nasikia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Nasikia Simbachawene ameambiwa apige jeramba kuna sub inafanywa

    Kwa tetesi zilizopo nasikia Simbachawene ameambiwa apashe misuli moto kuna namba uwanjani inapwaya vibaya mno... kikwazo ni kwamba hakuna kocha mwenye mamlaka wa kumtoa huyo mchezaji mchezoni labda wamuuwe
  2. JamiiForums Tanzania Nasikia Cement imepanda hadi kuuzwa Sh 22,000 kwa mfuko. Mtaani kwenu mnanunua kwa bei gani?

    Nimeona taarifa hii ya Azam TV ikieleza kuwa cement imepanda na kuwa baadhi ya maeneo inauzwa hadi Shilingi 22,000 hadi 23,500kwa mfuko wakati awali ilikuwa inaiuzwa kati ya Shilingi 15,000 hadi 17,000, sasa imekuwaje ghafla tu mzigo umepanda kwa kiwango hicho? Kuna nini nyuma ya pazia...
  3. JamiiForums Tanzania Nimekumbukwa, kieneo changu cha Makunganya huko Morogoro nasikia imegunduliwa dhahabu, watu wamekivamia. Walahi tutatoana macho

    Hamjambo wote! Baada ya wanaonichukia kunidhihaki, kuniponda, kunikejeli na kuninyali. Huku wanisema sina hili wala lile. Sina maisha wala kitu chakufanya. Wengine wamefika mbali wakinitukana na kuniambia nashinda tuu mitandaoni kurushiana maneno na watu. Sasa nimekumbukwa. Mambo yanaenda...
  4. JamiiForums Tanzania Nasikia sasa hivi kila pisi inakimbilia Geita. Kunani!?

    mashimo yatakuwa yametema
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Temeke hatujalipwa fedha za likizo tangu 2019, nasikia zimewekwa Fixed Account ziwazalishie

    Walimu Temeke hela za likizo hatujalipwa toka 2019, Ni huzuni tupu. Pesa nasikia wanazo ila wanaziweka fixed acc ziwazalishie, ni maumivu makubwaa. Tunaomba mtupazie Sauti. Mimi ni mwalimu, Temeke Manispaa, Dar es Salaam.
  6. JamiiForums Tanzania Nikimwona mwanamke ana kipini puani nasikia kinyaa

    Nikimwona mwanamke ana kipini puani naona kama kamfugo fulani hivi Wanawake punguzeni maurembo. Mara vikuku, huku kope za paka, mara uso unapakwa madudu mpaka unashindwa kujua huyu ni maiti au mzima
  7. JamiiForums Tanzania Nasikia alitokea kupendezwa na urembo wa mkamwana wake aitwaye zainab na akamshawishi amtariki mwanae ili amuoe.

    hamis77 Castle_Lite tupeni mwanga zaidi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Justine Kalikawe: Mwanamziki wa Reggae Mtanzania, Ndio kwa mara ya kwanza nasikia wimbo wake kwenye Daladala leo

    Hapa niko nasikiliza Mziki wa Justin Kalikawe Mwanamziki wa Rege asili ya Kitanzania, Mhaya kutoka Kagera Kibao kinachopigwa muda huu kwenye hii daladala ni " AMANI" AIdha ktk kuelimisha jamii, wanasiasa, kuhimiza utaifa na maendeleo mnamo miaka ya 1996 hadi 2000s alitoa kazi zake kama...
  9. JamiiForums Tanzania Mwamba huko Tarime kajinyonga kisa mpenzi wake na barua yenyewe alioiacha ndio hii

  10. D

    JamiiForums Tanzania Mlioko Dar nasikia barabara ya bandari imefungwa

    Nasikia barabara ya bandari dar imefungwa mlioko dar tuambieni kwanini? Halafu waliovalia sare za Jeshi la wanachi wakilinda vituoni vya mabasi ni wanajeshi kweli au kuna watu tu wamejishonea sare maana ni mpya zile.
  11. N

    JamiiForums Tanzania kuna dada anaitwa Magdalena Sabaya nasikia anakuwa mkuu wa wilaya samia kwa nini unatuchokoza ?

    mama kichwa cha habari kinavyojieleza nasikia huyu mdada anaandaliwa mkuu wa wilaya wakati ana historia mbaya sana na familia yao wa historia mbaya mno mno ,yeye mwenyewe nasikia mwizi na mkatili mno SAMIA SULUHU HASSAN PUNGUZA KUCHOKOZA WANANCHI NA HISIA ZETU
  12. JamiiForums Tanzania Nasikia Sigara inayopendwa na pia isiyopendwa na Watanzania wengi ya 'SM' inaweza Kutoweka kabisa Tanzania na sasa wala haionekani tena

    Geniuses wangu wakubwa hapa JamiiForums mrangi, King Kong III, adriz, Benny Haraba etc kulikoni Fegi hii imeadimika?
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Kilwa mgombea mmojawapo wa CCM ametupiwa onyo kali la kimbunga

    Wakuu, Nimeona video huko Facebook upepo mkali unabeba viti na inadaiwa kuwa imetokeo huko Kilwa kwneye moja ya mkutano wa wagombea ubunge katika mchakato wa kuomba kura za maoni kwa wajumbe huko CCM
  14. JamiiForums Tanzania Mtu anayeitwa kiparangoto ni nani? nasikia ndo anataka kukiondoa kitalu namba nne

    Leo nilikuwa Ofisini Ila nimeambiwa kuna MTU anaitwa Kiparangoto je huyu ni nani wakuu?.
  15. JamiiForums Tanzania Nasikia sasa wamesema bora tukose wote na tuanze upya!

    Wakuu kinachoendelea ni ule utaratibu wa bora tukose wote . Jamaa wa ubungo maziwa eti pale kwake Bukoba kijijini analindwa Kama sio yeye . Yule jamaa muhaya akili nyingi ana hasira za kupishana na tonge, karatasi pia alinyimwa . Na yeye anaona kurudi kupiga madesa anaona haiwezekani Je...
  16. JamiiForums Tanzania Nasikia Tajiri Kakasirika na kaachia Mzigo wa maana wa Usajili hivyo kuanzia Wiki hii ni Vyuma tu Vinashuka Lawama Kugombana Sports Club

    Wadanganyeni wengine ila siyo Mimi oky?
  17. JamiiForums Tanzania Nasikia nguvu kubwa sasa imeelekezwa kuangusha Mbuyu namba nne kwanza.

    Sioni Kama tutaendelea kuwa na mbuyu namba nne. Ebu tuone .
  18. JamiiForums Tanzania Haya fuatilieni haraka tayari Basi la KIDINILO limeshaleta Maafa huko Ubena Zomozi na nasikia kuna Taarifa si nzuri

    Tukisema kutwa hapa kuwa Wakagueni vizuri Madereva kama hawavuti Bangi na Mabasi yao yako Imara hamtuelewi tu.
  19. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nasikia mnataka kuwaacha Nahodha Zimbwe Jr na Kapombe. Kwa Kapombe nawaunga mkono ila kwa Nahodha Zimbwe nakataa 100%

    Na nimesikitika sana kusikia kuwa baadhi yenu Viongozi wa Simba SC ambao nawaheshimu Personally mkisema kuwa moja ya sababu Kuu ya kutaka kumuacha Nahodha Mohammed Hussein Zimbwe Jr Tshabalala ni kuwapiga Miba (Kuwaroga) Mabeki wazuri wa Nafasi yake ambao wanamzidi Uwezo. Ngojeni leo...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nimegombana na wife, nikazira kula chakula,na yeye wala hajajisumbua kunibembeleza,hapa nilipo nasikia ubao sio wa nchi hii

    Za kwenu wakuu? Jana usiku tulizozana na wife,nikaudhika nikazira kula msosi,nikajua labda angekuja chumbani kunibembeleza kula.matokeo yake naona mtu kaja chumbani kaingia bafuni kaoga kapanda kitandani kulala.hapa nilipo nina hisi ubao sio wa nchi hii wakuu. Is there any idea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…