natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kutosikia vizuri, natafuta kazi

    Mimi ni kijana niliesomea uhasibu kwa ngazi ya Diploma, na pia nimesomea ICT kwa ngazi ya certificate. Nina changamoto ya usikivu hafifu. Hali hii ya kutosikia vizuri imekuwa inaninyima fursa za ajira sana hadi ikafikia kipindi napata msongo wa mawazo. Naomba mwenye uwezo wa kunisaidia...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbegu za microgreen vegetables aina zote

    Shalom! Naomba kwa yeyote mwenye mbegu za microgreens kama leek, radish n.k tuwasiliane anipe specifications na bei.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja maeneo ya Goba au Madale

    Wadau, natafuta kiwanja chenye sifa hizi: 1. Vipimo: Kuanzia square meter 750 (25×30) 2. Eneo lililopangika vizuri 3. Kiwanja kiwe flat na ardhi isiwe na maji maji 4. Documents ziwe clean na zimekamilika Offer yangu ni milioni 18 mpaka 20. Nicheki whatsap 0765137266
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Mbeya mjini

    Natafuta kazi yoyote Mbeya mjini, Nina ujuzi wa ufundi mitambo (mechanical engineering) Mawasiliano: 0756704145
  5. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Hello Mwenzenu upweke utaniuaNatafuta mwanaume ambae tutenda nae kwenye mahusiano na tukiridhiana tuje kuwa mke na mume. Sifa zangu; Umri -37yrs Mtoto mmoja Mjasiliamali Mkristo- KKKT Sifa za mume: Umri 37yrs na kuendelea Mkristo Mwenye hofu ya Mungu Mwenye upendo wa dhati Mwenye kipato cha...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike

    ....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke seriously awe Dar

    Natafuta mke awe bi mdogo mke wa pili awe Dar. My no 0762405010
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki /frame ya pikipiki Honda trail 110

    Salaam wakuu!! Nina shida ya pikipiki au frame ya pikipiki Honda Trail 110 katika hali yoyote mahala popote ili mradi iwe na kadi na kuwe na usafiri wa kufika DSM
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Fundi bomba

    Habari Mimi ni Tech wa mambo ya Maji na nina Experience ya maswala ya maji safi na maji taka kwa miaka 4, kama Kuna Kampny Ina hitaji mwenye sifa hyo nipo tiyari kushikiri kutimiza majukumu kwa maendeleo na faida ya Kampny
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta karanga,

    Kwa bei ya wakulima nitazipata maeneo gani? Nko ushirombo
  11. JamiiForums Tanzania Habari natafuta rafiki wa kike

    Naitwa John Umri wangu 28 Kabila msukuma Natafuta RAFIKI wakike Ambae Tunaweza kushare mambo Mbali Mbali awe na Umri kuanzia 23/35 Ambae yupo Tayari Aje PM
  12. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k.

    Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k. Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) 0756704145
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa Ndoa

    Mie sio mtu wa kuandika sana humu. Natafuta mke wa kuoa,now kwangu Mimi ni muda mwafaka wa kuwa na wife. Sina sababu ya ku hide my id , coz Niko serious na hili jambo Sifa zangu. Miaka 30 Elimu: Bachelor Occupation:Employed. Dini: Mkristu Ninayemtaka Awe serious, na ndoa narudia serious...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta wafanyakazi wawili wa kuuza duka

    Habari za leo wana jamii Nawasilisha ombi langu la kutafuta wafanyakazi wawili wa kuuza duka la vitenge, jumla na rejareja, Kariakoo mtaa wa kongo na agrey. Mshahara maelewano. Mawasiliano 0624078385
  15. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mfanyakazi za Mashambani/Mchungaji

    Habari za leo wakuu Kama kichwa cha habari hapo uu kinavyoeleza, inamuhitaji huyu mzee kufanya majukumu yafuatayo: 1. Awe muwakilishi wangu shambani na awe kama ndie mwenye nyumba na mmiliki wa mali zote (mashamba, mifugo na nyumba zingine zilizo karibu na hayo mashamba) 2. Kua msimamizi mkuu...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kiume

    Nina miaka25,naishi dar,ni mrefu size ya kati,mweupe, sio mwembamba wala mnene nipo katikat, ninafanya biashara ya vipodozi,elimu yangu ni bachelor degree,natafuta mchumba Kuanzia miaka 30,na kuendelea..kuhus apprearance ni muhim lakini kikubwa ni tabia.
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta Marafiki wa kubadilishana nao mawazo

    Hello watanzania, Nimetokea Facebook, Insta na Tiktok nimekuja Jamiiforums kujifunza mambo mbalimbali na kutengeneza marafiki pia, Nahitaji marafiki makini, wenye akili timamu, wacheshi, wakarimu, wenye uelewa wa mambo ya duniani, wenye fikra pevu, jinsia yoyote, Mimi ni Mwanamke, elimu darasa...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta digital camera na printer nzuri kwa ajili ya biashara ya passport size photos

    Wadau wa technology. Naomba msaada wa mawazo yenu, najua mpo wenye experience ya kutosha kwenye hivi vifaa. Nataka kununua digital camera na printer mahsusi kwa ajili ya kazi ya picha za passport. Nahitaji kwa ajili ya kutoa passport za haraka zile za dakika 3. Nachoitaji ni kusaidiwa jina...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, njaa itaniua

    Habari za majukumu wanaJF naomba kwa yeyote atakayewiwa anisaidie nipate kazi yoyote halali njaa na majukumu vimenizingira Elimu yangu ni Diploma in General Agriculture nipo Kahama 0717697787
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote Mbeya

    Natafuta kazi yoyote Mbeya kama kuuza duka, stationary na kazi zingine 0756704145 Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…