naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Tufanyeje kupata haki yetu kutoka NSSF?

    Naomba msaada nijue haki yangu naipata wapi Mimi niliajiriwa katika kampuni binafsi na nimemaliza mkataba wangu. Kama ilivyo makubaliano ya mkataba ni WA muda mfupi 12 months na yote nimetumikia, nilipoandika barua ya kutoa taarifa ya kutoendelea na wao baada ya mkataba huu kuisha kama ilivyo...
  2. Home of Great thinker, WanaJF naomba nisaidieni jibu la hili swali

    Someone's mother has four sons. North, South, East. What is the name of the fourth son. Reply in the comment section below the name of the fourth son? Karibuni. Reply zikifika kati ya 50 nakuendelea tutavuta marking scheme kujua nani kapata nani kakosa we jibu swali usitoe maelezo...
  3. Naomba kuuliza kwa wale ambao mmezaliwa na kukulia kijijini je ukiwa unafikiria jambo huwa unafikiria kwa lugha yako ya Asili mfano kisukuma n.k

    Naomba kuuliza kwa wale ambao mmezaliwa kijijini je mkiwa mnafikiria jambo lolote huwa mnatumia lugha zenu za Asili.? Maana Mimi binafsi huwa natumia kiswahili., kwakuwa sijakulia kijijini , .
  4. Rafiki yangu Marry Diana, kama haupo kwenye ndoa naomba nikuoe

    Kwanza niseme natanguliza heshima zote kwako best yangu Marry Diana. Pengine utafurahishwa ama kuchukizwa na bandiko hili, siwezi kuzuia hisia zako lakini ninaweza kuzipooza kwa kusema neno Samahani. Marry nimeona kitu cha ziada ndani yako, bila shaka tutafiti tukiwa pamoja tukipambana na hili...
  5. Naomba kuongea na wadogo zangu wa kike wenye kutafuta ndoa

    Ndoa ni stara kwa mwanamke! Hivyo mwanamke anahitaji ndoa kuliko mwanaume Wanawake wamekuwa wengi ama ni wengi kuliko wanaume... Hivyo ndoa imekuwa kitu adimu hasa ukizingatia kuwa.. Pamoja na uchache huo wa wanaume bado karibia nusu yao si waoaji Sasa kutokana na hamaniko hilo la kuhitaji...
  6. Naomba msaada kuhusu kujitolea kazi ya kujitolea

    Nilikuwa nauliza hivi, nimemaliza chuo Mwezi huu.. Matokeo bado hayajatoka mpaka mwezi wa nane. Je kwa mfano nataka kuandika barua mahali Fulani nikiwa na Lengo la kujitolea... Nina takiwa kuambatanisha kitu gani ili kuthibitisha kuwa na taaluma ya kazi husika?? Ahsante karibuni kwa ushauri mzuri
  7. Ngoja tuongelee Uasherati na Uzinzi kidogo

    Wakuu, naona watu wanachanganya mafaili kidogo kuhusu haya masuala mawili ya kingono. Yaani Uasherati na Uzinzi. Uasherati ni nini na uzinzi ni nini? Uasherati ni kitendo cha kufanya ngono au kujamiiana kwa hiari na mtu ambae sio mkeo na wala sio mumeo yaan hamjaoana na hii inaingiza uzinzi...
  8. D

    Naomba kujuzwa: Leo nihubiriwa na member wa S.DA kuhusu ufunuo

    Jamani wanajamvi kuna jamaa alinialika kwenye group niseme la maombi amenialika siku nyingi niende leo nikaamua kwenda katika mambo aliyonihubiiria ni kama yafuatayo: 1.Ulazimishwaji wa kuwa wakristo wakipagani. Jamaa amenieleza kwamba kulingana na ufunuo kwamba Marekani wakiungana na kanisa...
  9. Naomba humu watu waheshimiane

    Kuna wanawake wanajiona sana matawi nyuma ya hizi profile zetu wanatukana wanawake wenzao . Huna haya kwanza wewe unanguvu sana zakuwaandama wenzako . Nahuku wewe mwenye unashida huna hata marafiki ,ndugu wamekutelekeza . MTu anaid za mia mbili kisa kujibu wenzake kunya nakuwasumbua. Hao...
  10. Msaada: Naomba kujua jina la huu wimbo

    https://www.instagram.com/reel/DKXY9NGtTdT/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg== Samahani wakuu, Kwa anayejua lina la huu wimbo naomba anisaidie ili nikaupakue. Natanguliza shukrani
  11. M

    Mwenye uelewa kuhusu university of western cape, naomba unisaidie

    Habarini, nahitaji kuomba MasterCard foundation scholarship katika chuo cha western cape kilichopo south Africa, kama kuna mtu anakifahamu hicho naomba anisaidie kunipa experience kidogo.
  12. B

    Una computer /PC huitumii? Naomba niazime kwa mwezi mmoja tu

    God
  13. Naomba elimu hii kutoka RITA

    Nawafanyia watu (natuma) maombi ya vyeti vya kuzaliwa online. Nikiwapa fomu wakienda ofisi za RITA wanapewa cheti lakini huku kwenye mfumo hakuna mabadiliko yoyote yanayoonekana Ni kwa nini?
  14. Nimepangiwa kazi Bunda Town Center, naomba kujua mazingira yakoje!

    Wakuu hongereni na poleni kwa majukumu Kwanza namshukuru Mungu kwa mema yote hadi nimefanikiwa kupata kazi serikalini. Mimi ni mwenyeji wa Mikoa ya Kusini ila kwa sasa nipo Arusha hivyo nitatokea huku kuja Arusha kuja Bunda TC Sasa naomba kujua mazingira yakoje, hali ya hewa,huduma za kijamii...
  15. Naomba kuuliza

    Hivi hawa walio kuwa wabunge feki kwa mwavuli wa Chadema, nime waona waki chukua fomu za kugombea ubunge kwa chama cha kijani, huku bunge halija vunjwa, hapa pame kaaje? Au ile tume bado ina wabeba??
  16. Nimekuwa nikitafuta wimbo wenye lyrics hii naomba mwenye kuujua

    Ni miaka sasa natafuta huu wimbo sijui bali huu mlio ndio nautambua naomba sana anayejua Ninaamini mtanisaidia. Ni kumbukumb yangu kubwa sana.
  17. Msaada naomba kitabu hiki

    Kitabu kinaitwa mobile phone repairing soft copy mwenye nacho naomba
  18. Nimechoka kuigiza, mara kadhaa nimekua nikiona matumizi ya neno "KOBAZI" kwenye nyuzi mbalimbali humu jamvini. Naomba anaejua anisaidie maana yake

    Wanajamvi kama nilivyotangiliza heading, mara kadhaa nimekua nikikutana na neno KOBAZI kwenye comment mbalimbali humu jamvini, nimejaribu kufuatilia bila mafanikio. Juzi nimeuliza nikaambiwa ni viatu lakini kila nikiangalia uhusiano kati ya viatu na comment za watu jamvini nakua sielewi kabisa...
  19. Ndani ya CHADEMA tupo Waumini wa Ufufuo na Uzima, Naomba Chama kitie nguvu kwenye Ibada zetu Kila Jumapili, kama ni mabomu tupigwe pamoja!!

    Niwaalike wanachadema wote Kwa ujumla,na watanzania wote na Wakristo, Kila Jumapili tuwepo , tuungane, tutie nguvu , Tupige kelele, tupaze sauti, Wacha wao watulige mabaomu, watuue, sisi tukusanyike, tufanye Ibada za Amani, tudai haki yetu ya kuabudu, TUIAMBIE DUNIA kua Tanzania Kwa Sasa Kuna...
  20. Kuna Taarifa zinasema Chaz Lee amekamatwa naomba uongozi wafatilie hizi taarifa kama ni sahihi.

    Chaz Lee inasemekana amekamatwa . Naomba uongozi wa JF ufatilie hili swala. Sehemu za kufatilia ni kwa Malisa GJ n.k
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…