    Habari Wakuu!!! Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo: Awe Muislam. (Awe ana jistiri kama dini inavyohitajika) Umri 20-40 Ajue mapishi Ajue kujiremba na ni msafi. Usiwe na tumbo kubwa. Kama ni single mother (Watoto wasiwe zaidi ya wawili) Awe ni mfanyakazi au mjasiliamali Kama sio mfanyakazi au...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano yenye malengo

    Awe na sifa zifuatazo Awe na miaka kati ya 25 mpaka 30 Awe Mkristo Awe tayari kupima hiv Awe anaishi dar es salaam Elimu bachelor ya kozi yeyote ile Sifa zangu Nina miaka 33 Kazi; duka kariakoo Sina mtoto Elimu bachelor
  12. M

    JamiiForums Tanzania Music production

    Natafuta mtu wa kufundisha mdogo wangu music production Dodoma aniachie namba
  13. A

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA AGENT AMBAE YUPO DAR TUFANYE KAZI

    Mambo vp wana ndugu natafuta agent ambae yupo dar kuna gari yangu naitaji aje kunitolea
  14. jonasasimwe

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Naitwa jonas mashanda ni mkazi wa mkoa wa kagera wilaya ya karagwe,Mimi ni fundi umeme wa majumbani nina uhaba sana wa kazi huku niliko ni fundi mzuri mkweli,mchapakazi na mwaminifu yeyote mwenye tenda (Contract) ya kazi anitafute tupeane michongo
  15. mhuri25

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke awe mwalimu

    Hello Wanabodi mimi ni Kijana nipo tu nafanya ujasiriamali mdogomdogo kiasi sikosi hela ya kulipa Pango na Kula Napenda kutafuta Mke awe Mwalimu wa Daraja lolote lile asizidi miaka 25, asiwe mweusi, wala mnene sana, Mkristo itakuwa vizuri hata akiwa Dini nyingine sawa ila akubali kuolewa na...
  16. Omary scotten

    JamiiForums Tanzania Dereva taxi na Bajaji mtandaoni natafuta kazi

    Habari, naitwa omary ni dereva timamu,sina usumbufu kwenye mali ya mtu uwaminifu 100%.naweza kuendesha gari na Bajaji kwa boss yeyote mwenye uhitaji katika chombo kimoja wapo tajwa hapo juu iwe ya hesabu au mkataba pia iwe ya gesi au petrol tuwasiliane 0654037276.Nina uzoefu wa miaka 2 katika...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi za internship

    Wakuu nimesomea political science and public administration specialized in international relations and diplomacy. Natafuta nafasi za internship; nafikilia JNICC. Je utaratibu wa kuomba internship jnicc upoje ?
  18. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa - Mtwara mjini

    Habari ndugu zangu. Mtaniwia radhi kama nitakuwa nimekosea au utakwazika kwa ujumbe wangu. 1. Natafuta mwanamke anayehitaji mume wa kumuoa. Mwanamke ambaye yupo "intrinsic" na hilo jambo; 2. Umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 33; 3. ASIWE NA MTOTO - kwa maana nyingine SIHITAJI SINGLE MOTHER...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta dalali wa kiwanja

    TANGAZO: NATAFUTA DALALI WA KIWANJA Natafuta dalali wa kusaidia kuuza kiwanja changu kilichopo Bukoba Mjini. Kiwanja kina eneo zuri, kipo kwenye mahala pazuri kwa makazi au biashara, na kina hati halali. Dalali anayejua soko la viwanja Bukoba na anaweza kupata mteja haraka awasiliane nami...
  20. fh kwenye beat

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Natafuta mwanamke aliye serious kuolewa mwaka huu Niko na miaka 30 Mkristo Aliye tayari tuwasiliane
Back
Top Bottom