nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hili la Luaga Mpina ni pt2 ya Vita ya Musiba na Membe. Nani yuko nyuma ya pazia?

    Wakuu kumekua na sintofahamu nyingi juu ya sakata la madai ya wanakijiji kudai kutapeliwa ardhi yao na muwekezaji Mbunge wa kisesa Luaga Mpina kuhusu ardhi yenye Ukubwa wa ekari 1000. Mengi yanazungumzwa na mwisho lililoongeza mjadala ni kuwa Waziri wa Fedha Dr Mwigulu Nchemba ndiye Yuko nyuma...
  2. JamiiForums Tanzania Nani anaukumbuka huu uongo wa Serikali ya Samia?

    Leo ni siku ya mwisho ya mwezi Mei nani amepanda treni ya SGR?
  3. JamiiForums Tanzania Mbowe anapigiwa saluti kama nani? Kwani akipigiwa saluti ndio CHADEMA mnapaishwa kisiasa?

    Alafu mbona hana ukakamavu kama sisi tuliopitia Jkt?
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya anasema aliyekufa ni Mmoja tu, ila Mashuhuda Wanaohojiwa wanasema ni Watatu je, tumuamini nani?

    Kilichokushangaza zaidi (hasa) GENTAMYCINE ni kuona Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Naibu Waziri wa Michezo Rashid Mwimjuma (alias Mwana FA) wamepata Nguvu za Kutizama Mpira Uwanjani muda wote wa dakika 90 za zile dakika 10 za Upendeleo huku Watu Watatu wako Mochwari na Watu 30...
  5. JamiiForums Tanzania Hawa ni Nguli wa masimulizi hapa JF Jukwa la Entertainment. Je, unadhani nani ni mkali?

    Leo nimeona niwatambue hawa jamaa wanaoendelea kutuburudisha na kutupunguzia misongo kule kwenye jukwaa la Entertainment kwa simulizi zao za moto kweli kweli.Hawa nitakaowaorodhesha hapa kwa upande wangu ndiyo wababe wa lile Jukwaa. Hawa nitakao wataja hapa nimewaita wababe kwasababu wanazo...
  6. JamiiForums Tanzania Nani mkali wa Pasi kati ya Kevin De Bruyne Vs Lionel Messi?

    Wasalaam, Kevin De Bruyne na Lionel Messi ni wachezaji wawili wenye vipaji vya kipekee katika soka na wote wawili wanajulikana kwa ustadi wao wa kupiga pasi. Hata hivyo, wana mbinu tofauti za kucheza na kuandaa pasi. Kevin De Bruyne, ambaye ni kiungo wa kati wa Manchester City na timu ya taifa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Adai Mahakama Ina Matatizo: Je Ni Nani wa Kuyatatua

    Jana akiapisha Majaji aliowateua kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani, Rais Samia alisema "Kuna Tatizo Mahakama" Jaji Prof Ibrahim Juma, kiukweli kazi ya u-CJ ni kubwa kuliko uwezo wake. Haya yalikuwa ndiyo mauteuzi ya Magufuli. Huyu CJ ukimfuatilia siku zote ni mtu wa kulalamika kama mtuhumiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mwigulu aendelea kukoswa koswa Bungeni, analindwa na nani?!

    Katika wizara yake ufisadi umeenea kuanzia juu mpaka chini. Waziri anajua hachukui hatua kwa sababu alihusishwa. Bunge linasema, Rais yupo kimya. Nani anamlinda zaidi ya Rais mwenyewe. Kama Rais anampenda zaidi basi amkabidhi biashara zake binafsi,huku kwetu hawezi
  9. F

    JamiiForums Tanzania Walokole nani kawaambia mwanamke akivaa suruali anaenda motoni?

    Kuna mambo yanastaajabisha. Siku moja nipo kwenye daladala kuna mlokole akawa kapanda akaanza kuhubiri. Katika mahubiri yale akasema mwanamke kuvaa suruali ni dhambi. Nikajiuliza maandiko gani hayo yamesema hivyo wakati suruali zimekuja kugunduliwa majuzi tu? Pili, nikajiuliza mbona watu wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nani aliwachagua kuwa viongozi wa dunia? G7 ni viongozi wa nchi 7 tu si zaidi ya hapo

    Viongozi wa G7 naona wameamua kujibatiza kama viongozi wa dunia!! Vyombo vya habari vya magharibi viko mstari wa mbele kuwatangaza kama viongozi wa dunia. Watu husema kuwa uongo ukisemwa sana, na watu wakaumezea hubadilika pole pole kuwa ukweli. Dunia lazima ikatae sasa kuwa marais wa...
  11. JamiiForums Tanzania Mpina vs CHADEMA nani zaidi?

    Natumaini mko poa. Binafsi nashindwa kuelewa nini kimewapata CHADEMA kiasi kwamba kwenye vyombo vya habari hawasikiki kabisa kwenye mambo nyeti ya kitaifa. Angalau wiki hii wamekuja na ishu ya kuagiza Helikopta. Kiujumla kuna uwezekano mkubwa Mh. Mpina akawa anavuma sana kama mpinzani aliye...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Mbowe very attentive, nani alikuwa anahutubia na issue gani?

    ANGALIA PICHA
  13. JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa viongozi wa umma: Watanzania ni waoga? Nani kakudanganya. Wape platform wakuonyeshe

    Hii natoa tahadhari kwa kiongozi yeyote wa Umma kuanzia ngazi ya juu hadi ya chini. Msiwachukulie poa watanzania....watanzania sio kabisa. Ni wavumilivu kweli, lakini uvumilivu una mwisho. Tuishi. Nasikia sikiaga watu wakisema watanzania ni waoga, tena sana. Kwamba, Kenya ndio watu sio waoga...
  14. M

    JamiiForums Tanzania unafanya kazi na nani inahusika sana kwenye utaftaji

    leo nina furaha sana , nimepiga hela nzuri sana na aliyechangia nipigie hii pesa ni mfanyakazi wangu tena , tena ana umri mdogo ukilinganisha na watu wote ninaofanya nao kazi , i think nimpe vyeo awe msaidiz wangu tu...
  15. JamiiForums Tanzania Makusanyo ya Kodi kupanda kutoka trilioni 1.2, mpaka trilioni 2 awamu ya 6, ni nani hawa walikuwa wanakwepa Kodi ya bilioni 800 Kila mwezi?

    Samia Suluhu Hassan katika makusanyo ya Kodi, amepanda kutoka trilioni 1.2 mpaka trilioni 2, swali la kujiuliza, hii Kodi ya bilioni 800 nani alikuwa anakwepa kuilipa? Na je akibanwa? Tunatarajia hatapiga au hawatapiga yowe? Piga hesabu bilioni 800 zilikuwa haziingii hazina zikajenge...
  16. JamiiForums Tanzania Orodha ya Kocha Bora wa Msimu EPL, unamchagua nani na kwanini?

    EPL imetoa orodha ya makocha sita wanaowania tuzo ya kocha bora wa msimu. Makocha hao watapigiwa kura na mmoja wao ataibuka kidedea na kutangazwa hapo baadae. Wewe ungemchagua nani? 1. Pep Guardiola - Man City 2. Mikel Arteta - Arsenal 3. Eddie Howe - Newcastle Utd 4. Roberto De Zerbi - Brighton...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mawaziri hawa wanalindwa kwa faida ya nani?

    Tatizo kubwa la waziri wa f edha dk. mwigulu nchemba na waziri wa viwanda, dk. ashatu kijaji lina sababishwa na rais mwenyewe kwa maoni yangu. Unawezaje kukaa na waziri ambaye alishawakashifu watanzania wote na kuwataka wahamie Burundi na hata wawakilishi wao kukashifiwa kuwa ni waganga wa...
  18. JamiiForums Tanzania Vigogoni gani wataondoka baada ya mkutano wa Kariakoo?

    Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi. Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka? 1. Waziri wa Fedha? 2. Waziri wa Biashara? 3. CG wa TRA? 4. Manager wa TRA Ilala? Nani ataondoka?
  19. JamiiForums Tanzania Nani anavuruga kitanda changu nikiwa nimelala?

    Leo nakuja na mada fikirishi. Nikiwa nalala peke yangu, huwa nahakikisha shuka limechomekwa vizuri kitandani kabla sijalala ila nikija kuamka nakutaga kitanda kimevurugika, shuka nililotandika limefolonyolewa kabisa na wakati mwingine nalikuta sakafuni. Kuna mara nasema ngoja nilale kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Mhe. Bernard Kamillius Membe, Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Viwanja vya Karimjee - Dares Salaam leo tarehe 14 Mei, 2023 Saa 4:00 Asubuhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…