Hili jambo linanitafakarisha sana wanajamii!!
Habari!?
Mimi ni kijana wa makamo, natoka familia ya kawaida, baba alikua mtumishi na mama ni mama wa nyumbani tu!
Nina changamoto Moja hivi, naomba kushea mnipe mawazo walau nijue naanzia wapi.
Nina miaka 34 Sasa naelekea 35, Sina familia swala...