natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Nina stashahada ya uhandisi wa mekaniki

    nipo mkoa wa Dar es salaam,
  2. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi selemala mwaminifu Na vijana wawili wa kufanyanae kazi kwenye Workshop.

    Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea.Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza. Ofisi ipo Chanika na...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi selemala mwaminifu Na vijana wawili wa kufanyanae kazi kwenye Workshop.

    Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea. Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza. Ofisi ipo Chanika na...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi selemala mwaminifu Na vijana wawili wa kufanyanae kazi kwenye Workshop.

    Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea.Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza. Ofisi ipo Chanika na...
  5. JamiiForums Tanzania Wachina mitano tena, Natafuta spear Original za pikipiki kutoka machimbo ya wachina nimesikia wametufikia

    Hapo vipi? Ni baada ya kuvumilia kwa muda mrefu kutokana na kuuziwa spare(vipuri) vya pikipiki yangu (TVS) msaada wa kwenda kazini kwangu fake kwa bei ya juu sana, baada ya mwezi kimekufa. Naomba kuulizia tafadhari, enyi wakazi wa dar (mimi nipo mkoani) ni eneo gani nikifika hapo dar es salaam...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta single mother wa kuingia naye kwenye mahusiano

    Kama kisemavyo kichwa cha habari Awe ana-ishi dar ambaye yuko tayari anakaribishwa
  7. JamiiForums Tanzania House4Rent Natafuta nyumba ya kupanga Kigamboni

    Habari ya wakati huu wadau. Nahitaji nyumba ya kupanga Kigamboni , haswa eneo la Mjimwema au Gezaulole . Sifa : Nyumba iwe na master bedroom, Sebule na Jiko, isiwe mbali na barabara, Umeme na Maji viwepo. Kwa mwenye kuweza kunifanikishia hitaji hilo tafadhali naomba tuwasiliane. Natanguliza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania WAKUU NATAFUTA CHUMBA CHA 30000 KIMARA AU MBEZI KUFKA ROAD NAULI ISIZID 700

    Wanajf mnisaidie nisje lala nje ukiisha mwez huu nahitaji room kwakwel Uz tayari msaada uwe mwingi kuliko kashfa
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki alieko Zambia / congo / Malawi/ Comoros

    Jinsia yoyote Umri wowote Urafiki Tu Friends with benefits
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta vijana wa kuwapatia vitendea kazi kwa mikataba

    Salaam! Nina vitendea kazi kadhaa (vitazame hapa chini) ambavyo nilinunua kwa ajili ya biashara. Lakini kutokana na kutokuwa na muda wa kuendesha biashara, vitendea kazi hivyo havitumiki kama vilivyokusudiwa. Vitendea kazi vyenyewe ni hivi: 1. High pressure washer machines: zipo mbili. Moja...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuwa ananiazima gari! Nakua namtoa kishikaji

    Nina plan ya kununua gari lakini naona safari kama ndefu sana. Kwaiyo nilitaka nianze kupata uzoefu na magari kwanza. Nataka mshikaji ambae anaweza kua ananiachia gari kwa bei ndogo isiwe kam bei za kukodi kwa ajili ya kugain experience. Niko mwanza.
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali nipo Mbeya

    Hello JF family, Nina umri wa miaka 26 (mwanamke)nina cheti cha kidato cha 4, pia nina mtoto mmoja. Naomba mnisaidie nipate kazi ili nijikimu na mwanangu 🥹 maisha magumu sana. Nina kipaji cha kupika na ninapenda sana kupika. TIA
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya masoko(marketing) au mauzo(sales)

    Mahali: Mwanza. Fani: Uhusiano wa Umma na Masoko Uzoefu: Mwaka 1
  14. M

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi yoyote ya kuweza kujikumu

    Habari naitwa Mary natokea Shinyanga natafuta kazi yoyote ya kuweza kujikumu iwe apa mkoano Shinyanga
  15. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nissan murano

    Habari zenu Natafuta Nissan murano. Ya mwaka wowote. Nina sh 8m sina ya ziada. Mwenye nalo anitaarifu humu
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta chuo Cha veta kinacho fundisha Architecture Au Mechanical

    Mimi ni degree holder, ila nimekuwa motivated kwenda veta ,kusoma hizo kozi tajwa hapo juu Nataka chuo kilichopo Dar es salaam. Sina background ya hayo mambo, Mimi ni muhasibu
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua chochote, nipo Ubungo, Dar es Salaam

    Nikijana mchapakazi, mwenye hofu ya MUNGU, pia ni mwaminifu, Elimu yangu na stashahada(diploma) secondary education(physics, biology),kwa upande wa VETA kama nikipata sponsor hata sasa, nipo tayari kwenda ila kwa sasa, Mimi ndio Baba Mimi ndio Mama🙏.
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta VETA inayofundisha Ubunge

    Baada ya uongozi mzima wa nchi kuamini kwamba VETA ndo suluhisho la matatizo ya nchi, ningependa kujaribu kutafuta ajira kule Bungeni. Bungeni bado tuna watu wanajua kusoma na kuandika tu! Hata kuhesabu ni shida. Nimeona ni sehemu nzuri ya kwenda. Kwa imani ya viongozui wakuu wa nchi ndani ya...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfanyakazi wa saloon ya kike

    Wanajamvi natumai mko salama.kama nilivyodokeza hapo juu. Nahitaji mtu wa saloon ya kike, awe wa kike au wa kiume, kikubwa awe anajua kazi zote za saloon kama Kuosha wateja Kuweka Dawa Kusuka Misuko Tofauti Make Up kwa wateja Kubana styles tofauti. Awe anaishi Dar Nipigie kwa simu 0674626208...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa Pili Umri kuanzia 20-40 (Binti wa Kiislam)

    Habari Wakuu!!! Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo: Awe Muislam. (Awe ana jistiri kama dini inavyohitajika) Umri 20-40 Ajue mapishi Ajue kujiremba na ni msafi. Usiwe na tumbo kubwa. Kama ni single mother (Watoto wasiwe zaidi ya wawili) Awe ni mfanyakazi au mjasiliamali Kama sio mfanyakazi au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…