naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nina maswali mengi mno juu ya 'Maelezo Tatanishi' haya kama Critical Thinker, ila naomba Kwanza nanyi muulize yenu ili atujibu mbashara

    Mwanaharakati na mhariri wa kujitegemea, Maria Sarungi, amesema baada ya kuachiwa jana usiku na watekaji, walimtaka asiongee na mtu yeyote na asizungumze chochote kuhusu tukio hilo. Maria amesema hayo leo, Jumatatu Januari 13, 2025, alipozungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi kuhusu...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kukutanishwa na tajiri Chief Godlove na Tajiri Chui

    Naombeni mtu yoyote au yeye mwenyewe kama atapita humu, naomba kuonana na watu hawa ili wanipe connection ya maisha, wanapata hela wapi? Hawa vijana wadogo lakini pesa ndefu sana. Msaada tafadhali.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie link ya kudownload majina Facebook

    WAkuu habari zenu. Naimba msaada wa link ya kunisaidia kudownload facebook contact nimehangaika sana nimeshindwa kama kuna mtu ana link naimba msaada wakuu
  4. JamiiForums Tanzania naomba kujua tofauti ya PEP na ARVs

    habari humu jukwaani,juzi niimenda kituo frani cha afya kuomba nipewe dawa ya PEp kutokana na mazingira hatarishi ya afya nilliowaeleza ,nikapimwa afya nikapewa dawa imeandikwa F67 je hii ndio PEp halisi au Ni ARVs?
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi Ambavyo Ningefanya Baada ya Kuishika Milioni 100 za haraka

    Kuna wakati mtu unapata pesa za haraka alafu unashindwa kuwaza ufanye nini kwa haraka ili pesa yako isiishe bila kufanya cha maana. Wengine wanapata kutoka kwenye kiinua mgongo, mafao fulani, wengine mkopo, wengine ni mgao fulani, wengine wanagawiwa kama zawadi n.k Kama mimi ningebahatika...
  6. JamiiForums Tanzania Jumatatu ni siku nzuri ya kuvaa mavazi meupe, kuelekeza nguvu zako za kike, na kufanyia kazi hisia, nguvu za kiakili na hali ya kiroho

    🚨🚨WAPENDWA HII NI TAHAJUDI YA JUMATATU NAOMBA MZINGATIE🚨🚨 👉Jumatatu ni siku nzuri ya kuvaa mavazi meupe, kuelekeza nguvu zako za kike, na kufanyia kazi hisia, nguvu za kiakili na hali ya kiroho. 👉Malaika ni Gabriel 👉Chakra: root chakra 👉Nambari: 9 👉Kipengele: Maji 👉Rangi: Mpya: Nyeupe...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, programu ya kilimo ya Waziri Bashe iliihusisha Zanzibar?

    Majuzi nilikuwa matembezini zanzibar, nilichokishuhudia ardhi yao si ya kutosha kwa kilimo kikubwa kile cha kimkakati, ambacho unaweza kuita kama kilimo haswa, Nikatafakari je haiwezekani kukapatikana vijana 300-500 wa kizanzibar wakaanzishiwa program ya kilimo, aidha Mkoani Morogoro au Tabora...
  8. JamiiForums Tanzania naomba kujua jina na tiba la ugonjwa huu

    habarini wana Jf,kuna mdogo wa mke amepata ugonjwa wa ajabu amekuwa ananyonyoka nywele kama mnavyoona yeye ni umri wa miaka 13 ,je huu ni ugonjwa gani tiba ni ipi.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa instructor wa puplic sector ambao ni ptss 3 unaweza ku range shilling ngap naomba mnifahamishe niweze fanya maamuz

    Mshahara wa instructor wa public sector ambao ni ptss 3 unaweza ku range shilling ngap naomba mnifahamishe niweze fanya maamuz
  10. JamiiForums Tanzania Wauzaji wa handbags na masimo kwa bei ya jumla naomba kujuzwa bei za handbags medium size

    Kwa wale ndugu zangu Wauzaji wa handbags na massimo(kama sijakosea kuiandika hiyo masimo) kwa bei ya jumla naomba kujuzwa bei za jumla handbags medium size pamoja na massimo Pia naomba kufahamu bei ya jumla kwa pochi kubwa za kike
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwa anayefahamu

    Kuna kampuni moja ilikuaga na ofisi Ubungo mawasiliano ila baadae walihamia Tegeta, shughuli yao ilikua ni kukopesha pesa kwa dhamana ya bidhaa za kielektroniki kama TV, Radio, Fridge au Simu. Nilisikia walihamia Tegeta ila kwa bahati mbaya kwasasa sina mawasiliano yao, yoyote ambae anawafahamu...
  12. JamiiForums Tanzania Ezekiah Wenje: Abdul Mtoto wa Rais Samia ni Muungwana sana hadi alikubali kwenda Tegeta kwa Lissu...

    MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ambaye anatuhumiwa kumpeleka Abdul kumhonga Mapesa Tundu Lissu. Wenje anasema Tundu Lissu alikuwa anadai pesa zake za Matibabu, Abdul ikabidi amfuate Tundu Lissu Tegeta kichukua Documents za matibabu ili...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelemishwa kuhusu ulaji wa Samaki wanaofugwa kwenye Mabwawa

    Kumekuwa na uwekezaji mkubwa wa ufugaji wa samaki hasa katika Ziwa Victoria. Hili ni jambo la kupongeza sana na mpaka Wachina wamejenga kiwanda cha vyakula vya hawa samaki. Juzi nimepita katika eneo la Luchelele Mwanza palipo na mabwawa haya ya kufugia samaki na kushuhudia uvunaji wao...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara

    Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
  15. JamiiForums Tanzania Naomba Kazi ya udereva

    Habari za muda huu Ndugu zangu naitaji msada wenu wa gar la kufanyia Kazi bolt Uber Nina uzoefu wa mwaka Moja Kwa sasa Niko tayari hata kuendesha gari binasfii Niko tayari naomba ushirikiano wenu Kwa mawasiliano 0658673259 0658673259
  16. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameingia kwenye mahusiano na mwanamke wangu. Moyo wangu unauma sijui nifanye nini?

    Habari za muda huu, Naitwa Jacob nina miaka 24, nipo chuo, naomba msaada wako kwa jambo nilopitia. Kwa sasa nimeingia mwaka wa pili, mwishoni mwa mwaka jana nilipata mpenzi ambae ni first year, anasomea diploma ya pharmacy anaitwa Kyrie (18 years). Nilimtongoza akanikubalia basi tukawa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu lodge/ guest Morogoro Mjini

    Ni maeneo gani Morogoro mjini ninaweza kupata lodge/ guest zenye sifa zifuatazo; Pawe pasafi sana Gharama affordable Isiwe na baa au makelele Pawe na uzio na usalama pia
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kutuma meseji ya kawaida(normal text) kutoka Airtel Tanzania kwenda United Kingdom(UK)

    Nduguzangu wasalaamu, kuna namba ipo UK, inaanzia na +44, haipo Whatsapp wala telegram wala wapi, nalazimika kutuma meseji kwa normal text tu, naombeni mnisaidie ni kifurushi kipi kutoka laini yangu ya Airtel hapa Tanzania, kitaweza kufanikisha hilo, au ni muda wa maongezi wa kawaida? Au...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada Naomba Data recovery

    Wakuu Naomba mwenye software ya kurejesha data ( Data recovery software) Windows 10 64 bit Natanguliza shukrani kwenu.
  20. JamiiForums Tanzania Anayejua maendeleo yaliyofanywa na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema atujuze

    Salaam wakuu, Kuna usemi kwamba siasa za Afrika zinafanana. Hakainde Hichilema Namfananisha na mpinzani flani wa nchi flani ya waliolala. Je, kuna mambo makubwa yapi amefanya mpaka sasa kuliko maraisi waliopita hapo Zambia?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…