nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni nani anamjaza ujinga Baleke? Angeshukuru hata kukaa bench Yanga

    Wacongo si wachezaji wenye akili mara nyingi. Mimi binafsi huwa siwakubali waswahili swahili sana. Huyu dogo galasa naye anataka kutunushiana misuli na club kubwa afrika? Ana akili huyu? Anajielewa kweli?
  2. JamiiForums Tanzania Ukipoteza Kumbukumbu zako zote ungependa nani akusimulie historia ya maisha Yako? Rafiki Yako mnayelewa pamoja? Mke/Ex Wako? Mtoto wako?

    Ni usiku wa kawaida jijini Mbeya. Clara, binti mrembo mwenye tabasamu la upole lakini macho yenye siri nzito, yupo na marafiki zake wawili pamoja na mpenzi wake, Anthony. Wanaketi kwa utulivu wakifurahia biriani na bia, wakicheka kwa sauti nyororo zinazopotelea gizani. Katika mtiririko huu wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nani Spika Bora zaidi , Toka Mwaka 1995, tupige kura

    Kwa wale wazee wenzangu na wafuatiliaji mabunge awamu mbali mbali, nimeona Leo tujikite kidogo kuangalia maspika wa Bunge walioongoza Bunge vipindi mbali mbali, Kila mmoja alikuwa na staili yake, Kariba yake, maspika Hawa wote walitoka chama Cha CCM. Hivyo tuangalie je nani alikuwa Bora zaidi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wanaamua kutengeneza taifa la wajinga?

    kwa yanayoendelea Tanzania yanasikitisha sana,tena ukitegemea wanayoyapromote ni viongozi walioko selikarini pamoja na chama cha CCM Ukiangalia waasisi wa hiki chama walikuwa watu makini sana kuwatengeneza vijana ambao ndiyo viongozi wa sasa, lakini wenyewe wamegeuka kuwa waharibifu kwa vijana...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu lady soloist ni nani na anatokea nchi gani?

    Msikiliziseni na kumtazama msimsumbue
  6. B

    JamiiForums Tanzania Chalamila, serikali wanapotutaka kulipia huduma za serikali wanajua malipo tunayolipa serikalini bila kupewa risiti ni kwa maslahi ya nani?

    Nchi ngumu sana hii
  7. JamiiForums Tanzania Shemeji; Mimi naongea na Kaka yako nikiwa sina nguo, tuone atamsikiliza nani

    Kweli maisha ni safari ndefu sana...... Nimekumbuka kisa kimoja miongo kadhaa nyuma.....wakati najitafuta nilijikuta nimepata hifadhi kwa Kaka yangu( Mola amrehemu).........Shemeji ilionekana hakuridhia uwepo wangu pale ingawa nilikuwa muda mwingi sipo nyumbani..... Niliyajua hayo kupitia...
  8. JamiiForums Tanzania Je nani atakubali yaishe!?

  9. D

    JamiiForums Tanzania Hivi nani gaidi kati Israel na M23 au Wanamgambo wa kule Gaza?

    Kwa maoni yangu Islael ndo magaidi mana walivamia nchi ya watu na wanaendeleza ugaidi. Ee Mungu wahurumie na waokoe wapalestina. Mimi mkatoliki mwaminifu.
  10. JamiiForums Tanzania Must see Movies

    - Seven Pounds Official Movie Trailer HD
  11. JamiiForums Tanzania Mjue milionea Chivayo anayefuata nyayo za Ginimbi

    Chivh ni mji mdogo wenye mkusanyiko wa wakazi laki moja na elf 13. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2017. Mji wa Chivh upo umbali wa kilometers 141 kusini mwa jiji la Harare. Njia kuu ya kwenda Africa ya kusini. Kwanini mji wa Chivh umekuwa sehemu ya andiko hili?! Sababu hapa ndipo...
  12. JamiiForums Tanzania Ukisoma maelezo haya ya wanandoa hawa nani yupo sahihi?

    Nan anapaswa kumshukuru mwezie hapo
  13. JamiiForums Tanzania Cheetah ni nani? wengi hawamjui wengine wanamfananisaha

    Wengi hawamjui cheetah ni yupi Haswa. leopard ni yupi ?, na jaguar ni yupi ? Kutokana na ufanano wao wanyama hao tofauti watau wanafananishwa sana ! Hanatofautiana katika asili yao, namna yao ya maisha na uwindaji wao. Hii ni thread maalum ya cheetah, je cheetah ni nani ? Master of speed...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mie nalala chini, mke wangu kitandani

    Nilikua na mpenzi nani asiyemjua mtoto kaumbika utadhani malaika Baada ya miezi kadhaa kupita mtoto wa kwanza kazaa! Mtoto katoka mwarabu akasema kafanana na babu Nikaamua kuuchuna Mtoto wa pili kazaliwa Kafanana na mchina mzee akasema wee hujui tu kafata kwa bibi naibiwa mzee naibiwa Mwenzenu...
  15. JamiiForums Tanzania Matunda ya mti wa Amarula, tuliyala sana kule kanda ya ziwa, Watu wangu wana angamia sana kwa kukosa maarifa.

    Matunda ya Amarula tumeyala sana utotoni, ni matunda ndani yako kama ilivyo embe sema yana uchachu kwa mbali sana na pia yanalewesha ukila mengi hivyo yulikuwa tunakula kiasi tu. Ukiachana na tunda ila pia kwa ndani kulikuwa na karanga, zile. ndoi haswaa tulikuwa tunapenda ila ni kupasua kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Balozi Kagasheki ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya PAROLE

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Sued Kagasheki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole kuanzia tarehe 18 Aprili, 2023.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Lissu na Hayati Magufuli nani mzalendo wa kweli?

    Lissu na kundi lake wakati wa Korona walifikiri suluhisho la Korona kwa haraka ni kufanya lockdown. Hivi aliwaza kwa mazingira ya Watanzania ambao wengi ni machinga, kwamba kula yao ni lazima watoke? Magufuli alijua aina ya maisha ya watu wake na mbinu gani aitumie. Kwa muda ule, Lissu angekuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa alikuwa ni nani? Alikuwa akifurahisha sana

    Habari zenu wakuu poleni kwa majukumu Kipindi nipo young ikifika mda mshaoga mnakalishwa chini TV inawashwa, CD inatupiwa ndani ya deck tena zile ZEC og, shwaah inaimeza. Hamjakaa sawa haha mara paah anatokea huyu mwamba Unaskia "Saidia kukuza ubora wa filamu Tanzania saidia kuinua wasanii...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Je ni Nani ni mtenda dhambi ? katika hawa vijana watatu

    -kijana wa kwanza Ameiba biblia kanisani kwa ajili ya kwenda kujisomea nyumbani -Kijana wa pili Ameiba pesa nyumbani na kwenda kuitoa yote kanisani kwa njia ya Sadaka -Kijana wa tatu Ameiba Sadaka kanisani na kwenda kuwapa maskini na yatima Je ni nani mtenda dhambi ?
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu anamwogopa nani kugombea nafasi ya Urais kupitia chama?

    Kitendo cha kujipendekezea jina lake lipite ni wazi samia kuna mtu au watu anawaogopa. Itakuwa makamba? Au akina nani wengine? Luhaga Mpina hapana huyu hakuwa na issues kwenye UraHis. Watu wanajiuliza woga wake umetokana na nini? Na wanaenda mbali zaidi kuona kuwa inaonekana hajiamini na kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…