natafuta kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. A

  Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha sita

  Habarini wakuu, Elimu yangu ni form six Jinsia ni ke Nimejitokezak kwenu kutafuta kazi yoyote halali Kufundisha(naweza kufundisha masomo yote except physics) kwa O-level Kufundisha primary /nursery Upishi pia naweza Kaunta Hata uhasibu naweza mahesabu Kazi yoyote halali naweza kufanya...
 2. Darucha

  Nipo Arusha natafuta kazi yoyote

  Kama wahenga walivyosema kwenye miti huwa hapakosi wajenzi Mimi ni kijana umri wangu miaka 25 natafuta kazi jamani ya Aina yoyote elimu yangu ni kidato Cha sita ni kijana muaminifu na mtiifu pia jamani nataka kufungua ukurasa mpya kwenye maisha yangu ukweli ni kwamba. Nilikuwa kwenye moja ya...
 3. S

  Nina Shahada ya Sosholojia, natafuta kazi

  Habari za wakati WanaJF, Kwa majina naitwa Annette nina shahada shahada ya sosholojia kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma. Nimekuja mbele yenu nikiomba kazi yoyote Ile hata nje ya Taaluma yangu au sehemu yoyote ile ya kujitolea nipo tayari. Natanguliza shukrani zangu.
 4. Bahati mathiad

  Natafuta kazi Laboratory Assistant

  Mimi ni mtaalam wa maabara (lab assistant), mwenye uzoefu wa miaka 3 na kazi, natafuta kazi katika kanda ya kaskazini, naishi Arusha. Vigezo vyote ninavyo pia nina lessen ya kudum (ERP) nahitaji mtu aliye serious na kazi yake mwenye kufuata ushauri wa mtaalamu. Namba ya simu 0625318808
 5. V

  Natafuta kazi yoyote niko Dar es Salaam

  HELLO, I am Richy Patrick, Aged 26. Residency Dar es Salaam Aim am looking for job in any reputable company Am experienced in the following fields: Office Administrative Business Management Sales Officer Warehouse Manager Storekeeper Personal Secretary Project Supervisor Fleet Manager I...
 6. kaic hamisi

  Natafuta kazi

  Napenda kutoa salamu kwa wote jamani ni wote ni wazima poleni kwa majukumu mimi ni kijana wakiume mwenye umri wa miaka 21 elimu kidato cha nne natafuta kazi yeyote ile iwe ya kiwandani, ofisini nk cha muhimu iwe kazi halali naishi mbagala kata wa Kijichi matumain yangu naweza kupata msaada...
 7. Salasatna

  Natafuta kazi, mimi ni mwalimu wa hesabu na uchumi

  Jina: Alfred Yohanis Msunza Umri: Miaka 23 Natafuta kazi ya ualimu wa hesabu na uchumi(mathematics and economics), yeyote mwenye uhitaji naomba msaada. Elimu yangu ni shahada nimemaliza chuo kikuu cha Dar es Salaam 2020 katika ndaki ya sayansi asilia na tumizi yaani pale makao makuu ya chuo...
 8. M

  Natafuta kazi

  Habari zenu ndugu, bado sijachoka Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and fisheries). Naishi Ubungo Dar es salaam kwa sasa.Ninatafuta kazi katika sekta resmi na...
 9. M

  Natafuta kazi nina Shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and fisheries)

  Habari zenu ndugu, Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and fisheries). Naishi Ubungo Dar es salaam kwa sasa.Ninatafuta kazi katika sekta resmi na isiyo rasmi...
 10. A

  Natafuta kazi kama Secretary, Switchboard, Safari Consultant, Receptionist au customer service nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10

  Hi, Mimi ni mwanamke wa miaka 35 naishi dar ni mlemavu wa miguu ni (disability) nina uzoefu wa zaidi ya miaka kumi kwenye kazi za Receptionist, Customers service, Switch board operator, Safari Consultant na Personal Assistant naombeni msaada wa kunisaidia kupata wanaotoa ajira asanteni sana...
 11. Deus lubona

  Natafuta kazi, Elimu Diploma (Animal Health and Production)

  Habarini za humu ndugu zangu, Naitwa Deus graduate wa diploma ya udactari wa mifugo (Ordinary diploma in animal health and production), nimehitimu mwaka 2019 katika chuo cha mifugo LITA TENGERU ARUSHA (Livestock training agency- TENGERU). Baada ya hapo nimekuwa nikijitolea kutibu mifugo...
 12. Agreycharles

  Natafuta kazi yeyote, Elimu yangu kidato cha nne

  Wana jamii naombeni kazi yeyote ile mdogo wenu napigika sana mtaani. Elimu yangu ni form4 nipo Dar es Salaam. Mawasiliano: 0692865543
 13. V

  Natafuta kazi sekta ya ujenzi nina ujuzi wa ufundi nondo nina uzoefu wa project mbalimbali kama ujenzi wa madaraja na culvert box

  Jina: Villanova Patrick Ujuzi: Steel fixer (fundi nondo) Uzoefu: Miaka 2 Makazi: Dar es Salaam Wanajukwaa natafuta kazi sekta ya ujenzi ujuzi wang ni fundi nondo kwenye project mbalimbali kama ujenzi wa madaraja culvert box maghorofa mitaro ya maji. Mawasiliano 0745000157
 14. Mkogoti

  Natafuta kazi ya aina yoyote ile sababu sina Elimu

  Habari ndugu zangu, kwa jina naitwa Mkogoti ni mzaliwa wa mkoa wa Mara nina shida na Ajira, yani natafuta kazi ama kibarua maana sina Elimu yoyote ya kuniajiri ofisini. Maisha ni magumu sana kwa upande wangu MUNGU ndo anajua ninavyopitia sina maneno mengi ya kusema ila niseme tu. Natafuta...
 15. V

  Natafuta kazi temporary au permanent

  Kwema wana jukwaa, Nakuja mbele zenu kuomba connection za kazi. Na uzoefu na kazi zifuatazo: Store keeper Inventory management Warehouse officer Steel fixer Transport and logistics Niko Dar es Salaam Nafanya kazi yoyote halali Contact 0694052222
 16. M

  Natafuta kazi katika Sekta ya Kilimo na Uvuvi

  Habari zenu ndugu, Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and fisheries). Naishi Ubungo Dar es salaam kwa sasa. Ninatafuta kazi katika Rekta resmi na isiyo rasmi...
 17. wa log

  Nimehitimu kidato cha sita natafuta kazi

  Mimi mkazi wa Dar es Salaam, elimu yangu ni mhitimu wa form six. Ninatafuta kazi yoyote. Experience yangu ni katika kubeba mizigo mizito, na kibarua wa kujenga. Pia nina ujuzi wa kutumia computer. Naomba nisaidie Kama una connection kwenye makampuni ya ujenzi, na ya usafirishaji. Niko tayari...
 18. wa log

  Natafuta kazi yoyote, nina uzoefu wa kubeba mizigo na kutumia computer

  Mimi mkazi wa Dar es Salaam, elimu yangu ni mhitimu wa form six. Ninatafuta kazi yoyote. Experience yangu ni katika kubeba mizigo mizito, na kibarua wa kujenga. Pia nina ujuzi wa kutumia computer. Naomba nisaidie Kama una connection kwenye makampuni ya ujenzi, na ya usafirishaji. Niko tayari...
 19. M

  Natafuta kazi ya ualimu

  Hello, Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu UDSM mwaka jana. Sijasomea ualimu lakini nina passion ya kufundisha hasa masomo ya Physics, Chemistry na Biology kwa O level na Chemistry na Biology pekee kwa A level. Taaluma niliyosomea ni Aquatic science and fisheries technology na kwa sasa siwezi...
 20. Mechanic 97

  Natafuta kazi ya ufundi na nyinginezo

  Habarini wanajamiiforum mbele yenu ni kijana wa miaka 24 ninatafuta kazi kwa Sasa nipo dar. Elimu yangu ni NTA level 4 in mechanical engineering na Advanced certificate of secondary school in PCM. Vya ziada Nina uwezo wa kufundisha, kuchora kiasi na computer kidogo. Jamani mwenye connection...
Top Bottom