nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Majenereta ya umeme ni ya nani haya jamani?

    Kumbe hawa Viongozi wetu wanazima umeme kwa makusudi ili wapate kufanya biashara zao za kuuza Majenereta? Ama kweli Tutamkumbuka Sana RIP Doctor Magufuli, aliwahi kusema akiondoka kila kitu kitarudi kama zamani na kweli tunaona sasa.
  2. JamiiForums Tanzania Ukraine walipua makao makuu ya Wagner group, sasa sijui Urusi watategemea msaada wa nani tena

    Hawa Wagner ndio kete aliyokua amebaki nayo Mrusi, maana ameishiwa wanajeshi ambao wamefyekwa balaa. Sasa makao makuu ya Wagner yamefanywa majivu....mbele kwa mbele twende wanetu Ukraine, likomboeni taifa lenu. Vita vilianzia Crimea na vitaishia Crimea, nimeona habari nyingine leo Crimea...
  3. JamiiForums Tanzania Nani ni mchezaji bora kwenye timu ya ureno?

    Wakuu kabla ya kuangalia nani ni best player duniani, twende nchi kwa nchi basis. Tuanze na Ureno. Kwangu mimi pale Ureno, Best player kwenye hiyo nchi ni Bruno Fernandez, wewe unadhani ni nani?
  4. JamiiForums Tanzania Nauli hizi za SGR nani atapanda? Kutoka Dar - Moro Tsh 24,000?

    Hata kama ni mapendekezo sidhani kama mlifikiria au kuwaza kwa kinagaubaga, huko Anatorglo mnaenda kupaka mafuta ili kung'arisha hiyo nauli na si vinginevyo. Ukute mmeshaandaa wazungumzaji wenu wa kutetea hiyo nauli na hapo ndiyo watakuwa wengi ukumbini. -- Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini...
  5. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Nani aliwahi kuona mtu aliyeuza ardhi ya ukoo baada ya kugawana wanafamilia alifanya maendeleo?

    Habari wanajf, binafsi nimekuwa na maswali mengi nikijiuliza nmeshuhudia watu wengi wanaouza maeneo baada ya kugawana aidha Mara baada ya wazazi wao kufariki huwa hawafanyi chochote. Jamani Nani amewahi ona tofauti na Mimi kwamba mtu kauza ardhi iliyokuwa ya baba yake kajenga nyumba nzuri?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi, ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

    Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025 Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio...
  7. S

    JamiiForums Tanzania DC Simalenga analengwa na nani? Tuhuma dhidi yake za kumpiga mwanafunzi zinatia mashaka sana

    Siamini na nitakuwa wa mwisho kuamini kioja hiki kwamba DC amemnasa kofi mwanafunzi mpk akajeruhiwa. Yaani kofi limejeruhi kiasi kwamba nusu ya uso wa mwanafunzi umebandikwa pamba? Tangu lini kofi likajeruhi kama panga?? Nimeangalia mara 5 clip ya "anayedaiwa kuwa mwanafunzi aliyejeruhiwa"...
  8. JamiiForums Tanzania Tumuelewe nani sasa Kati ya hawa wawili kuhusu mabehewa ya treni

    Hanganya anasema ni used huyu anasema ni mapya
  9. JamiiForums Tanzania Nani kumrithi Ramaphosa?

    Ramaphosa maji yamemfika utosini. Anytime anakwenda kujiuzulu ama ANC wamvue urais wa Chama (ambapo atakua amepoteza sifa za kuwa Rais wa Afrika Kusini). Tusubiri kukuche. NB: Hii ndio demokrasia
  10. JamiiForums Tanzania Kati ya Ma RC hawa nani amefanya vibaya 2022

    Wakuu wa mikoa ambao hadi tumeuanza Mwezi Disemba wanachapa kazi kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu je kati ya hawa ni nani aliyefanya vizuri zaidi na ni nani aliyemuangusha Mh Rais Samia kwenye eneo lake alilopewa kusimamia maendeleo ya wananchi.. 1: John Mongela- Mkoa wa Arusha 2. Rosemary...
  11. JamiiForums Tanzania Nani amelitendea haki jukwaa la michezo kwa mwaka 2022?

    Leo ni Desemba 3, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni
  12. JamiiForums Tanzania Nani aliyewadanganya Watanzania kuwa moja ya Sifa ya kuwa Rais wao ni mpaka Umiliki PhD ya Kutishia / Kubembeleza Watoaji?

    Anyways kwakuwa sasa kwa Tanzania kama una Ndoto za kuja Rais wao basi Sharti ni lazima Umiliki PhD (Doctorate) iwe ya Academical au Honorary (ya Huruma, Utu na Upole) ili Uogopwe na Wapiga Kura. Na Mimi GENTAMYCINE najipanga sasa Kuwaroga Watoa PhD's maarufu nchini UDOM na UDSM ili wajikute tu...
  13. JamiiForums Tanzania Je, aliyefungwa na Mwamba Azam FC na aliyefungwa na Mchovu Ihefu FC nani ni wa Kudharaulika na Kuchekwa?

    Katika Uzi huu Kazi yangu Kubwa GENTAMYCINE ni kusoma tu Comments zenu huku nikimuandaa Ng'ombe aliyenona apelekwe haraka Mbarali Mkoani Mbeya ili Wachezaji wa Ihefu FC waweze Kumla ila Mshambuliaji Lenny Kisu apewe Maini huku Beki Juma Nyosso apewe Maini pamoja na Figo kwa Kumuweka Mtetemaji...
  14. JamiiForums Tanzania Tuwe na namba ya ziada kwajili ya biashara tu, kujaza status za matangazo ya biashara kwenye namba yako binafsi haipendezi.

    Yani kuna baadhi ya marafiki zangu huwa nawashangaa, wanaweka status za biashara utadhani sisi ni wateja wao. Nina rafiki kila siku anaweka status za chupi, mwengine kila siku anaposti status za oili za pikipiki, mwengine tray za mayai, mwengine simu, n.k. huwa inafika mahali sasa natamani hata...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Je, Dkt. Bashiru ni nani hasa na nani yuko nyuma yake (giza nene)?

    Nawaza nje ya Box. Haya ni mawazo japo nimawazo mazito ktk giza nene na kike kina weza tokea siku zijazo. Nimekuwa mtu napenda kuandika kesho ya Taifa hili ktk mabandiko yangu tofauti tofauti na watu wengine wamekuwa wakihisi nakunidhania hata mm yawezekana nipo ktk list ya watu wanapata nyeti...
  16. JamiiForums Tanzania Nani anaweza kuniwezesha kupata laini za uwakala

    Ningefurahi sana kama ningeshikwa mkoni. Ili niweze pata laini za uwakala bila changamoto
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mabati ya kampuni ya Taishan nani anayafahamu vizur?

    Wakuu Nina ka ujenzi kanaendelea nimefikia hatua ya kupaua nimeona hii kampuni imefungua ofisi hapa mwanza karibu na site yangu na bei zao sio mbaya wasiwasi wangu ni ubora je kuna mtu anauzoefu na Bidhaa hii?
  18. JamiiForums Tanzania Nani anamkumbuka huyu mwamba enzi hizo?

  19. JamiiForums Tanzania Kuhusu umeme tumuamini nani? Maharage au Byabato? Kuna namna hapa

    Huyu ni Maharage. Huyu ni Byabato
  20. JamiiForums Tanzania Hivi watu huwa wanajiona nani yaani?

    Nakuuliza/Nawaauliza unajisikiaje ukimwambia mtu yeyote malaya au kahaba? Wewe ni nani? Una uhakika? Wewe umekuwa na uhusiano mmoja tokea ujue mapenzi/ kubalehe/mpaka uoe au uolewe? Acheni hizo, watu wazini na watu wanaliwa na kula, ndiyo mpango mzima. Acheni kujiona wasafi, kama wewe msafi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…