naona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TAKUKURU bila upendeleo wanapaswa kumchukulia hatua na Samia kwa kugawa rushwa naona tu rushwa zinahesabiwa kwa wale wa ubunge na udiwani

    TAKUKURU bila upendeleo wanapaswa kumchukulia hatua na Samia kwa kugawa rushwa naona tu rushwa zinahesabiwa kwa wale wa ubunge na udiwani. Walichokifanya hao wa ubunge na udiwani ndio kile kile alichokifanya Samia, kama samia kwake sio rushwa basi hawa wengine nao sio rushwa. lakini kama kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa Kariakoo, wapi naweza pata VR Box? Maana naona imeanza kuwa maarufu

    Hii kifaa inaitwa VR BOX, Nimeitafuta kwa mda mrefu sasa bila mafanikio. Leo nipo darasalama tena nipo mjini kabisa. Mwenye dukani kwake anauza anipe taarifa.
  3. JamiiForums Tanzania Me naona NI Bora kugoma kuliko kuandamana

    Kuandamana kwa sababu yoyote Ile sijawahi kuona kama inasaidia kwa nchi zetu hizi za kiafrica ni kutafuta Tu shida.embu tuchukulie mfano Angola Jana madereva na wananchi eti wanaandama kisa bei ya petrol kupanda haya wameuliwa na police na wengi majeruhi. Lakini unaonaje kama wangefanya...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu naona hili tangazo la shughuli wasizotakiwa wageni kufanya halijakaa sawa kidiplomasia

    Ukiingia mtandaoni utaona pages nyingi za nchi jirani zilizoko SADC na EAC haziongelei kwa uzuri hili tangazo la Jafo. Kwa majirani zetu ni ngumu kujua kama walengwa wakuu ni wachina. Watu wengi wameona kama limekaa kibaguzi. Mimi ninashauri badala ya kuleta matangazo haya yaliyokaa kisiasa ni...
  5. JamiiForums Tanzania Naona WWE imefika Kwa waturutumbi

    Sa mmoja akifa hapo wanasolve vipi? Hawana familia zinawategemea hawa? Wenzao wanapigana juu ya board Ina string mazingira yamejaladiwa na masponge wao wanapigana juu ya mbao. Na wanapigana huku wamevaa vijora https://www.facebook.com/share/r/1CFVdCHFUQ/
  6. R

    JamiiForums Tanzania Maria space leo haipatikani, naona hata VPN haifanyi kazi. Kwenu vipi? Hata JF kufunguka ni shida

    Maria kama inawezekana uwe una rwecord unatuwekea kwenye youtube. Naona wamebinya walposikia Heche atahutubia........ tumekwisha
  7. JamiiForums Tanzania Kuna business ya network Jana niliuIizia huku..nkauliza baadhi ya watu huku MKOA naona kimewaka huko helà hazitokii!!!

    KUULIZA KWELI SIO UJINGA AISEE JANA NILIKUTANA NA MATE MMOJA AKATAKA KUNIPA MAMBO YA KUWEKEZA NKAONA NIULIZIE HUKU JAMAA WANAITWA LSSC BAADA YA KUPATA MAJIBU HUKU NILIJIONGEZA KWA JAMAA MMOJA ALIEWAHI KUNIINGIZA KAMPUNI MOJA NIKAINGIZA HELA KWA TAMAA NIKAWEKEZA UJE MZIGO WEWE WAKAPITA NAZO...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ikiamua kufatilia swali la vyeti naona kuna taasisi zitakosa wafanyakazi

    Swala la vyeti tanzania bado ni tatizo wengi wanavyeti ya kuungaunga tu janjajanja tu mjini Katika hili swla la waandishi wetu wa habari tena maarufu kukosa sifa ni taswira tosha ya elimu yetu hii kunawatu wanakosa sifa ila ni janjajanja tu mjini, mtu akijua kuongea kwenye mic tayari anakuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma leo naona ni vicheko tu huku mtaani, kuna siri gani?

    Naombeni mnijuze, mimi ni bodaboda hapa kazuramimba. Mji leo umechangamka, NMB pamefurika, baa zimechangamka. Leo ukipaki kijiweni dakika mbili tu mteja huyu hapa!! Leo kuna siri gani huko?
  10. JamiiForums Tanzania Video: Naona hapa Simba nae alikuja kupiga picha?

    Wakuu, Hivi hapa ndo unafanyaje? Unarudi kwenye gari au unakubali kuwa kitoweo?
  11. JamiiForums Tanzania KERO Responded Soko la Kariakoo linafunguliwa lini? Naona wana kazi ya kuwasha taa na kuzima tu!

    Soko Kuu la Kariakoo lililoungua Mwaka 2021 kisha kujengwa lote limekamilika, pamoja na kwamba kumekuwa na ahadi nyingi za viongozi wetu lakini kwa ufupi hakuna kinachoendelea cha maana mpaka sasa. Kinachofanyika ni kuwasha taa usiku na kulinda, sasa wanasubiri nini? Maana mpango wa kufungua...
  12. JamiiForums Tanzania Naona mechi ya single na wenye ndoaaaaaa naoita tuu...

    SASA tulioachika sijui TUKO kundii. Ganii na linii tutachezaaa NAWATAKIA MECHI njemaaa wote mtakaoshirikiiii All d best Maswali mengi sitakii
  13. T

    JamiiForums Tanzania Naona ikitungwa sheria ya serikali kujimilikisha account za mitandao ya kijamii ya viongozi na social influencers wote

    Kwa mambo yanayoendelea Kuna uwezekano kuna sheria zinatungwa serikali kujimilikisha account za viongozi na social influencers, maana yake hata kama account ni yako binafsi, as long as we ni public figure au kiongozi, utatakiwa ku handle credentials kwa serikali Ili ukija kuhasi, basi usipate...
  14. JamiiForums Tanzania Mkimsema vibaya Mh. Rais naumia sana wakuu, naona kabisa mnanizibia riziki

    Wakuu kwanini msikae kimya tu hata kama mnamchukia? Huu ni wakati wetu wa kutamba na mama yetu. Nyie tulieni ikifika zamu yenu mtatamba na wakwenu. Mnanikosesha amani, nikiongea mnaanza kuniita Ponjoro wa Kinondoni , jina sio baya sana ila mtulie nasisi tule keki ya taifa, tukishiba mtakuja na...
  15. JamiiForums Tanzania Sasa kina Mama wamehama upande wa Kubeti, siyo Vikoba tu

    SIO VIKOBA TUU Wakuu, Mambo yanaendelea kuchangamka ni hatari, hii ndiyo ile hamsini kwa hamsini hakuna kuacha gap, nilijua ni kwenye Vikoba tu kumbe ni muendelezo wa kukaba maisha yaendelee Mtaani hakuna kupoa
  16. JamiiForums Tanzania Nipo Tandahimba, naona walimu wamekusanyika kwa Mtendaji Kata wanarudisha barua za kusimamia uchaguzi

    Hili kundi bado lipo nyuma sana kifikra. Wapo bize hapa wamejazana kwa Mtendaji Kata warudishe barua za maombi ya kusimamia Uchaguzi Mkuu. Naambiwa leo ndio mwisho, kwanini kada nyingine hazijichoreshi namna hii kama hawa ndugu zetu?
  17. JamiiForums Tanzania Leo naona wafuasi wa Gwajima walijitahidi kuwabishia polisi wakidhani huo ndio utaratibu wa kubishana na mamlaka na kupata haki yao

  18. JamiiForums Tanzania Bunge linamalizika, je Samani huwa zinabadilishwa, naona fursa ya Viti vile😌

    Mwenzenu nawaza fursa tu, si unajua pesa ya kutegemea mbaya.. haya tuachane na hiyo😊 Bunge hiloo linaenda zake, je huwa wanautaratibu wa kutoa zile Samani zake? Maana ni almost 5 years nadhani wanatumia, kama wanauza tupeni network jamani tukapambanie, hata pcs 100 tu. Kwanza tunapunguza nuksi...
  19. JamiiForums Tanzania KWANINI GARI NYINGI ZINAZOTOKA JAPAN ZINAKUJA NA ILE NAVIGATION MONITOR LAKINI INAKUWA NA RAMANI ZA JAPANI NA HUKU BONGO NAONA KAMA HAZIZINGATII

    Kwema wanajamii forum, Moja kwa moja kwenye mada kwanini hizi gari zinatoka japan nyingi kama sio zote zinakuja na ile screen inakuwa na ramani za miji na navigations za japan kwa huku Bongo watu wengi hawazitumii na zinakuwepo tu kama pambo au kwa hapa bongo hakuna fundi wa kuwepa shapefiles za...
  20. JamiiForums Tanzania Nimemfungulia wife biashara ndogo tu! Ila naona kama ishaanza kumpa jeuri Najutaaa

    Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi. Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka. Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno Nikiazima hela yake kama nina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…