nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kauliza muulizaji nani Sheikh Yusuf Badi?

    KAULIZA MUULIZAJI NANI SHEIKH BADI? Sheikh Muhammad Yusuf Badi alikuwa sheikh maarufu Lindi na sehemu yote ya Jimbo la Kusini, yaani Southern Province. TANU iliasisiwa Lindi mwaka wa 1955 tayari Nyerere kesharudi UNO safari ya kwanza na alifika Lindi kutia nguvu TANU. Kisa kirefu. Tuingie kwa...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Ni nani anayemuongopea Rais Samia? Rais ajiridhishe na hotuba zake kabla ya kusoma kwa watu

    Siku ya Leo katika mkutano wa Wanachama wa TDC Rais Samia amesikika akisema Tanzania imepotenza Hadhi ya nchi ya Lower middle Income Country, akidai kuwa tulishushwa hii nafasi. Je, Wanaomuandalia Samia hizi taarifa wanafikiri Watanzania ni watu wajinga wasio weza kufatilia mambo? na ni kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Nani anayejua kuhusu hili la kutengeneza Wireless Earphone?

    Za mchana wana tech, Jamani wanajf me ni m1 wa watu ambao hupenda kudadisi sana vitu sasa katika pitapita zangu youtube nikaona video za kutengeneza wireless earphone mwenyewe kwa kutumia kale kataa ka remote(remote sensor) na earphone ya zamani. Sasa naomba kujua kama itafanya kazi, kwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA safari hii kwenda na nani kwenye uchaguzi wa Kenya?

    Nakumbuka kipindi kile walimtosa mpinzani mwenzao Raila na kumuunga mkono Uhuru Kenyatta tena nakumbuka mzee Lowassa alifunga safari mpaka Kenya kwenda kuwashawishi wamasai wamuunge mkono Uhuru Kenyatta. Sasa mwaka huu Raila anaungwa mkono na Uhuru Kenyatta. Je,CHADEMA watalazimika kumuunga...
  5. JamiiForums Tanzania Hawa SME ni akina nani?

    Wana bodi, heshima kwenu. Hawa SME ni akina nani?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kuunda Forex robot anafundisha hata kwa malipo?

    Wakuu habari, nataka kujua kama kuna mtaalamu wa kunifundisha namna ya kutengeneza forex robot (automated trading system) hata kwa malipo Ni programu ambayo inasaidia ku trade automatically, ukishaitengeneza na kuweke vigezo vyako vya ku trade, unaijaribisha kwenye demo account ikileta faida...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Britanicca wa JF ni nani? Kwanini leo baada ya mzee Kinana kupitishwa nyuzi zake za nyuma zinafunguliwa sana?

    Sio siri mtu huyu Britanicca ni watu ninaowakubali sana hapa JF. Ni mtu mwenye uwezo wa ajabu sana wa kufikisha taarifa kwa ufupi na akaeleweka lakini zaidi ni mtu anayejua vitu vingi sana kwenye nchi hii na zaidi ya yote ninapenda mtindo wako wa kujifanya kuuliza jambo huku akiwa analijua...
  8. JamiiForums Tanzania Nani alikuwa mkali wa kuimba hapa?

    Kati ya hawa malegend nani alikuwa mkali wa sauti tamu? Celine Dion Whitney Houston ( Rip) Mariah Carey Mimi naondoka na Celine Dion huyu mwana mama alikuwa ni shida, moja kati ya nyimbo zake kali ninazozipenda. Love doesn't ask why A new day has come Tiririka hapa ni nani ulikuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mabadiliko CCM: Nani kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana kurejea kama Makamu Mwenyekiti

    Salaam Wakuu, Inadaiwa Daniel Chongolo anatemwa Ukatibu Mkuu CCM! Kinana aandaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti, hana Mpinzani Vyanzo ndani ya CCM vinadokeza kuwa fukuto linaendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi na ndugu Daniel Chongolo amekalia kuti kavu. Chanzo kinabainisha kuwa wanaodaiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Nani analihujumu Taifa? Tusipozinduka sasa...

    Tusipozinduka sasa, tutakuja kuamka na kukuta majirani wako dunia nyingine, Pamoja na hali ya siasa za ndani Uganda kuwa ni za kidikteta, Lakini taifa hilo linazidi kupiga hatua kubwa, Kupitia kiwanda chake cha Magari cha Kiira Motors LTD, Mwaka 2018 ilianza rasmi kuzalisha mabasi yanayotumia...
  11. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Rais Samia Kadanganywa na Kikosi kazi cha Demokrasia, hatukukubaliana vile

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ameoneshwa kusikitishwa na baadhi ya masuala yaliyowasilishwa na Kikosi Kazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Nchini kinachoongozwa na Mwenyekiti Prof. Rwekaza Mukandala kwa kueleza kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanahiphop ni nani?

    Mwanahiphop: Ni B Boy (Mvunjaji) anayevunja na kuharibu mazingira Hadi kiroho kila siku. Ni MC (Mchanaji) shujaa wa maneno ya kujenga kiroho na kiakili Ni Graffiti (Machata) anaefikiri na kukua kiroho ili aweze kuchora amani, upendo, umoja na furaha Ni DJ anayepeleka haki anaposcratch tunt a...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Wewe ni nani?

    Kama mti uzaapo matunda basi ndio na sisi tunavyozaliwa. Kuna matunda ambayo huotea chini na kuwa rahisi kuchumwa, haya hu represent wale watu waliobarikiwa kuzaliwa na visimati, na hawatumii nguvu nyingi ili kutimiza malengo yao. Kuna yale ambayo huanguliwa hata kama yapo mbali, basi hawa ni...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anaposema ‘Watu hawali Katiba’, anapotosha kwa faida ya nani

    Kuna viongozi wakiwepo wasomi wengine na PhD zao wanasema wananchi wanataka chakula wanataka maji hawataki Katiba kwa sababu hawatakula katiba. Huu ni upotishaji wa kiwango cha hali ya juu. Katiba ni mkataba kati ya mtawala na mtawaliwa, ni jumla ya kanuni za msingi zilizoanzishwa na wananchi...
  15. JamiiForums Tanzania Dizasta Vina ni nani?

    Mi siyo mpenzi wa Hip hop lakini kwa bahati jana nimemsikia Dizasta Vina. Leo nipo spotfy naunganisha ngoma zake tu. Jamaa anajua sana. Anajua kuandika. Inaonekana anafeel kabisa anayoandika. Pia inaonekana na shule kapita. Ni nani huyu jamaa?
  16. JamiiForums Tanzania Nani Alisema Tule mara Tatu(3) Kwa Siku?

    Tangu utoto mpaka sasa ni mtu mzima kutwa mara tatu Hii ilianzia wapi, Nani alianzisha Je nikila mara 2 au 1 kwa siku au nikiamua kula mara 5 kuna madhara bila kukariri chakula ni wali au Ugali n.k...Na ni Wazungu walituletea hii itakuwa ni kututia umaskini tu na Maradhi mbona wao hawakuli kama...
  17. JamiiForums Tanzania Mgogoro KKKT Dayosisi ya Konde nani alaumiwe?

    Kanisa la kiinjili la kiluteri Tanzania KKKT dayosisi ya konde limeingia majaribuni baada ya mgogoro wa muda mrefu uliotokana na uamuzi wa askofu wake Dkt. Mwaikali kuhamisha kiti cha askofu kutoka Tukuyu kulipokuwepo makao makuu ya dayosisi ya konde kuyapeleka Mbeya mjini uamuzi uliozua mgogoro...
  18. JamiiForums Tanzania Video: Afande IGP Sirro anamjibu nani hapa?!

    Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama. Msikilize mama hapa 👇 https://www.jamiiforums.com/threads/nikisema-jeshi-la-polisi-halifanyi-kazi-vizuri-najibiwa.1967071/
  19. L

    JamiiForums Tanzania Nani yuko kwenye nafasi nzuri ya kupiga hela kati ya Mhasibu na Afisa manunuzi?

    Habari za jioni wadau! Tukiwa watoto tulikuwa tunawaza kazi nzuri ni udakatari na sheria ila kwa kadri umri unavyosonga unagundua hata huko ni umasikini tu sana sana uibe dawa ila kutoboa sio rahisi. Baada ya kutafakari muda mrefu nimeamua kubadilisha fani kabisa na hizo fani tajwa hapo juu...
  20. JamiiForums Tanzania Nani atakuwa wa kwanza Kufa kwenye familia yenu na atakayefuatia ni nani?

    NANI ATAKUWA WA KWANZA KUFA KWENYE FAMILIA YENU NA ATAKAYEFUATIA? Anaandika, Robert Heriel Yule Mtibeli. Andiko hili linaweza kuwa nadharia tuu, inaweza kuwa kweli au kuukaribia ukweli. Taikon aliandika andiko hili miaka ya nyuma kidogo na hivi leo nitagusia machache. Nani atakuwa wa kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…