naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ya kisiasa nchini, Naomba tuburudike kidogo labda tutaeleweka

    Yaonekana Viongozi wetu hawajui Afrika ilitoka wapi na inakwenda wapi. Hawajui nchi inatoka wapi na inakwenda wapi. Ko sa ni la CCM 'Kuokota' Kila mtu asiye na aibu akawe kiongozi.
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Chimbo la Perfume Kariakoo

    Mimi ni mfanyabiashara wa Mkoani, napenda nikija Dar hivi karibuni niangalie chimbo ambalo nitakuwa napata perfume kwa unafuu, Perfume ninazozihitaji ni zile za bei ya kawaida yaani ambazo kwa bei ya kuuzia rejareja zichezee kwenye elfu10 hadi elfu 60. Je ni maduka yepi yanauza Perfume kwa wingi...
  3. JamiiForums Tanzania Wenye Kuangalia Hii Tamthilia Naomba Kujua Jina la Huyu Mama Please

    Salaam/Shalom...! https://youtu.be/aURJp25qtdg?si=0--FAtawwgNmjrnd
  4. B

    JamiiForums Tanzania Je Bugando hospital inapokea wagonjwa wasio na rufaa kutoka hospitali zingine?

    Naomba kuuliza Je Bugando hospital inapokea wagonjwa wasio na rufaa kutoka hospitali zingine? Nataka kwenda kutibiwa Bugando hospital.
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kueleimishwa kuhusu mimba ya huyu mke wangu

    Nina mwanamke wangu mara ya mwisho kuingia hedhi ilikua tarehe 20 august 2024 na tulisex tarehe 31 august na tarehe 1 september ila tarehe za kujifungua naona zmepitiliza zile siku 280 lakini mpka leo tarehe 8 june 2025 bado anayomimba au mm calculation zangu sijapiga vzur naona tarehe...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu Mercedes benz c class 2005

    Habari za majukumu wakuu Kama kichwa kinavyojieleza nahitaji kununua mercedes benz c class (c180/c200) ya (2000-2005) hizi ndonamudu ushuru wake naomba kufahamu kuhusu uimara kwa ujumla na upatikanaji wake wa spare...gharama za huduma Natanguliza shukrani
  7. JamiiForums Tanzania Jamiiforum naomba kujua kuna ukweli gani kwa nini mada ambazo uzushi wa ccm ya serikali zinakuwa jamiicheki ila zikiwa serikali zinafutwa

    Ili jambo naomba kuuliza maana siku hizi unaweza kujaza maneno ukaishia kufutwa uzi. Mfano huu na bado mnaweka mada kudai kama uzushi
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Gerson Msigwa kafunga comenti instagram ni sahihi naomba kuuliza

    Moja ya post Tumejipanga kusimamia miundombinu ya michezo. Post hiyo upande wa comment imefungwa na Msigwa je hii ipo vipi?
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza siyo Kwa ubaya lakini

    Shikamooni wakubwa wote Mara nyingi nikileta Mada zangu humu naambiwa hapa siyo fesibuku,mara JF imevamiwaa ,mara nini sijui, Sasa swali langu ni hil Kwani fesibuku na JF upi mtandao mkubwa,na kwanini nionekane mvamizi humu. Mbona naona huku ni Kwa kawaida tu au kuna nini cha ziada. Karibuni
  10. B

    JamiiForums Tanzania Swali mafundi naomba mnieleweshe tafadhali

    Nini kinasababisha hadi speed meter ya usafiri inasoma
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa: Huyu ni mume wa Mama Getrude Mongela?

    Asanteni, ninasubiri majibu. Nikijibiwa, nitauliza swalinla pili!
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kazi Nina stashahada ya ufundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi Nina stashahada ya ufundi mitambo (mechanical technician) Mawasiliano; inbox
  13. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kazi

    Naomba mnisaidie nina matatizo nimeacha chuo sina ada nyumbani hali ngumu hata nauli wameshindwa kunipa nakaa kwa rafiki, mguu wangu mbovu Naweza kazi zote za mikono kupika kufua. kazi za stationary pia naweza nimewahi pia kuuza duka na kazi zote ambazo haziitaji kutembea sana maana ni mlemavu...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu namna ya kufika Mpwapwa JKT 826 KJ

    Habari, Nina mdogo wangu amechaguliwa kwenda Mpwapwa JKT. Naomba kufahamu namna ya kufika kambini. Mdogo wangu yupo Dodoma mjini. Akiwa anatokea Dodoma kwa usafiri wa bus ashukie wapi? Je kambi ipo mbali na Mpwapwa mjini?
  15. JamiiForums Tanzania Nafikiria kuanza ujenzi, naomba ushauri

    Nina kipato cha shilingi milioni moja na nusu kwa mwezi (1,500,000/=) na ninafirikia kuanza ujenzi wa nyumba ya kuishi. Naomba ushauri wa namna gani naweza kufanya ili ujenzi uende pamoja na maisha mengine. Nina familia ya mke na mtoto mmoja anayesoma darasa la nne, ada ya shule ni 1.5m kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma

    Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
  17. JamiiForums Tanzania Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma

    Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
  18. JamiiForums Tanzania Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma

    Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
  19. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri mwenzangu amekataa kabisa kushave maeneno nyeti adai it's against the tradition ,

    Wadau hamjamboni nyote? She has refused to shave her private areas,it's against her tradition. I don't like it at all This is so serious kindly advise
  20. J

    JamiiForums Tanzania Jamani nimeyakoroga naomba ushauri

    Habari zenu wanajamii forums. Naomba ushauri kwenye hili. Nimekuwa kwenye ndowa miaka kumi na moja. Mimi nilichelewa kuowa sasa nina Miika 45 . Huyu mke wangu kusema kweli hakuwahi kunivitia kisura wala kimaumbile,. Ila kipindi naamuwa kuowa nilimuona ni mtu mpole asiye penda makuu. Na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…