Natafuta kazi ya kujitolea kama messenger nitume popote ntaenda

C Programming

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,011
2,000
Habari zenu wana jf

Natafuta kazi yeyote ya kujitolea kama messenger unitume popote nitaenda mahala popote nitaenda kwa gharama nafuu tuu

Ukinilipa hata elfu moja au mbili kwa siku ntashukuru ili mradi nipate hela ya kula

Kimakazi nipo dar njoo inbox
 
chef detat

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
15,352
2,000
Habari zenu wana jf

Natafuta kazi yeyote ya kujitolea kama messenger unitume popote nitaenda mahala popote nitaenda kwa gharama nafuu tuu

Ukinilipa hata elfu moja au mbili kwa siku ntashukuru ili mradi nipate hela ya kula

Kimakazi nipo dar njoo inbox
tafuta nyuzi humu ndani kazi zipo mfano juzi kuna member alikuwa anatafuta dereva taxi yupo Dom
 
Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
1,829
2,000
Habari zenu wana jf

Natafuta kazi yeyote ya kujitolea kama messenger unitume popote nitaenda mahala popote nitaenda kwa gharama nafuu tuu

Ukinilipa hata elfu moja au mbili kwa siku ntashukuru ili mradi nipate hela ya kula

Kimakazi nipo dar njoo inbox
I have good plan Ungekuwa Mkoa ungekuwa Business Partner.
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
15,176
2,000
Habari zenu wana jf

Natafuta kazi yeyote ya kujitolea kama messenger unitume popote nitaenda mahala popote nitaenda kwa gharama nafuu tuu

Ukinilipa hata elfu moja au mbili kwa siku ntashukuru ili mradi nipate hela ya kula

Kimakazi nipo dar njoo inbox
Mkuu pole sana kwa yote unayopitia.
 
Mpandisha mishahara

JF-Expert Member
Mar 1, 2014
1,237
2,000
Habari zenu wana jf

Natafuta kazi yeyote ya kujitolea kama messenger unitume popote nitaenda mahala popote nitaenda kwa gharama nafuu tuu

Ukinilipa hata elfu moja au mbili kwa siku ntashukuru ili mradi nipate hela ya kula

Kimakazi nipo dar njoo inbox
Laki 8 uliitumiaje?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom