natafuta kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eswa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kusimamia Airbnb, Lodge, Camp Lodge na Hotel.

    Habari za Jumapili.? Kama heading inavyojieleza hapo, Ninao uzoefu wa kusimamia na kuendesha Airbnb na Hotel (3*) na kwa uzoefu huo ninaweza kusimamia na kuendesha Lodge na Camp Lodges pia. Nipo Zanzibar lakini ninaweza kuhama na kurudi Bara kama nitapata kazi huko. Kwa sasa nilipokuwa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya saidia fundi

    Habari wakuu natafuta kazi ya kulipwa iwe kibarua au saidia fundi wa ujenzi, umeme, kuweka VIGAE au kupska rangi na nk, Mimi ni kijana wa kiume. Nipo Kanda ya ziwa elimu 2 ujuzi nipo nao pia wa kufanya usafi mazingira ya nje na ndani naombeni kazi? Waeshimimwa wakuu🙏
  3. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Wakuu Nina shida ya buku

  4. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari, jaman natafuta kaz hata ya uwakala, au dukani, nimechoka mimi.. naishi Sinza, Dar es salaam
  5. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina BSc Chemistry

    Habari Wana jf. Mimi ni mwajiriwa kutokana na maslahi madogo natafuta kazi field ya chemistry. Nina uzoefu kwenye steel industry mwaka mmoja na nusu.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu masomo ya Sayansi

    Habari Mimi ni kijana wa miaka 27 nimehitimu shahada ya kwanza mwaka 2023, natafuta shule ya kufundisha kwa masomo ya mathematics, physics, biology na chemistry kwa primary, ordinary level, na advance pia Niko tayari kwa interview muda wowote nitakaohitajika Ahsante Mawasiliano; 0635198791
  7. Kilawo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi kibarua nipo Songea vijijini

    Mimi nikijana Nina umri wa miaka 28 natafuta kazi au kabarua nipo songea vijjini,Mimi sio mvivu nilikuwa na biashara nimekata mtaji, kukuaa Tu Ofsini sina pesa na Mali napoteza Muda
  8. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya quality control(mkemia) au lab technician

    Habarini wakuu. Mimi ni quality control lab technician nina bsc chemistry pia Nina uzoefu wa mwaka na miezi minne katika steel industry. Natafuta kazi viwandani,migodini kote nafit. Ukinisaidia kuna pesa ya maji. Asanteni
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi na ujuzi kwenye maswala ya kodi

    Kwa elimu nina Bachelor degree of science in taxation kutoka chuo cha usimamizi wa fedha IFM darasa la 2025 nipo na ujuzi kwenye maswala ya kodi sehemu tofauti tofauti hivyo naomba kazi au kibarua Namba yangu ya simu ni 0778190736
  10. Mind stone

    JamiiForums Tanzania 2026 Natafuta kazi bado sijapata wakuu

    Nipo Arusha, Naombeni connection yeyote tafadhali 🙏🏽
  11. monotheist

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya security officer/guard

    Natumaini hamjambo, nami pia sijambo nimefanya kazi ya security kwa miaka 5 maeneo mbalimbali ikiwemo serena hoteli mwaka 1, viwandani miaka miwili na airport terminal 3 mwaka 1, na nimefanya kazi hayo maeneo kupitia GARDAWORLD hivyo nina uzoefu wa kutosha kama kuna yeyote anaweza kunisaidia...
  12. Mind stone

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote tu

    Mwenye kazi yeyote tupeane connection wakuu
  13. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya stationery

    Habari, Mimi ni mdada natafuta kazi ya stationery. Nina miaka 26, nina utaalamu na uzoefu mkubwa wa kazi zote za Stationery na mauzo. Pia, nina ujuzi wa Graphic Design na nina ujuzi wa kutumia mashine ya Heat Press Sublimation kuprint mugs, chupa, na T-shirts. Naweza kutengeneza picha mbao na...
  14. Mind stone

    JamiiForums Tanzania Wakuu bado natafuta kazi, na maelezo yangu ni hayo kwenye tangazo hapo chini

    Natafuta kazi na qualifications zangu zipo hapo kwenye picha ya Tangazo.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za kwenye idara ya procurement, lakini pia nina ujuzi kwenye ulimwengu wa social media na naongea kiingereza vizuri

    Habari wakuu Nimekuja kwenu kuomba yeyote mwenye kazi au connection ya kazi anisaidie. Sifa zangu Jinsia: Me Umri: 28 Eneo: Dar es salaam Elimu: Bachelor’s Degree in Procurement and Logistics Management Naonngea kiingereza vizuri sana Kazi ninazoweza kufanya kutokana na taaluma yangu ni idara...
  16. Avith almachius

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Nipo Dar es salaam natafuta KAZI yoyote ukiachana na professional yangu Nina Degree ya sociology and social work but nahitaji kazi yyte niweze kukidhi Mahitaji yangu unaweza kunipigia kwa namba 0777838901 NB NI SERIOUS ISSUE
  17. redpill evengalist

    JamiiForums Tanzania Kijana Mwenye Shida ya Ajira, Nipo Tayari Kufanya Kazi Yoyote Halali

    Mimi ni kijana niliyemaliza elimu ya Kidato cha Sita (Form Six) na nina uwezo wa kufanya kazi mbalimbali kwa bidii na uaminifu. Niko tayari kwa kazi yoyote halali ikiwemo za ofisini, ulinzi, kilimo, ujenzi, biashara au kazi nyingine zinazohitaji mtu mwenye kujituma. Nina nidhamu, moyo wa...
  18. ShL

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina Degree ya sheria

    Mimi ni kijana wakiume mwenye Degree ya sheria, Naamini hapa Jamii forums Kuna watu wengi na wenye michongo, hivyo Naomba nitumie nafasi hii kuomba yeyote mwenye nafasi ya kazi either inayofanana na Sheria au tofauti basi anisaidie Nipo Dar es salaam Simu: 0779724159
  19. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi. Nina fani ya udereva

    Wakuu habar naitwa Alex Peter nipo Dar es Salam, umri wangu miaka 29. Natafuta kazi yoyote, nina fani ya udereva kipindi cha nyuma nilikuwa naendesha bolt na uber. Naomba mwenye kazi yoyote anisaidie Elimu yangu ni diploma ya public administration and management Mawasiliano yangu ni...
  20. Marxist Del Capitano

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Kibarua (Moshi)

    Habari, natumaini mpo salama Naishi Moshi Mjini, Mimi ni kijana mchapa kazi na mahiri, hivyo kwa unyenyekevu mkubwa natafuta nafasi ya kazi ya Kibarua, popote Moshi mwenye anafaham naomba anisaidie.
Back
Top Bottom