naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali

    Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali
  2. JamiiForums Tanzania kwa anaejua watanzania wanataka nini naomba munambia hapa jukwaani.

    naona wabongo vichwa vyetu ni sifuri hatujali kuhusu maisha ya baadae na kizazi chetu,what we look for enternment simba yanga,mabishano ya kiimani na kisiasa,vichekesho na kudanganywa sioni watu wakichukulia serious mambo ya siasa na maisha yao.
  3. JamiiForums Tanzania Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  4. JamiiForums Tanzania Watu wa Mungu kulingana na hili linalo endelea ndani ya nchi yetu. Naomba tujifariji kwa neno la Mungu. Maana ukombozi umekaribia.

    Kutoka 14:14. Mithali 24:24. Zaburi 98:9. Mithari 14:34. Kutoka 14 : 14 Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya. Mithali 24 : 24 Amwambiaye mtu mwovu, Wewe una haki; Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia. Zaburi 98 : 9 Mbele za Bwana; Kwa maana anakuja aihukumu nchi...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba niongee na nyinyi wamama mnaotumia watoto kama tiketi ya kutoka nyumbani

    Naomba NIONGEE hili jambo moja kwa moja hata kama sijatoa salamu.. Eeeenyiiii wazazi wa kike Kuna baadhi yenu mnapenda sana kuondoka/kutoka majumbani kwenu huku umebeba mtoto mgongoni au kumshika mkono ukiamini kwamba hata mzee akirudi nyumbani akiambiwa mama flani katoka na mtoto kunakuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa kozi aina yaa Filter Mechanics

    Masada wakubwa kuhus filter mechanics ni kozi inayohusu nini haswaa na ina upana gani kwenye ajira
  7. JamiiForums Tanzania Naomba niulize swali kwenu

    Heri ya Maulid waislam wote na nadhani mmekula chakula kitamu nakuenjoy Eti mtu aliyezaliwa 1989 mpaka 1995 na hawajaolewa mnawaitaje? Maana nimekuta hii video https://vm.tiktok.com/ZMh8XnhSP/ Niambie
  8. JamiiForums Tanzania Napenda pikipiki TVS lakini eneo nililopo wateja wanapenda BOXER. Naomba ushauri.

    Nimepita vijiwe kadhaa hapa nimechunguza kisha nikaona pikipiki nyingi ni boxer ikabidi niulize wadau hapa majibu yao ni kua TVS humpakii mtu haya maeneo TVS nenda mbeya au dsm. Lakini hakunitajia sababu kwa nini wateja wanapenda BOXER.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ndugu naomba ushauri akili imestack

    Mimi Nina umri Miaka 38 sasa Nina mahusiano na mwanamke tangu mwaka 2014 na tumezaa watoto 4 kati ya hao 1 Mungu amemchukua na sasa Hivi tuna ambaye mwezi wa 10 atatimiza mwaka na wawili wapo shule darasa la 3 na 2. Sijawahi kufika kwao tangu 2014 mpaka mwaka 2022 pale aliponiibia vitu vya...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza wakuu.....!!!!

    Samahani wakuu, Kwa wataalam wa mambo ya ujenzi naomba kuuliza swali. Hivi, kama umechimba shimo kubwa la maji taka (septic), kuna ulazima wa kuchimba shimo jingine kwaajili ya kudirect maji yanayotoka jikoni au unaweza tu yote ukayapeleka kwenye shimo kuu la maji taka? Asante Nawasilisha
  11. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza

    Et ni apps zipi unaweza kuwaita wadangaji online kama unavyoagiza Uber? Nimesikia mtu akinisimulia hii imenishangaza sana jamani
  12. JamiiForums Tanzania Morogoro is my Third Home hivyo naomba kujua kuna nini Kinaendelea huko hadi hii hali imetokea?

    MOROGORO - Moto mkubwa unavyoteketeza safu ya milima ya Uluguru kwa zaidi ya wiki moja sasa , milima hiyo ina umuhimu wa kipekee kwa kuwa ni vyanzo upatikanaji wa maji yanayotegemewa na wananchi wa Manispaa ya Morogoro na mikoa jirani. Chanzo: habarileo_tz Mdogo wangu wa damu kabisa steveachi...
  13. JamiiForums Tanzania TANESCO naomba mje mnipe mita yangu huyu dogo hapa simwelewi

    Hahaa nimejitutumua utazan bei najua ya kufungiwa mita private hapa ofisin. Wakuu nipeni Raman hapa salon hichi kifaa mita kufungiwa hapa ofisi bei gani? Pesa hazinifikii kwa wakati huku dogo akivimba tu mashavu. Dah.
  14. JamiiForums Tanzania Naomba “Recipe” Nzuri na Rahisi ya kutengeneza “Icecream” za nyumbani.

    Napenda sana kujifunza Mapishi mbalimbali na kutengeneza nyumbani. Lakini linapokuja Suala la “Icecream” za Maziwa kuna kitu Bado sijaelewa vizuri. Wajuzi wa kutengeneza naomba msaada.
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua bei ya tiles za jumla au connection ya kiwandani

    Habari ya muda huu wadau. Nipo stage ya kuweka tiles, sasa hizi hesabu zinanipa headache. 40×40 - box 65 25×40- box 45 Skirting - box 7 Tiles za tangastone- box 18 Naomba msaada wa kupata namba/connection ya kiwanda cha tile twyford pale chalinze. Au, Kujua wholesale price ya tiles za...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza hivi Azam kuna mgomo?

    Azam kuna mgomo baridi wa wachezaji, mbona magoli hawafungi? Wamebakia kuchana mikeka ya watu tu. Mtujuze kama wana mgomo tuachane nao. Na huyo wa kula wali na sukari ndo kwanza tu anazurula uanjani.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kuhamisha selection yangu kutoka DUCE kwenda UDSM Mlimani kusoma course nyingine tofauti na education

    Jamani nimekua selected course ya bachelor of arts with education Duce lakini ninahitaji kwenda udsm mlimani kusoma course nyingine nifanyaje ili kubadili admission
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: naomba ushauri.

    Mjumbe wa mtaa kaniletea barua ya wito naitajika kwa afisa mtendaji. Barua imeandikwa naitajika kwa 7bu ya kutolipa ela ya takaa Nimeshindwa kujua kwanza mm ni mtumish wa serikalini pia nipo single naishi mwenyewe nipo busy hata muda wa kushinda nyumbn sina mwez au wiki sirudi nyumbn kutokan...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba mwenye hii audio kamilifu anisaidie

    https://www.facebook.com/reel/1203968907588101
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama ya kujenga hii nyumba

    kujenga kama haka hadi finishing kanaweza kugharimu kiasi gani? kwa bajeti ya kawaida tu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…