nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nani atatuwakilisha 46th SADC Summit, Durban?

    Kama mjuavyo Tanganyika ni moja wa waanzilishi wa SADC. Nani mwakilishi wetu huko 46th SADC Summit, Durban? Je tunaenda na Ndege gani Boeing 787? Airbis 320? Watu wa wizarani ndio wakati wa kwenda kwa maelfu kula per diems za nje ya nchi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tungeweka progressive score 00% au total score 20% October 29,2025 nani angepanda daraja la urais? Mwalimu mmoja amehoji

    Walimu msituhusiahe na matatizo yenu maana mfumo mnaujua wenyewe,haya manunguniko msinungunike hizani, Uchaguzi uliisha mnapaswa kuchapa kazi siyo fimbo,maana sheria na kanuni mnazijua wenyewe kwa hiyo jitahidini muwe mnajaza progress kotekote kwa haki, Ombeni time sasa ichunguze kwa nn...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenda Tezi na Omo marejeo Ngamani-TEC Wameelewa,Bado nani Hajaelewa?

    Habari za wakati huu, Kwanza, nianze kwa kuweka mtazamo wangu wazi kwamba kazi lazima iendelee na maisha lazima yaendelee. Hata hivyo, pamoja na msimamo huo, nieleze wazi kusikitishwa kwangu na matukio yaliyojiri kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu hadi kufikia wakati huu. Yaliyojiri na...
  4. JamiiForums Tanzania Unataka kupiga soga na nani?

    Mtu unayemtongoza?, Bosi wako?, Rafiki mpya? Chawa? Moderator? Au Mimi?🤣
  5. JamiiForums Tanzania Leo hii ukiwa haupo duniani, unahisi ni nani atateseka kwa kutokuwepo kwako?

    Ni watoto wako Ndugu zako wazazi wako Mme wako Mke wako Wafanyakazi wenzako Mabosi wako Wanasiasa wenzako Wafanyabiashara wenzako Marafiki zako Viongozi wa dini yako Wana jf wenzako Walevi wenzako Wanafunzi wenzako, au nani? Nipo hapa stendi ya mabasi, napata kahawa chungu na wakulungwa huku...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga kumsajili selemani mwalimu nani alaumiwe?

    Yanga kumsajili selemani mwalimu nani alaumiwe?
  7. JamiiForums Tanzania Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili

    Bakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu. NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake Soma machache aliyowahi sema: 1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu 2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche...
  8. JamiiForums Tanzania Ni nani aliyepitisha Katiba ya Rais kuwekewa kinga?

    Waafrika ni nani aliyetuloga? Hii katiba ilipitishwa na nani? Hivi hivi vitu vinataka akili kubwa kufikiri kweli? Kweli? Kweli? Kweli? Na kwanini? Nikitafakari naona aibu.
  9. JamiiForums Tanzania Alieanzisha utaratibu wa kuvishana pete ni nani?

    Waungwana Huu Utaratibu Wa Kuvisha/Kuvishwa/Kuvishana Pete Wakati Wa Kufungua Uchumba au Kurasimisha Ndoa Ulianzishwa na Nani? Pete Inasimama kwamaana Ya kuwa Mwili Mmoja au Kuelekea Kuwa Mwili Mmoja, Mwili Una mikono Miwili Kushoto na kulia Kwanini Mwanaume na Mwanamke Wote wavae Pete Mkono...
  10. JamiiForums Tanzania Mtoto ni wa nani, aliyeweka mbegu na kupotea au aliyemrutubisha tumboni na kutoa matunzo?

    Kumekuwepo na changamoto nyingi za kifamilia, mojawapo ikiwa ni wanaume baadhi kujikuta wakitunza na kulea watoto ambao si wao. Aliyeweka mimba ni mwingine na aliyerutubisha mimba mpaka kulea mtoto akawa mwingine pia. Kati ya hawa wawili, ni yupi anastahili kuwa baba wa mtoto?
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya makongamano na shughuli za ibada Tanganyika Peaks–Kawe, nani anawajibika kwa usafi wa mazingira?

    Katika kipindi cha hivi karibuni, eneo la Tanganyika Peaks–Kawe limekuwa likihudumia shughuli mbalimbali kutokana na kufanyika kwa makongamano ya kidini, hususan ibada zinazoratibiwa na Kanisa la Arise and Shine (maarufu kama kanisa la Mwamposa). Viwanja hivyo vimeendelea kuwa na shughuli mbili...
  12. JamiiForums Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete ni nani?

    Sidhani Kama ametuzidi akili watu wote milioni 70 Sidhani kama ni kweli sizani ni vile tunamchukulia poa hatumchukulii serious kulingana na haiba yake ya nje but kwa ndani anafanya mambo ya hatari. Bado namsoma soma huyu jamaa kuelekea siku za mwisho mwisho za kiutawala toka mwaka 1985-2026...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Mbwa waliokonda wanambwekea nani?

    Msululu mrefu unambwekea. Tena ni Mbwa Koko, vimekonda. Vinambwekea nani?
  14. JamiiForums Tanzania Ni nani ana majeraha mabaya zaidi mpaka sasa miongoni mwa team zinazopambana katika vita vya ufisadi ndani ya CHADEMA?

    Na ni nani anakwenda kuibuka kidedea na mshindi wa vita hiyo ya ufisadi ndani ya chadema kati ya team Lema & Sugu wanaopinga ufisadi ndani ya chadema, dhidi ya team Heche & Mnyika wanaotetea ufisadi ndani ya chadema? Kwasababu sote ni mashuhuda wa vita hivyo vinavyoendelea na kuibua maswali...
  15. JamiiForums Tanzania Fr Kitima: Unataka uridhiane na nani na hujakiri kosa?

    Father Kitima kanyooka kama rula. Tupo pamoja na Wakatoriki
  16. JamiiForums Tanzania Nitawauliza matom-boy nikifika huko eti Nani Huyo aliyekuwa anatafakari(2026-1800)

    Kama ni safari, ya Leo inahitaji vitu vikuu vitatu vilivyo balansiana kwa watu Hao. Kama kusikia nimesikia inanipasa kusubiri na kuona muda huo ukifika, Kwa Sasa bado naendelea kutafakari(kuendelea kuujenga msingi) kama hiyo Dunia yetu inavyotuhitaji hiyo basi na mimi inanipasa kutimiza wajibu...
  17. JamiiForums Tanzania Huyo Mwenzao mmoja anayesemwa na Samia kwamba anaendelea kutafakari ni nani na anatokea Chama gani?

    Hili ndilo swali ambalo watu wote wanajiuliza baada ya tamko la Mwenyekiti wa ccm alipokutana na vyama ndugu na rafiki wa kufa n.a. kuzikana vikiwemo CHAUMA na ACT Mwenzao huyo ni nani ?
  18. JamiiForums Tanzania Swali: Dunia bila Mwanaume je nani angemlinda Mwanamke?

    Hili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake, Hivi kabisa mwanaume amlinde mwanamke dhidi ya nani? Mjusi? Mende? Panya? Buibui? au Mdoli? Lol, Ni lini Mwanamke akahitaji ulinzi wa mwanaume? Mwanamke siku zote hujilinda dhidi ya mwanaume na sio otherwise, Hivi mnajua dunia ingekua...
  19. JamiiForums Tanzania Yale maji ndani ya nazi nani kayaweka?

    Wakuu ukipasua nazi mle ndani unakuta mna maji nani kayaweka?
  20. JamiiForums Tanzania Unafikiri nani ana afadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura

    Unafikiri nani anaafadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura. Watakaoshika nafasi Tatu za juu. Itahesabika wanaushawishi hasa katika mtandao wa JF. Kwa wale wa CHADEMA na vyama vingine nanyi mnaweza kuchagua kama nilivyosema mwenye afadhali kadiri ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…