naona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini wasijaribu kutaka kuzichapa na Rwanda. Watachakazwa vibaya sana

    Kagame anajiamini anajua anachofanya. Kumwambia SA kuwa "ukitaka kupigana njoo...... " Anajua kuwa SA. hawana jeshi lenye nidhamu na pia hawaifahamu Congo na Misitu yake. Huwezi pigana na Kagame katika misitu ya Congo atakuchapa. Anaifahamu vizuri. Labda sasa mpigane kwa kurushiana mabomu tu...
  2. JamiiForums Tanzania Bado naona Salum Mwalimu akiwa hajatumika ipasavyo CHADEMA, bado ana vitu vingi vya ku-offer

    Wakati Lissu na timu yake wakiandaa mikakati mbalimbali bado naona anahitajika mtu Kama Salim Mwalimu katika safari ya ukombozi . Nimemfahamu Salim Mwalimu tangia akiwa Vodacom katika idara ya masoko na pia nimewahi kufanya nae kazi katika taasisi Fulani . Ni Kijana smart ,humble and goal...
  3. JamiiForums Tanzania Ajira Portal Login na Registration - Naona ni Changamoto Kwa Baadhi ya Vijana

    Katika pita pita zangu hapa jamii forums, haswa katika jukwaa hili la ajira na tenda... moja kati ya mambo ambayo nimeyagundua ni kuwepo kwa changamoto kwa vijana (haswa ambao ni wapya katika soko la ajira), ama wakiwa hawafahamu ajira portal ni kitu gani, ama wanashindwa kujisajili na baadhi...
  4. JamiiForums Tanzania Washa VPN, X naona ina kamzozo

    Naona mtandoa wa X unasumbua washeni VPN
  5. JamiiForums Tanzania Wapendwa naona kama mwisho wangu umekaribia

    Habari za wakati huu, Sijui wapi pa kuanzia Ila tangia mwaka 2018 niliamua kuacha kazi na kuanza maisha ya kujiajiri. Kazi niliacha baada ya kuona biashara zangu zingine ndogo ndogo zinalipa Ila changamoto ilikuwa ni kukosa usimamizi nzuri. Pia sababu nyingine ilikuwa kutoelewana na...
  6. JamiiForums Tanzania Ndoto ya kumiliki EV naona inayeyuka. Anaehusika na kuset kikokotoo TRA amelisikia ombi, ila kapunguza Milioni 2.5 tu!

    Niseme tu 2025 kumiliki EV yangu ya kwanza kushakauka kama hivi. Baada ya kukesha na kuomba muhusika wa TRA acheki vizuri kikokotoo nilete Nissan Leaf nisupport juhudi za green environment na kuwaunga mkono TANESCO naona mission imefeli. Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA nayo naona ina mfumo wa kulindana. "Kunya anye Kuku akinya bata Kaharisha"

    Hamjambo wote Bila Shaka. Lissu amezidi Kuonyesha rangi halisi za CHADEMA. Kwa kweli Watanzania wengi hawakutegemea haya wanayoyaona kwenye Chama hiki. Lissu hacheki na wowote. Lisu hana mawe mawili ya Kupimia. Yeye Mla Rushwa na CHADEMA ni sawasawa na mla Rushwa wa CCM. Wote ni wla Rushwa...
  8. JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza jezi ya Madrid ila naona website haifunguki

    Wakuu nataka kuagiza jezi original ya Madrid ila Kila nikifungua website Yao haifunguki Hawa jamaa shida itakua nini naombeni anaejua maana Nataka kuagiza jezi tatu zote wakuu
  9. JamiiForums Tanzania Naona mmetoboa 2025

    Mshukuruni Mungu....enendeni 2025 na moyo mkunjufu. Mwenyezi Mungu akafanikishe kila mlipiganialo maishani. Mkawe na afya, mkastawi. Nawapenda sana.🤞
  10. JamiiForums Tanzania Naona Leo polisi wameruhusu maandamano ya Mbowe

    Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Mbowe, Lema, Sugu na wenje mbali na siasq wanaweza kufanya kazi gani? Lisu naona yuko katika genge la wahuni na zero brains.

    Kwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba. Watanzania mjue hawa hawaki kwa maslahi yenu bali ni njia ya kujinufaisha wao wenyewe. Uzuri kwa hili...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Mbowe, Lema, Sugu na wenje mbali na siasq wanaweza kufanya kazi gani? Lisu naona yuko katika genge la wahuni na zero brains.

    Kwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba. Watanzania mjue hawa hawaki kwa maslahi yenu bali ni njia ya kujinufaisha wao wenyewe. Uzuri kwa hili...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni fundi wa kucheza na Upepo, naona sasa CHADEMA imeutawala upepo, usishangae anafanya uteuzi wa waziri Tena wa fedha week hizi!

    Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia, Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Masudi Kipanya leo naona kaamka na sisi

    Just imagine mwana wa mai yani hivii kabisa hivii🤣🤣😆
  15. JamiiForums Tanzania Naona sasa mchezo wa ndondi nao wameingia kwenye mfumo waja na ''Knock out ya mama''

    Wakuu ! Inawezekana tumezoea kuona mchezo wa mpira wa miguu ukipata faida kutoka kwa serikali. Mfano goli la mama katika michuano ya kimataifa na hapa naweza kusema Yanga na Simba ndiyo wamenufaika zaidi kulamba mihela ya goli la mama na hata timu ya taifa nayo siku kadhaa zilizopita walipata...
  16. JamiiForums Tanzania CCM naona mmekosa mlichokita Mkutano wa Lissu

    Wengine tulijua hamu yenu ya kugeuza maneno ya Lissu kama angalau angemtaja Mbowe kidogo tu. Sasa naona mitandaoni mnakuja na stori za kuungaunga. Mmeaibikla. CCM mmekikosa mlichokitaka mkutano wa Lissu.
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanapenda kunyenyekewa na kupewa heshima

    Kumekuwa na changamoto sana hasa hawa Dada zangu wanao pata mafanikio ya kimaisha, au wamepata kazi nzuri, idadi kubwa ya dada hawa huwa ni single mother Wengine huishia kuwa Mashangazi sijajua shida ni uwezo wa kimaisha walio nao ndio unawatenga na kujihusisha na mahusiano au shida nini...
  18. JamiiForums Tanzania naona kama Bongo star search wamekosa mvuto kwasasa?? Shida nini

    Wakuu naangalia Bss naona inaniboa kabisa pia nimeangalia hata wanao view kwene social media wana zidiwa hata na wachekeshaji wadogo wakati ni tukio kubwa sana!
  19. JamiiForums Tanzania Waziri mpya wa Sanaa na Michezo (Prof. Kabudi) naona hatoshi huku

    Naheshimu sana mamlaka za uteuzi wake Naheshimu taalumu, wasifu na uwezo wa Professor Paramagamba Kabudi ila nadhani huku hapamfai Natoa tu maoni na mtazamo wangu wala neno langu sio sheria Waziri Paramagamba Kabudi ana umri wa miaka 68, na wizara anayokuja kutumikia inashirikisha vijana yaani...
  20. JamiiForums Tanzania Ni Mimi tu ndio naona na kusikia! Kampeni za CCM hazina Mvuto

    Ninajaribu kudadisi kuona namna CCM inavyoendesha kampeni zake. Naona hazina Mvuto. Nimejaribu kuangalia kwenye magroup ya wasapu kimya kingi. Nafatilia mtaani wengi wanasubiri kupewa chochote.. wafia chama wamepungua Sana. CCM embu changamkeni Ili kampeni zichangamke. Au komba kakosa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…