nasikia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    Nikimwona mwanamke ana kipini puani nasikia kinyaa

    Nikimwona mwanamke ana kipini puani naona kama kamfugo fulani hivi Wanawake punguzeni maurembo. Mara vikuku, huku kope za paka, mara uso unapakwa madudu mpaka unashindwa kujua huyu ni maiti au mzima
  2. ELI COHEN

    Nasikia alitokea kupendezwa na urembo wa mkamwana wake aitwaye zainab na akamshawishi amtariki mwanae ili amuoe.

    hamis77 Castle_Lite tupeni mwanga zaidi
  3. B

    Justine Kalikawe: Mwanamziki wa Reggae Mtanzania, Ndio kwa mara ya kwanza nasikia wimbo wake kwenye Daladala leo

    Hapa niko nasikiliza Mziki wa Justin Kalikawe Mwanamziki wa Rege asili ya Kitanzania, Mhaya kutoka Kagera Kibao kinachopigwa muda huu kwenye hii daladala ni " AMANI" AIdha ktk kuelimisha jamii, wanasiasa, kuhimiza utaifa na maendeleo mnamo miaka ya 1996 hadi 2000s alitoa kazi zake kama...
  4. ELI COHEN

    Mwamba huko Tarime kajinyonga kisa mpenzi wake na barua yenyewe alioiacha ndio hii

  5. D

    Mlioko Dar nasikia barabara ya bandari imefungwa

    Nasikia barabara ya bandari dar imefungwa mlioko dar tuambieni kwanini? Halafu waliovalia sare za Jeshi la wanachi wakilinda vituoni vya mabasi ni wanajeshi kweli au kuna watu tu wamejishonea sare maana ni mpya zile.
  6. N

    kuna dada anaitwa Magdalena Sabaya nasikia anakuwa mkuu wa wilaya samia kwa nini unatuchokoza ?

    mama kichwa cha habari kinavyojieleza nasikia huyu mdada anaandaliwa mkuu wa wilaya wakati ana historia mbaya sana na familia yao wa historia mbaya mno mno ,yeye mwenyewe nasikia mwizi na mkatili mno SAMIA SULUHU HASSAN PUNGUZA KUCHOKOZA WANANCHI NA HISIA ZETU
  7. GENTAMYCINE

    Nasikia Sigara inayopendwa na pia isiyopendwa na Watanzania wengi ya 'SM' inaweza Kutoweka kabisa Tanzania na sasa wala haionekani tena

    Geniuses wangu wakubwa hapa JamiiForums mrangi, King Kong III, adriz, Benny Haraba etc kulikoni Fegi hii imeadimika?
  8. W

    PreGE2025 POTOSHI Kilwa mgombea mmojawapo wa CCM ametupiwa onyo kali la kimbunga

    Wakuu, Nimeona video huko Facebook upepo mkali unabeba viti na inadaiwa kuwa imetokeo huko Kilwa kwneye moja ya mkutano wa wagombea ubunge katika mchakato wa kuomba kura za maoni kwa wajumbe huko CCM
  9. Fufua Tumaini Jipya

    Mtu anayeitwa kiparangoto ni nani? nasikia ndo anataka kukiondoa kitalu namba nne

    Leo nilikuwa Ofisini Ila nimeambiwa kuna MTU anaitwa Kiparangoto je huyu ni nani wakuu?.
  10. DR HAYA LAND

    Nasikia sasa wamesema bora tukose wote na tuanze upya!

    Wakuu kinachoendelea ni ule utaratibu wa bora tukose wote . Jamaa wa ubungo maziwa eti pale kwake Bukoba kijijini analindwa Kama sio yeye . Yule jamaa muhaya akili nyingi ana hasira za kupishana na tonge, karatasi pia alinyimwa . Na yeye anaona kurudi kupiga madesa anaona haiwezekani Je...
  11. GENTAMYCINE

    Nasikia Tajiri Kakasirika na kaachia Mzigo wa maana wa Usajili hivyo kuanzia Wiki hii ni Vyuma tu Vinashuka Lawama Kugombana Sports Club

    Wadanganyeni wengine ila siyo Mimi oky?
  12. Now and then

    Nasikia nguvu kubwa sasa imeelekezwa kuangusha Mbuyu namba nne kwanza.

    Sioni Kama tutaendelea kuwa na mbuyu namba nne. Ebu tuone .
  13. GENTAMYCINE

    Haya fuatilieni haraka tayari Basi la KIDINILO limeshaleta Maafa huko Ubena Zomozi na nasikia kuna Taarifa si nzuri

    Tukisema kutwa hapa kuwa Wakagueni vizuri Madereva kama hawavuti Bangi na Mabasi yao yako Imara hamtuelewi tu.
  14. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC nasikia mnataka kuwaacha Nahodha Zimbwe Jr na Kapombe. Kwa Kapombe nawaunga mkono ila kwa Nahodha Zimbwe nakataa 100%

    Na nimesikitika sana kusikia kuwa baadhi yenu Viongozi wa Simba SC ambao nawaheshimu Personally mkisema kuwa moja ya sababu Kuu ya kutaka kumuacha Nahodha Mohammed Hussein Zimbwe Jr Tshabalala ni kuwapiga Miba (Kuwaroga) Mabeki wazuri wa Nafasi yake ambao wanamzidi Uwezo. Ngojeni leo...
  15. K

    Nimegombana na wife, nikazira kula chakula,na yeye wala hajajisumbua kunibembeleza,hapa nilipo nasikia ubao sio wa nchi hii

    Za kwenu wakuu? Jana usiku tulizozana na wife,nikaudhika nikazira kula msosi,nikajua labda angekuja chumbani kunibembeleza kula.matokeo yake naona mtu kaja chumbani kaingia bafuni kaoga kapanda kitandani kulala.hapa nilipo nina hisi ubao sio wa nchi hii wakuu. Is there any idea...
  16. R

    Tetesi: Nasikia mgombea mwenza anapigiwa chapuo kisa mzalendo ndio maana Bunge halijavunjwa!!

    Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!! Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!? Je tetesi hizo ni za kweli!!? Nasikia ndio maana vikao vya...
  17. DR HAYA LAND

    Nasikia kuna mtu anafanya warm up nafikiri utakuwa mpango wa kuingiza wapiga penati

    Hakika kumekucha safari hii sio mchezo Sub zote zimeisha Ila tunaingiza wapiga penati ambao wako wanafanya warm up. Sasa tusiangushane.
  18. Kusini pride

    Nasikia wakristo wakishika miti ya minazi mnazi unakufa na mkristo akipanda mnazi unakufa

    Wakuu nasikia hivyo wakuu leo nimekaa kijiweni na wazee wa pwani hapa pwani ya pangani wanasema kwasababu mti wa minazi ni twahara kwa maana hiyo ili upande unatakiwa uwe twahara ukiushika huo mti wa mnazi wakuu je ni kweli wakuu?
  19. NALIA NGWENA

    Je, tutegemee kuona tukio gani kwenye mchezo wa JKT Tanzania vs Simba SC?

    Karibu Wadau Wa Soka uweke utabiri wako Wa tukio la kustaajabisha litakalokuacha mdogo wazi (kupigwa bumbuwazi) kwenye Mchezo Wa JKT Tanzania vs Simba SC kati ya haya yafuatayo. (1) Penati ya mchongo Baada ya mchezaji kujiangusha kwenye Penati box (2) Kadi nyekundu yenye utata na...
  20. B

    Nasikia Tusiime imebaki na wanafunzi mia mbili? Ni kweli?

    Kutoka wanafunzi elfu tano hadi mia mbili? Ni kwamba wazazi wame zikubali kampeni za LIKUD na kurudisha watoto wao Kayumba ama?
Back
Top Bottom