natafuta kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GEM mama

    Natafuta kazi ya kufundisha vyombo vya muziki

    Habari wakuu natafuta kazi ya ya kufundisha muziki na kupiga vyombo vya music. Sina cheti ila nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika shughuli hii nina uwezo wa kupiga kinanda na gitaa pia ninaimba. Nafundisha rika zote. Kwa nafasi yoyote ya kazi naomba nijulishe inbox nafuatilia comments.
  2. Merr

    Natafuta kazi, nipo Mpanda

    Mimi ni binti nipo mkoa wa Katavi, wilaya ya Mpanda. Natafuta nafasi ya kazi yoyote hata duka ila nimesomea uuguzi, ila ninamatatizo ya masikio sisikii vizuri. Nimewahi kujitolea zahanati sehemu mbili. Mawasiliano yangu 0621364039 ila ujumbe pekee na sio kupiga kutokana na matatizo ya masikio
  3. LEO_TENA

    Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

    Habari Wana JamiiForums! Kama kichwa kinavyojieleza, Kijana wenu nipo apa kuomba kazi. Nipo tayari kufanya kazi yoyote ya halali. Kazi hilo iwe ndani ya taaluma yangu, au nje ya taaluma yangu nipo tayari kuifanya. Jinsia: Kiume Miaka: 23 Mahali Dar es salaam. Elimu: Chuo Kikuu. Nilichosomea...
  4. Rajabu mjanga

    Natafuta kazi ya upishi

    Habari, Mimi ni kijana ninaumli wa miaka 23, ni mvulana kwa sasa naishi Zanzibar, ila nyumbani ni Dar es Salaaam, nimejifunza kazi ya upishi na ninauzoefu wa kupika tokea 2019 mpaka sasa 2022. Najua kupika vyakula vya Indian food, Asia food, Americans food, tacos za Mexico na pasta za Italian...
  5. D

    Natafuta kazi kwenye Shirika au Taasisi yoyote ya Elimu

    Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 na muhitimu wa SHAHADA YA ELIMU KATIKA SERA, MIPANGO NA UTAWALA. Pia, ni mwalimu wa masomo ya JIOGRAFIA NA KISWAHILI. Natafuta kazi kwenye mashirika na taasisi mbalimbali zinazohusiana na taaluma yangu, nawaombeni wana JF kwa yeyote...
  6. Jobless_Billionaire

    Wakuu natafuta shule ya kufundisha

    Habari za wakati huu wapendwa. Nina Imani mu wazima wa afya. Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, Mimi ni kijana umri miaka 25 mhitimu katika chuo kikuu Cha Dar es Salaam shahada ya Ualimu katika masomo ya Geography na Kiswahili mwaka 2020. Nimekuwa nikijaribu kutuma maombi shule mbalimbali...
  7. S

    Natafuta kazi, nipo Dar es salaam

    Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza katika mambo ya ugavi. Nimekuja kwenu kuomba kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kazi ili niweze kujikimu maana kila leo ni afadhali ya jana. Kazi yoyote halali nitaipokea.
  8. RoadLofa

    Natafuta kazi

    Ndugu zangu hadi kufikia hatua hii ninapitia kipindi kigumu sana. Kwanza kabisa mimi ni graduate wa Bachelor Degree in Accountancy, nina mwaka tangu nimalize nipo mtaani tu na umri wangu ni mkubwa zaidi ya miaka 30. Kila nikiapply kazi mbalimbali zinazoendana na career yangu unakuta naenda...
  9. Giftitz

    Natafuta kazi yoyote

    Habari ndugu zangu naitwa John nipo Kibaha Natafuta kazi yeyote iwe ya kuuza duka aina yeyote kazi ya house boy nitafanya. Msaada wenu wakubwa😔
  10. M

    Natafuta kazi yoyote. Nina elimu ya kidato cha sita

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 natafuta kazi yoyote ile nina elimu ya kidato cha sita wenye ufaulu mkubwa. Nilikua nasoma chuo ila nikasimamisha mwaka 2019 kutokana na hali ya kifedha ilionikwamisha Nina experience ya kazi sales and marketing kwa miaka mitatu katika kampuni tofauti...
  11. Jay3xclusive

    Natafuta Kazi yoyote ya halali, nina Cheti cha Kidato cha Nne

    Natanguliza salamu, Naitwa Juma Nina umri wa miaka 19 ninaishi Mwanza, Natafuta kazi yoyote ya halali nina cheti cha kidato cha nne. Naweza kutumia computer vizuri Ninaujuzi wa Web design Naweza kufanya kazi ya duka Naombeni msaada wwnu Guys natafuta kazi nipo Mwanza Tanzania , Yoyote...
  12. Daren

    Natafuta kazi yoyote ya halali, niko Arusha

    Habari ndugu zangu. Mimi ni kijana (ME) nina umri wa miaka 20. Ninaishi mkoa wa Arusha. Nina shida sana hali ngumu ya maisha Hadi naanza kuta tamaa . Nimeona niweke wazi tu huenda kuna mtu humu atanisaidia kupata kazi yoyote ile ya halali. Natanguliza shukrani
  13. Mustapha007

    Natafuta kazi kwenye stationery

    Naitwa Mustapha Rajabu. Nina umri wa miaka 28 naishia Dar Es Salaam maeneo ya Tabata Bima. Ninao uzoefu wa kutosha kwa kazi hiyo, nimefanya kazi ya stationery kwa zaidi ya miaka 5 hivyo ninao uzoefu mkubwa katika utendaji wa kazi hiyo. Ninao uwezo wa kutumia Computer vizuri na kuchapa document...
  14. BUGALEE005

    Natafuta kazi ya kujitolea GIS and Land Surveying

    Habar zenu ndugu!! Mimi ni kijana wa miaka 23 Nina Diploma ya land survey nilikuwa naomba kama kuna kampuni yoyote inayojihusisha na shughuli za land survey nahitaji kupata mahali hata pa kujitolea. Namba yangu 0699239068
  15. J

    Natafuta kazi ya kuuza pharmacy au duka la dawa

    Mimi ni kijana mwenye diploma ya pharmacy natafuta kazi ya pharmacy au duka la dawa naishi dar
  16. Peter Acoustic

    Natafuta kazi, nina Diploma ya Music Production

    Nmemaliza chuo tangu 2020 Nina diploma ya Music production. Ni kijana wa miaka 23 Na weza kucheza baadhi ya Instrument Keyboard, guiter Acoustic, solo guiter, Bass guiter pia ni Mwalimu mzuri kwa watu wenye interest ya Kujifunza. Naweza kufundisha Watoto kwa wenye uhitaji wa kujifunza...
  17. Jitume Biashara

    Natafuta Kazi ya translation (Kichina)

    Ndugu zangu, kwanza poleni na kazi... Naomba mwenye contact au anayejua kampuni inayotafuta mkalimani wa Kichina, naomba unitafute WhatsApp +861572153760.
  18. mohamed habibu

    Natafuta kazi yoyote ya halali. Niko Dodoma

    Mim kijana wa kitanzania ambaye natafuta ajira yoyote ile ambayo ni halali kabisa Nina uzoefu na kuendesha magari na pikipiki, nina uzoefu wa kuuza duka. Kwa yoyote yule alie tayari naomba tuwasiliane kupitia namba 0719 01 3003 au 0622 94 1452 au barua pepe mohamedhabibu075@gmail.com
  19. M

    Natafuta kazi ya upishi

    Habari wakuu, Polen sana na majukumu nimekuja kwenu kwa mara nyingine tafuta kazi ya upishi. Mimi ni mpishi mzuri sana wa bites na chakula.
  20. King davido78

    Natafuta Kazi wapendwa

    Naomba kazi yoyote itakayo niweka mjini wakati nikihangaikia mambo yangu ya kuwa employed kulingana na professional yangu. Niko dar es salaam, 0767908931 namba yangu
Back
Top Bottom