Natafuta pikipiki /frame ya pikipiki Honda trail 110

Natafuta pikipiki /frame ya pikipiki Honda trail 110

moe junior

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
910
Reaction score
947
Salaam wakuu!!
Nina shida ya pikipiki au frame ya pikipiki Honda Trail 110 katika hali yoyote mahala popote ili mradi iwe na kadi na kuwe na usafiri wa kufika DSM
 
Tafuta ya kuchonga mkuu au agiza nje ya nchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom