naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Naomba niulize hivi 4 R zilianza tarehe ngapi na mwezi upi hapa Tanzania?

    Naenda kwenye maada Moja Kwa Moja hivi 4R za mama Samia chimbuko lake na zilianza kutumika lini hapa Tz. Ahsante naomba kuwasilisha
  2. JamiiForums Tanzania Naomba msaada namna verification ya Channel YouTube

    Habari za wakati huu wakuu! Nimefungua channel youtube lakini iko limited kupost video zenye urefu zaidi ya dakika 15 kwa sababu bado sija verify. nimejaribu kuverify lakini kila muda ina niambia either hivi. au Naombeni kujua ni fomart gani ya namba youtube wana accept maana nimejaribu...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nina mgonjwa nahitaji kwenda India naomba connection

    Wakuu Nina mgonjwa anatakiwa operation ya ziwa, naomba nisaidieni agency contact au watu wanaohusika na matibabu ya kwenda India. Natanguliza shukrani za dhati kabisa kwa waungwana. God Bless You.
  4. JamiiForums Tanzania Tunaomba kiundwe chombo cha kusikiliza madai na madeni ya wazabuni wote wanaoidai serikali nchi nzima

    Hili naamini liko ndani ya uwezo na maamuzi yenu. Kwa ridhaa yenu tunaomba kiundwe chombo cha kusikiliza madai na madeni ya wazabuni wote wanaoidai serikali nchi nzima , madeni yanayo anzia miezi 3 na kuendelea kulingana na sheria ya manunuzi ya nchi yetu. Kisha Taasisi inayosumbua wazabuni au...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujua umri wa Boka, nahisi kaja kula pensheni yake

    Yanga tumesajili beki mpya wa pembeni Boka. Anachukua nafasi ya Lomalisa. Jana alicheza dakika 10 tu akatoka nje kwa majeraha. Naomba kujua umri wa huyu veteran wetu mpya? Kuna hesabu napiga hapa…
  6. JamiiForums Tanzania Naomba anaejua anifundishe jinsi ya kuanza kuhubiri neno la Mungu

    Habari wakuu Kama kichwa kinavyosema hapo juu naomba msaada,pia kama Kuna group za Whatsapp naomba kuunganishwa.
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu hii ofisi yangu TRA wanataka niwe na leseni.

    Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80 Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama unavoiona hapo.
  8. JamiiForums Tanzania Hatimaye Chief Godlove abambwa. Adaiwa kupost hela feki mitandaoni ili kuwahadaa watu kwamba ana hela

    Chief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya elfu kumi kwa juu ila kwa chini ni vimbao. Ukitazama vibaya unaweza kufikiri ni mabulungutu...
  9. JamiiForums Tanzania Wanasheria na wadau wa sheria naomba mnieleweshe kifungu hichi cha katiba

    katiba ya jamhuri ya muungano ya mwaka 1977 yenye marekebisho madogo,nimeona katika kifungu namba 34 ibara ndogo ya sheria 4 na 5 yenye kipengele a na b,nimepata ugumu kufahamu naomba nifahamishwe. (4) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Naomba orodha ya majina ya Mitume na Manabii ambao waliuawa na Mayahudi kama inavyoekezwa kwenye maandiko

    Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu pamoja na madai kuwa mayahudi wamekuwa wakiua Mitume mara kwa mara, bado Qur'ani tukufu haijataja majina ya mitume hao. Je ni manabii gani hao ambao Wayahudi wanadaiwa kuwaua? Je nini madhumuni ya mashambulizi haya ya mara kwa mara dhidi ya Wayahudi...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nifanyeje nirudie mwili wangu wa awali? Nimenenepa

    Mimi nataka kupungua nirudie upotable wangu sasa nitafanyaje niwe kadogo tena, sina mtoto mie kanene tu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kitabu kinaitwa THE ANIMAL FARM

    Wakuu naomba kitabu kinachoitwa THE ANIMAL FARM
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa eti nyau asipoomyeshwa kufukia mavi na mamayake atajua ?

    Kwa mnaojua au mnaofuga Paka me Nina swali moja Kwa mfano nyau kazaliwa leo halafu ukamtenga na mama yake je atajua umuhimu wa kufukia kinyesi chake?? Na kama atajua ni nini hiko kitachomwongoza?
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kujua nikiagiza Dualis from Japan hadi mlangoni kwangu Tsh ngapi

    Naogopa kupigwa naomba msaada. Kichwa hapo juu kimeongea. Naona bei kwa kule ni 3346USD Kwa nilivyosikia bei inakua mara mbili 8883630 x2 haikosi 18,000,000 Wakuu ndivyo??
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, Hii Speed ya Internet ni nzuri?

    Wataalam. Ninatumia hii router ya Airtel 5G, sasa kwa hapa nyumbani nikirun test inanipa hizi download na upload speed: Je, ni speed nzuri? Nimelipia ile ya Elfu 70. Nikirun speed uwa inakuja 10Mbps hadi 15Mbps. Kwa YouTube 720p kwenye TV inaenda vizuri, buffering mara chache especially...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza hivi huyu ni nani?

    Nipo nyumbani hapa naangalia mtandao x naambiwa kuna mtu kapigwa kauziwa barafu jangwani ?
  17. T

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada kujua fee structure ya chuo cha Muhimbili College of Health and Allied Sciences.

    Habari wana JF, Husika na kichwa hapo juu. Naomba kufahamishwa ada ya diploma ya nursing kwa mwaka ni shilingi ngapi? Pia, gharama za hostel zao ni shilingi ngapi kwa mwaka na je, mwanafunzi anaweza pata hostel kwa miaka yote mitatu? Naomba kwasilisha, mnaojua mnisaidie!
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kujua utofauti wa Bachelor of Medicine na Bachelor of Surgery vs Doctor of Medicine

    Habari wa kuu. Nikiwa naperuzi kuangalia kozi mbalimbali kwenye guide book ya TCU kwa mwaka 2024/2025 nilipofika chuo cha kampla nikakuta hiyo kozi. Naomba kufahamisha utofauti wake kimajukumu katika kozi hizo mbili.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kwenye hii Picha ya Kim Jong Un na Raisi wa Ukraine

    Jamani hii Picha ninayo iona hapa ni ni ya kweli au imetengenezwa na akili mnemba AI
  20. JamiiForums Tanzania Tafadhali Wakatoliki Wenzangu mliokomaa katika Ukatoliki naomba huu ufafanuzi wa nani hasa anatakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu Siku za Maombi

    Kama ni kweli kutokana na Mkatoliki Mmoja kuniambia kuwa anayetakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu / Mkate wa Bwana hasa Siku za Ibada za Jumapili na nyinginezo ni yule tu ambaye Kaungama dhambi zake Siku ya Alhamisi ya Wiki husika basi nina uhakika wa 100% Dhambi ambazo GENTAMYCINE ninazo mpaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…