naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naombeni support yenu wana jamiiForums

    Habari zenu ndugu zanguu Naitwa Michael Godfrey Kutoka Transpark Solution Marketing agency. Taaluma yetu ni kusaidia biashara yako kupata wateja zaidi kupitia promesheni, branding, na digital marketing. Tunaweza kukusaidia kuongeza mauzo. Naweza kukuelezea jinsi tunavyofanya kazi kama...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni muongozo. HGL division II ya point 10, ni kozi ipi yenye future ya kujiajiri ama kuajiriwa?

    Na kama nitapatiwa na jina la chuo inapopatikana hiyo kozi, itapendeza zaidi. Natanguliza shukurani.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 na kubahatika kupata 1.9, naombeni ushauri

    Habari zenu wakuu Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 Na kubahatika kupata 1.9 Katika process ya kuomba vyuo, nikaja kupata round ya 3 ambayo ndo ya mwisho kabisa chuo cha kampala, kozi MD. Sasa ndugu zangu, mm kwetu hoehae,uchumi ni mdogo sana kuweza kumudu hizo garama za ada ambayo ni...
  4. JamiiForums Tanzania Naombeni tafsiri ya huu wimbo kwa muktadha wa siasa za Bongo

    https://youtu.be/mpNrmB_Qe6U?si=mbUaIlbrDNWvaiyY
  5. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wakuu

    Wadau wa elimu, naombeni ushauri. Mimi ni mwalimu ngazi ya diploma muajiriwa. Nahitaji kufanya program nyingine tofauti na ualimu ili nifanyiwe recategorization. Ni ipi program kwa halmashauri ninayoweza kupata recategorization kwa urahisi kati ya hizi. 1.Bachelor of social work(OUT)...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Wadau wa elimu, naombeni ushauri. Mimi ni mwalimu ngazi ya diploma muajiriwa. Nahitaji kufanya program nyingine tofauti na ualimu ili nifanyiwe recategorization. Ni ipi program kwa halmashauri ninayoweza kupate recate kwa urahisi kati ya hizi. 1.Bachelor of social work(OUT) 2.Bachelor of...
  7. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amefeli F6 analia tu kila wakati naombeni ushauri

    Wajumbe hamjambo. Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6 Kapata as follows Gs - E Phy - S Chem - E Bio - D B/math - F Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Maisha ni very hard naombeni kazi

    Habari nilikuwa natafuta kazi here in dar es salaam nina miaka 20 kazi ni ya kuuza duka
  9. JamiiForums Tanzania Chama cha majobless naombeni mnipe URAIS huyu wa sasa hatufai

    JINA: Kijana Masikini SIFA: Nimewahi kumiliki hela za kutosha. kwanini aliyopo hatufai? 1. Hana nidhamu ya utu wala nidhamu ya pesa. (ushahidi ni ban alopewa jana) 2. Sio mbunifu. Akili imekorogeka na unywaji gongo kupita kiasi hivyo hawazi kitu kipya cha maana cha kuwatoa Jobless katika hatua...
  10. JamiiForums Tanzania Naombeni muongozo wa kwenda kushtaki jirani ambaye anachanganya madawa yenye sumu Kali ya kuua wadudu shambani

    Husika na kichwa Cha Habari Wadau naombeni muongozo hapa, je hii kitu ni sawa? Kwenye makazi ya watu mtu nyumbani kwake anachanganya sumu Kali zenye harufu Kali za kuua wadudu mashambani na kwenye mazao , hivyo harufu inasambaa kwa majirani na watoto are present Hivi hizi sumu si ndio...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jamani naombeni ufafanuzi kwa ambaye anafahamu hili

    Mimi Kila nikifanya mapenzi na mke wangu tukimaliza baada ya siku Moja anatokwa na chunusi usoni kipele kimoja au viwili hivi hili imekaaje wataalam wa Afya?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Maana ya Jina la Kichaga 'Monoruwa' – Msaada Tafadhali!"**

    "Maana ya Jina la Kichaga 'Monoruwa' – Msaada Tafadhali!" "Habari zenu wana jamii! Nina swali kuhusu jina la Kichaga 'Monoruwa'. Naomba mwenye ujuzi wa lugha ya Kichaga au historia ya majina ya Wachagga anisaidie kunielezea maana yake.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wakuu

    Wakuu naishi Morogoro mjini hapa na nilikuwa natafuta sehemu ambapo kuna msaada wa kujifunza meditation, ni hilo tu wakuu mwenye kujua anijulishe
  14. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni ushauri wenu nichukue hii simu au imekaa kishamba

    Infinix hot 50 pro+ Sifa zake; Display, Amoled Resolution, 1080x2436 pixels OS, Android 14 Chipset, mediatek helio G100 (6nm) CPU, (2x2.2 GHz Cortex-A76 & 6x2.0 GHz Cortex-A55) GPU, Mali G57-MC2 Memory, 16GB RAM - 256GB ROM BETTERY Type, 5000mAh Charging, 33 wired 50% in 26min Sijawahi kutumia...
  15. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kuhusu huu utata ulipo kwenye dini

    Habarin wakuu Kwanza kabisa mimi ni mkatoliki pure, nimekulia na kulelewa katika misingi ya imani.. Kama ujuavyo tena sisi wakatoliki sio watu wa kusoma biblia, mara nyingi tunaskiliza tu mahubiri na kusomewa neno halafu ndo inakua imetoka hiyo. Kuna mwaka fulani nilibahatika kukaa na watu...
  16. JamiiForums Tanzania Nimeanika mahindi nje nimekuta hali hii, Naombeni ushauri wenu

  17. JamiiForums Tanzania Mliobahatika kupata vitu vizuri kwenye mnada unaoendelea pale Bunju mianzini naombeni mrejesho

    Mnada wa kampuni inayoitwa KC GLOBAL unaoendelea pale Bunju mianzini jamaa anajinadi anauza tv 43 inch smart laki tatu na 55 inch laki tano laptop laki moja monitor 24 inch elfu 50 nimefika pale kwa lengo la kununua monitor 24 inch lakini zilikua zimeisha zimabaki za inch 17 bei yake ni elfu 30...
  18. JamiiForums Tanzania Naombeni kuuliza waungwana

    Kwa mfano kesho trh 12 June 2025 vijana waliochanguliwa polisi wanatakiwa kureport katika shule ya mafunzo ya polisi pale moshi, nina mwanangu anavigezo na hakubahatika kuchaguliwa, je nikisema nimnunulie requirements zote zinazohtajika waliorodhesha polisi then na yeye akaungane na hao...
  19. JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri, upendo wangu kwa mke wangu unashuka

    Nina jambo ambalo ningependa mnishauri, linanisumbua sana. Nisaidie kufanya maamuzi. Nina miaka 29 ni baba wa watoto wawili. Nimeishi na mke wangu toka 2020 nilipomaliza chuo. Tumepishana umri kidogo yeye ana 34. Wakati tunakutana alikuwa ameajiriwa na immediately tukawa tumeclick maana...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Jamani naombeni msaada wenu, mke wangu katapelewi Magufuli stand

    Jamani naombeni msaada wenu, mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda Kyela lenye jina la Kyela Express. Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea. Namba ya Hilo gari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…