naona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Naona Trump anaigeuza Marekani kuwa kama Ujerumani enzi za Hitler

    Siasa za Marekani zimegeuka na kuwa kama za Afrika ndani ya muda mfupi. Bw. Trump kila ambaye anapingana naye basi anakuwa mbaya na waliomzunguka sharti kumsifia tu kama machawa. Siasa zimekuwa ni kuwatuhumu Demos ambao wengi wanakuwa referred kama the lefts na kila baya anawatuhumu wao Zamani...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Binafsi naona CRDB ndio inaanza kufa kidogo kidogo

    Huu ni mtazamo wangu: Kama ambavyo kiongozi wa nchi akifariki, wahusika huhitaji kujipanga kabla ya kutoa tamko kwa umma sababu ikiwa ni kuweka mambo sawa kabla ya kutangaza kifo cha Rais. Kwa msingi huo, hata taasisi Kama benki ambayo watu wengi wametunza fedha zao, inapokumbwa na tishio...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Kampeni Halisi za Uchaguzi 2025 zitaanza lini? Maana naona kama bado vyama vinatest Mitambo

    Natamani sana sasa CCM tuanze Rasmi Kampeni. Maana naona bado tunatest mitambo. Kumepoa sana huko Tanzania na kwenye mitandao. Chauma wametulia nadhani wanajipanga namna ya kuanza Kampeni maana nao ni muda sana toka kipindi kile wanazunguka zunguka kutafuta wanachama. ACT Zitto Kabwela...
  4. JamiiForums Tanzania Naona Masheikh wamehitilafiana huku, sisi tunataka wali wao wanakichafua.

  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Nasikiliza hotuba zake, hazina uhalisia

    ( hotuba nnazozisikia ni za for 4 leaver and not a Dr. As they say).. hazina uhalisia wala relevance ...ila mtu kamezeshwa tu ili apige Brabra muda usogee Salaam wana jamvi. Mara trekta milioni 10. Mara kusikiliza kero kidigitali. Mara nishati Safi ya kupikia. Tena mitaa ya viwanda sijui...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Nida na Vyeti vya kuzaliwa naona ni kama kero

    Tuendelee kuchapa kazi kulijenga Taifa..... MImi naona Kuna shida kwenye system ya vyeti vya kuzaliwa na Nida mfano taarifa zote zinazopatikana kwenye NIDA Zipo kwenye vyeti tena nida iko na Tarifa nyingi na za muhimu kuliko NIDA ss kwa nini kila ofisi ya serikali utakayoenda wanatak cheti cha...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna jambo ni kiiunganisha dot to dot naona kama vinafanana

    Unajua binadamu tuna roho ya kutamani zaidi hata kumuangusha yule unayemtamani ili ushikilie wewe.Hapa kuna mada nyingi ambazo kama mapenzi,biashara,ajira,vyeo na n.k katika maisha kuna mtu anatamani hawe yeye sio wewe. Sasa tuliyeaye alishamaliza hilo na sasa anatamani hata vyote tulivyo navyo...
  8. JamiiForums Tanzania Matusi ili yanoge mpaka usiku hapa Polepole ukileta mada usiku naona CCM wanachanganyikiwa:Muendelezo

    Mda mzuri wa kuwachanganya watawala weusi nguvu za giza ni zile mada unaleta usiku.Wazungu na waarabu na wa asia ukifatilia walivyokuja afrika waliingia usiku au kuna pambazuka na ili ndio watu weusi kushtuliwa usiku. DMZ ni code ya kijasusi
  9. JamiiForums Tanzania Yule mtu nilitaka kumjibu lakini naona posting yake imeondolewa.

    Yule mtu nilitaka kumjibu lakini naona posting yake chafu imeondolewa. Yule mtu alikuwa anasema amefanya ngono ya jinsia moja. Yule mtu atakwenda motoni kufuatana na kosa alilofanya. Sasa tuone kosa lipi la zinaa alilofanya na atakwenda Motoni wapi. Yule hakuweka dudu lake katika mdomo wa...
  10. JamiiForums Tanzania Niliwahi kuandika hapa kwamba Polepole alikuwa anamtumia Sabaya kuleta "mizigo" kutoka Manyara, naona sasa mwanga unafunguka

    Nimeshindwa jinsi ya kuupata ule uzi niliweka hapa miaka kama mitatu imepita. Kwamba procurement officer wa mizigo alikuwa Sabaya. Ndio maana alijiamini sana ndugu Sabaya. Haya sasa, na inasemekana Harakaraka yuko waya mkali. Anakula booster kila siku
  11. JamiiForums Tanzania Nashauri kama itawezekana na itawapendeza Wahusika naomba leo Kipa awe Aishi Manula kwani naona upo uwezekano wa kwenda katika Penati

    Namkubali na Namheshimu Kipa anayedaka sasa, ila kwa Ujuzi wangu nina Mashaka nae tu hasa katika Penati zikitokea.
  12. JamiiForums Tanzania Namfatilia polepole naona anarudia yale yale tu .VPN X Kwa Godbless lema

    Jamaa hana jipya wala hakua la maana ni michosho tu na kelele za kutaka ccm irudie mchakato wa uteuzi USSR
  13. JamiiForums Tanzania Naona tayari Laana ya wana Yanga SC kwa Timu yao Kuichangia CCM Milioni 100 imeshaanza Kulipa huko Kigali Rwanda

    Jifanyeni tu mpaka sasa bado hamna Matokeo wakati mapema tu tayari Kipa Mjibinuaji Onyesha Boksa keshawekwa 1...!
  14. JamiiForums Tanzania Mchungaji Kapola na Mke wake naona wana akili za kimasikini sana

    Hawa watu , they are poor. And they will die poor . Materials things like Car, house is nothing ikiwa una akili ya kimasikini.
  15. JamiiForums Tanzania Mke wa Ndugai hayupo sawa asaidiwe naona amepata hofu kubwa sana .

    Nimetazama Clip ya Mke wa Ndugai . Nimeona anahitaji msaada wa karibu wa kiroho na kisaikolojia. Msipuuze ujumbe huu watu ambao mpo Karibu na huyo mama. Kuna kitu anapitia ambacho either kinampa fear of unknown na kumpa guilty.
  16. N

    JamiiForums Tanzania Hivi hii imekaaje wakuu? Unakuta mwanaume mzima anasema "lol". Mimi naona kama sio sawa

    Hivi hii imekaaje wakuu unakuta mwanaume mzima anasema "lol" mimi naona kama sio sawa
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Waandishi wa habari wadaiwa kuzuiwa kwenda Kongwa kwenye msiba wa Ndugai

    Naangalia Azam TV FB Wameanza lawama wanadai waandishi wamezuiwa kuingia msibani Kongwa toka jana mpaka leo ♥️ ❤️ 👌 ✨️ 😋 Mmekwenda kuhoji nini kwani? Poleni na yaliyowakuta.
  18. JamiiForums Tanzania Naona maeneo yote korofi ya mapito ya maji kuna madaraja yanajengwa...hongera Mhe.Rais Samia

    Hii sio mara ya kwanza nikimtazama Rais Samia kwa jicho la kuondosha kero za huduma za kijamii kwa maamuzi yenye mkakati ,shabaha na yanayopimika kirahisi. Miaka kadhaa nyuma nikipita maeneo ya hedaru,mkomazi niliwahi kukutwa na changamoto ya gari kukosa udhibiti kutokana na mkondo wa maji...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naona Tv imaan ishageuka machawa na wao

    Katika juhudi za kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia kilimo cha kibiashara, mkoa umeanzisha shamba la pamoja la kahawa lenye ukubwa wa ekari 300 katika kijiji cha Makongora, wilayani Muleba, likihusisha vijana 300 waliopatiwa mafunzo na nyenzo. Aidha, kongani 4 za vijana zimeanzishwa katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…