nandy

  1. Hance Mtanashati

    Watu wa Arusha tupeni mrejesho ,Je Nandy alifanya show yake huko Arusha?

    Nandy alitangaza show tarehe 19 dec arusha. Leo tarehe 20, je alifanya hiyo show au kapima upepo kaona show itadoda?
  2. Mad Max

    Game gumu. Nandy anatoa wimbo same day anau-promote Youtube

    Ngumu kuacha kitu kitrend chenyewe. Boost muhimu. Ningeongeza view ila walituambia tufanye kazi.
  3. D

    Wimbo wa kivuruge-nandy remix made by AI hata Nandy haoni ndani

    Sikiliza kionjo tu cha dakika moja kisha toa maoni.
  4. R

    Wimbo Mpya wa Nandy wafutwa Youtube na Mr. Tonge Nyama

    Staa wa Bongo Fleva Nandy ameeleza kwa uchungu kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya msanii anayejiita Mr Tonge Nyama kudai kuwa ametumiwa jina lake bila ridhaa kwenye kazi ya muziki ya Nandy na kuishusha YouTube Mr Tonge Nyama anadaiwa kutaka alipwe kiasi cha shilingi milioni 200 za...
  5. Waufukweni

    Yammi: Nimelipa TSh. Milioni 100 kuondoka kwa Nandy

    Usiku wa kuamkia leo msanii Yammi amefanya uzinduzi wa wimbo wake mpya na akifanya interview na waandishi wa habari amefunguka kuwaalika wasanii Nandy na Billnass lakini hawajatokea, mbali na hilo pia ameeleza kulipa kiasi cha Milioni 100 ili kutoka katika label ya The African Princess "Kwenye...
  6. Waufukweni

    Msanii wa Nandy, Yammi atimkia kwingine! Aaga African Princess

    African Princess Records inapenda kuwataarifu rasmi wadau wa muziki, vyombo vya habari, na mashabiki wote kuwa msanii wetu mpendwa Yasirun Yasin Shaban, anayefahamika zaidi kwa jina la kisanii Yammi, amehitimisha rasmi mkataba wa usimamizi wa kazi zake na lebo yetu ya The African Princess Label...
  7. Mwanangikolo

    MSAADA; hivi kwenye ule wimbo wa Nandy na Maua Sama wanaposema " siku hizi bila beat naenda ata akapela" walimanisha nn?!!

    Kama kichwa kinavyojieleza..nahitaji ufafanuzi wa huo mstari kwenye wimbo wa hao mabinti wawil ambao inasemekana wanapenda sana kwichkwich! Merry Christmas 🌲
  8. Mganguzi

    Zuchu aachane na Wasafi asimame mwenyewe kama Nandy ! Atafute mume aolewe muda ni sasa awe na familia

    Wabobezi wa Sheria za mikataba waingie kazini wamsaidie huyu mrembo kijana na mwenye mvuto mkubwa Afrika nzima ,kuuvunja mkataba wake na Wasafi ili asimame mwenyewe kwa uwezo wa zuchu akiwa mwenyewe atafanya makubwa sana! Zuchu asipoondoka Wasafi atadumaa na hatakuwa huru hata siku Moja ...
  9. Waufukweni

    Billnass amzawadi Nandy gari ya ndoto yake, amwandikia ujumbe mzito mumewe

    Wakuu Billnass amemzawadi Nandy gari ya ndoto yake, aina ya Defender new Model ya mwaka 2023 Gari hili linaifanya kuwa la nane (8) Kwenye parking ya magari yao Nandy amemwandikia haya mumewe kumshukuru kwa zawadi
  10. Magical power

    Nandy kidogo ampasue Harmonize Kizazi

    Nandy kidogo ampasue Harmonize Kizazi😂😂
  11. M

    Nandy haiba yako inaendana vema na mavazi ya heshima. Usivae nusu uchi

    Tofauti na mwanzoni alivyokuwa anavaa nguo nzuri sana na zinazomsitiri vema, hakika alikuwa anapendeza sana na nina uhakika ndicho kilichomuongezea umaarufu na kupendwa. Ila kwa sasa naona Nandy naye anavaa vinguo kuonyesha tumbo, mapaja na matiti. Ukiangalia sura ya Nandy haijakaa KIMCHARUKO...
  12. sinza pazuri

    Nandy: Nilishawahi kupigwa chupa Mbeya nikatoka nundu ya jicho

    Moja ya wanadada icons kwenye muziki wa bongofleva. Bidada anaejua kuimba na kucheza na jukwaa na mwenye utajiri wa kutisha Nandy amefunguka maswaibu aliyowai kukutana nayo akiwa kwenye show ya fiesta mkoani mbeya ambapo alipigwa chupa na watu wa Mbeya akiwa aelewi kosa lake haswa ni nini...
  13. Waufukweni

    Tuzo za Dullah Makabila zawavunja mbavu mastaa, Ruby, Ray the Boss wamaindi

    😂😂 hivi huyu Dulla Makabila ana nini kwani? Jamaa amekuja na tuzo zake "Makabila Awards" na ametangaza vipengele tisa vilivyojaa utani, kuna UVUMILIVU, FITNA YA MUZIKI, CHAWA BORA mpaka KUPENDA WAGANGA 😂😂 Sema Ruby na Ray the Boss kama hajapenda hivi. Wakasuka kwenye comments na kumpa vidonge...
  14. M

    Mjengo mpya wa Nandy na Bilinass

    Msanii Nandy ameshiriki video leo septemba4 inayoonyesha mjengo wao mpya wa kifahari waliotumia miaka miwili kuujenga, na kuandika maneno haya (Tunasmshukuru mungu sana kutuwezesha kushare na nyie bhii furaha kubwa ya hatua ya maisha yetu,.... Nyumba yetu ya kwanza katika ndoa na zawadi ya...
  15. BRN

    Lonely - Yammi ft. Nandy: Sichoki kuusikiliza huu wimbo

    Aisee sichoki kusikiliza huu wimbo. Sauti mzuri kwenye mpangilio murua. Ujumbe Safi kabisa Mdundo sasa.. Aisee kongole kwao!
  16. M

    Nandy tafuta hela uanzishe media station

    Nikimuangalia Nandy namuona kama mwanangu kwa umri wake. Ni msanii mwenye kipaji kikubwa sana na pia ndiye msanii pekee wa kike nchini mwenye Personality nzuri sana. Ninatamani kuona siku moja akijikomboa kwa kuanzisha media station yake NA HAKIKA INGEBAMBA SANA kuliko Wasafi media. Nimeshauri...
  17. M

    Collabo ya Nandy na Kiba ni nzuri sana kuliko ya Mondi na mr blue

    Nimezisikiliza zote na kuangalia video zao hakika Nandy na Ali Kiba mmetoa nyimbo nzuri sana. Pamoja na Diamond kui promote sana Mapozi kwa kutumia media zake ili kuifunika Dah! Lakini wapi. Pia chemistry ya Kiba na Nandy ipo vema sana kwasababu wote ni wanamuziki wenye personality yenye...
  18. Mjanja M1

    Nandy aendelea kumnyoosha Diamond Platinumz

    Habari njema kwa Team Nandy na habari mbaya kwa team Diamond Platinumz. Msanii Nandy ameendelea kushika namba moja kwenye Trend za Youtube licha ya staa Diamond platnumz kutoa video ya wimbo wake wa Mapozi aliowashirikisha Jay Melody na Mr Blue. Wimbo wa "Dah" ambao Nandy amemshirikisha...
  19. Mjanja M1

    Nandy atafutwa na Usher Raymond kwaajili ya remix ya wimbo wa "Dah"

    Staa wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya THE AFRICAN PRINCES Nandy, ameweka wazi kutafutwa na msanii wa RnB kutoka nchini Marekani Usher Raymond kwa ajili ya Remix ya wimbo wake wa Dah ambao awali alimshirikisha Msanii Alikiba. Nandy ameshare chat zake na Usher akimuomba aweke Verse...
  20. Mjanja M1

    Nandy ampiku Diamond Platinumz, amtoa namba moja

    Baada ya kushika namba moja kwenye Youtube na kusema kuwa wapinzani wake waongeze juhudi maana hawampi changamoto, hatimae Diamond ametolewa namba moja na msanii Nandy kwenye video zinazo Trend mjini Youtube. Wimbo unaoitwa "Dah!" Wa msanii Nandy akishirikiana na Alikiba ndio unaoshikilia...
Back
Top Bottom