PHP & Javascript developer natafuta kazi

Php Guy

Member
Mar 28, 2021
7
45
Habari wakuu,

Kijana wenu PHP & JavaScript developer anatafuta kazi.

Nimesoma Computer science chuo kwa kipindi cha mwaka mmoja,sikuweza kuendelea kwa sababu ya kukosa mkopo.

Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote hapa dar kwa malipo ya kiasi chochote niweze mudu gharama za maisha.

Unaweza test uwezo wangu kabla kwa kunipa project yoyote ile ya web, pia nafaham vizuri Framework ya PHP ya Laravel,na vuejs+reactjs kwa JavaScript.

Naweza design API pia kwa Laravel na kuzi integrate kwenye react native application.

Kwa yoyote atakayejitolea nitamfata PM.

Bila kuwa na kazi zozote ulizofanya ni ngumu kujiajiri, watu hawawezi kukuamini,natafuta sehemu nitakayo simama kwanza
 
Php Guy

Member
Mar 28, 2021
7
45
Project gani ambayo umefanya? Share hapa
Most of my projects nimehifadhi locally,japo baadhi nataka nizihamishie in my Github account as open source, sijafanya real project yoyote bado ambayo ipo hosted,thus why nimekuja kuomba connection ya sehemu ambayo nitaweza build real business application projects
Ni vigumu MTU kukupa kazi yake unless umpe kazi ulizofanya tayari,na wewe unajikuta upo kwenye hatua ya kwanza ya Ku build networks ya clients, "egg - chicken problem"
 
Php Guy

Member
Mar 28, 2021
7
45
Unatengeneza App? una kazi yoyote uliyowahi kuifanya?
Naweza tengeneza app na website pia,projects zangu nyingi nimezi host locally
Bado sijafanya real business project ambayo ipo hosted somewhere, au play store
Thus why nipo hapa,Ila unaweza nipa task ya kutengeneza website au app kabla hujanishika mkono just to test my ability, shukrani
 
KingOligarchy

Member
Sep 28, 2013
32
125
Naweza tengeneza app na website pia,projects zangu nyingi nimezi host locally
Bado sijafanya real business project ambayo ipo hosted somewhere, au play store
Thus why nipo hapa,Ila unaweza nipa task ya kutengeneza website au app kabla hujanishika mkono just to test my ability, shukrani
Noted, Send your whatsapp number DM
 
co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
396
500
Most of my projects nimehifadhi locally,japo baadhi nataka nizihamishie in my Github account as open source, sijafanya real project yoyote bado ambayo ipo hosted,thus why nimekuja kuomba connection ya sehemu ambayo nitaweza build real business application projects
Ni vigumu MTU kukupa kazi yake unless umpe kazi ulizofanya tayari,na wewe unajikuta upo kwenye hatua ya kwanza ya Ku build networks ya clients, "egg - chicken problem"

Sometimes unaweza kufikiria kitu ukatengeneza then ukaenda nacho kwa mtu au company ukamkonvince...Mimi i remember my first money kupitia app nilitengeneza app ya kustream radio online ilikuwa ni redio ya mkoani huko nikachukua stream url na nikasngalia web yao nikachukua ratiba za vipindi then nikatengeneza app,ilivyoisha nikawapigia simu kwamba kuna app nimetengeneza kwa ajili ya radio station yenu basi wakawa intrested wakaichukua,pia wakanipa hela 400k japo kwa kuanzia ilikuwa sio mbaya..so sio lazima huwe hata umepublish just tengeneza kitu chako then show people huwezi jua kuliko tu kuandika natafuta kazi maana wanaotafuta ni wengi
 
Shukrani kiongozi kwa ushauri wako,nitaufanyia kazi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom