natafuta kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Natafuta kazi

    Mambo vipi au niseme good evening. Ninatafuta kibarua/kazi, mimi ni binti nina degree ya business management na ujuzi katika mambo mbalimbali. Kama unamjua mtu au ofisi inahitaji mfanyakazi usisite kunishtua/kunieleza. Weekend njema.
  2. cold water

    Natafuta kazi kwenye pharmacy Mtwara au Ruvuma

    .
  3. Muddy123

    Natafuta kazi yoyote halali viwandani au kwenye kampuni

    Naitwa Muhammed naishi dar umri wangu miaka 30 Nina familia na mtoto mmoja hali yangu kiuchumi nimbaya sana nilisomea Ualimu masomo ya Geography na History ila kazi cjapata. Hivyo naomba kwa anaejua Viwanda au Kampuni zinazochukua vibarua vya wafanyakazi anielekeze walau nipate kazi yakufanya...
  4. fanako

    Natafuta kazi yeyote nina elimu ya Kidato cha Nne

    JAMANI wapendwa mimi ni nijana Mtanzania nina miaka 24 ninatafta kazi yeyote ilio halali jamani. Asanteni
  5. M

    Natafuta kazi

    Naitwa Michael, natafuta gari ya hesabu iwe bolt au uber au hata kumuendesha mtu binafsi. Leseni ninayo Class C, napatikana Dar es Salaam.
  6. Brightly

    Natafuta kazi civil engineering technician

    Habariii wakuu? Husika na kichwa hapo juu natafuta kazii katika makampuni yeyote ya ujenzii wa nyumba au barabara nipo tayari kufanya kazi sehemu yeyote. Mimi ni mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzii Nina uzoefu wa miaka miwilii katika usimamizii wa barabara na ujenzii wa nyumbaa mwenye...
  7. X

    Bingo Natafuta kazi yoyote halali, Ndani Ya mkoa wa Mwanza

    Habari wana jamii forum, Mimi Binti, Elimu yangu ni kidato cha 4. Natafuta kazi yoyote halali ndani Ya mkoa wa Mwanza . Nipo tayari kufanya kazi pia katika (kazi za ndani, viwandani na kuuza duka, na stationary ). Naombeni msaada kwenu tafadhari. Mwenye connection yoyote aje DM.
  8. P

    Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na mradi au kazi yoyote ya halali inayohusiana na taaluma yangu

    habari wakuu ni matumaini yangu ni wazima kwa majina naitwa KELVIN GODFREY jinsia ni mwanaume wa miaka 25, ni nimhitimu kozi ya kilimo na mifugo (diploma). Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na mradi au kazi yoyote ya halali inayohusiana na taaluma yangu naomba wezekunipa ata kama ndo...
  9. L

    Natafuta Ajira

    Habari, Nipo chuo mwaka wa pili. Ninauhitaji wa ajira ambayo nitaweza kufanya kuanzia asubuhi hadi saa kumi jioni, ili niweze kuendelea na masomo yangu kuanzia saa 11 jioni. Umri: 21 Course: Marketing management Level: Degree Mahali: Ilala, Dar es salaam.
  10. P

    Natafuta kazi, nina diploma ya Kilimo na Mifugo

    Ndugu ni matumaini yangu ni wazima. Kwa majina, naitwa KELVIN GODFREY, jinsia ni mwanaume wa miaka 25. Ni mhitimu kozi ya kilimo na mifugo(diploma). Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na mradi au kazi yoyote ya halali inayohusiana na taaluma yangu naomba aweze kunipa hata kama ndo inaanza...
  11. Kilimbatz

    Natafuta kazi ya uchungaji

    Mimi ni mtanzania mwenye diploma ya ualimu na mwenye ujuzi kamili katika Neno la Mungu na historia ya Kanisa Naomba kazi ya uchungaji wa kondoo wa Bwana katika Kanisa lolote lenye uhitaji. Wenu katika kazi PS: Nina uelewa mpana pia wa lugha ya kiengereza hivyo nipo tayari kuwaibika nje ya nchi
  12. N

    Natafuta kazi ya ualimu wa Biology na Chemistry

    Mimi Ni kijana wa miaka 26 Nina shahada sayansi na elimu (mwalimu wa chemistry na biology) Nimeoa naombeni mwenye connection ya kazi yoyote anisaidie kwani napitia kipindi kigumu Nina uzoefu wa kufundisha na pia na kazi zingine naweza kufanya mimi Ni mtiifu na nitafanya kazi kwa uwaminifu...
  13. Charles Gerald

    Natafuta kazi ya ualimu na nje ya ualimu, nina shahada ya elimu.

    Mimi ni kijana, nakuja kwenu wanajamii, natafuta kazi ya ualimu na nje ya ualimu mahali popote. Nina uzoefu katika kufundisha( nimefundisha tuition muda mrefu), kilimo hasa cha bustani na kusimamia biashara ndogondogo, so hata kubwa naweza kusupervise. Masomo yangu ni jiographia na uchumi...
  14. E

    Natafuta kazi yoyote kwenye Kampuni au Hoteli

    Habari wana JF, Jamani natafuta kazi yeyote Kiwandani au Hotelini,, Naombeni Connection Nipo tayari, namba zangu ni 0676795851 au 0744795851
  15. Peter_John

    Natafuta kazi, nina cheti cheti cha Kidato cha Nne

    Habari za wakati huu Wana JamiiForums wote. Naitwa Peter John, Nina umri wa miaka 20, nimehitimu kidato cha nne mwaka 2020 na kupata ufaulu wa daraja la 2. Natafuta kazi yoyote ya halali Kama vile kazi za viwandani, usafi maofisini/nyumbani ama yoyote ile ya halali Nipo Dar es Salaam, maeneo...
  16. A

    Natafuta kazi ya Ualimu. Nafundisha Chemistry na Mathematics

    Mimi ni mwalimu wa Chemistry na Mathematics nimemaliza chuo Cha Ualimu tukuyu mwezi wa tano mwaka huu(2022). Natafuta kazi naweza kufundisha na ninajituma pia. Kwa mawasiliano 0757921398, napatikana Tabora mtaa wa mwinyi lakini naweza kufanya kazi popote nchini Tanzania.
  17. IgKim

    Natafuta kazi yoyote ya halali, nimesoma Stashahada ya Ualimu Chemistry na Biology. Naweza fundisha Sekondari na Msingi

    Kama kuna mtu anahitaji mtu wa kufanya kazi yoyote ya halali, nipo hapa napatikana mkoa wa Arusha. Kwa yeyote mwenye connection ata Dar es Salaam naweza kuja kama kuna mwenye kazi tafadhali.
  18. Peter Acoustic

    Natafuta kazi yoyote ya halali

    Wakuu mimi ni kijana wa miaka 23, natafuta kazi yoyote ya halali kwa muda sasa. Nina ujuzi wa; Diploma ya record management Diploma ya music production Pia naweza kufundisha watoto wa nursery, nipo vizuri japo nikipata sehem ya kujishikiza. NB: Naweza pia kufanya kazi makanisani kwa...
  19. GIRITA

    Msaada Natafuta kazi NHIF Data clark. Karani wa kuingiza taarifa za NHIF

    Habari wakuu Natafuta kibarua cha kuingiza taarifa za mfuko wa Bima ya afya wa Taifa NHIF. Naweza kufanya member authorization. Naweza kufanya Eclaim- kudai malipo ya kituo kwa mwezi husika. Naweza kujaza kitabu cha Dawa cha wagonjwa wa Bima ya NHIF. Nina ujuzi wa kutumia computer. Sikusoma...
  20. baby seky

    Natafuta kazi

    Mimi ni binti miaka 26 Nina elimu ya stashahada ya utunzaji fedha naishi Kibaha Pwani. Nipo hapa kuomba ajira ndugu zangu nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote 🧎🏻‍♀️🙏
Back
Top Bottom