Natafuta kazi yoyote, nimesoma Maendeleo ya Jamii

Ms Beatrice

New Member
May 22, 2021
4
5
Habari, Mimi ni Binti Nina miaka 24 Niko arusha. Ninatafuta Kazi. Niko tayari kufanya Kazi yoyote halali eneo la Arusha.

Nina elimu ya chuo kikuu, kupitia kozi ya maendeleo ya jamii.

Nina uwezo wa kuwasiliana vizuri, kufanya Kazi kwa usimamizi Mdogo au bila usimamizi na kuleta matokeo mazuri. Pia nina uwezo wa kuandaa na kusimamia miradi.

Sio lazima Kazi niliyosomea, nahitaji Kazi yoyote ya kipato chochote.

Karibu PM kwa waliotayari kuni support, connect na kuniajiri.

NB: usinitafute kama una mambo mengine tofauti na Kazi.
 
MKUU,
HIYO NB YAKO HAPO MWISHONI ITAKUKOSESHA MICHONGO-
INAKUFANYA UNA_SOUND ARROGANT.

KUNA WATU WANA ACCESS YA KUKUSHIKA MKONO,
ILA WAKIISOMA HIYO WANAPITA KIMYAKIMYA!!!

HAKUKUWA NA ULAZIMA WA KUIANDIKA HIYO.

NIAMINI MIMI.
 
mkuu pisikal iko sahihi kuandika hiyo NB.ila akimaliza miaka 2+ kitaa ndo atakumbuka kumbe ile NB ilikuw ussta duutu
 
Ningekuwa Arusha usingepata tabu binti.
Nina wenzako watatu wanapika na ku supply chakula maofisini. Mimi ndo mmiliki nilikuwa nao Ila sasa nipo nje kidogo ila mabinti wale wanapiga balaa ..ngoja niongee nao niwaulize Kama watahitaji binti mwingine wa Kazi halafu nikuweke.
Mimi nikirudi hiv tuendeleze gurudumu la maisha.

Nipatie namba yako tafadhali..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom