nampenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana Nifah

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Sina maneno mengi. Though she's taken, she is my dream woman. Secret admirer!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nampenda member Eph

    Huyu memba nampenda sana, mimi ni yule yule kijana wa makamo 40+. Wewe member nakupenda sana sijali watakachosema mimi na wewe mpaka kiama. Nakupenda Eph kwanza hueleweki mchumba wako ni nani, humu wanakupaparikia ikiwemo mimi, nmekusoma sana kimyakimya lakini sikati tamaa. Sema utakacho dear...
  3. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Binti aliyeonesha dalili za kunipenda kaniruka futi mia baada ya kumtongoza

    Ni hayo tu wakuu. Wanawake ni viumbe wasiojua wanataka nini. Nimeaibika sana asubuhi ya leo. Uso wote umefubaa, hata huruma hakuona, tena hadharani😭 Nimeonekana mjinga wa Mwisho. Ee Mola, ni nini hiki ulituumbia?😭
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nampenda huyu memba

    Naipenda hii. ID lakini ananipuuzia nikilike nyuzi zake yeye alike zangu, kila siku namquote namtaja jukwaani lakini anijibu moyo unauma namuona na wengine anacheka nao anawajibu PM kafunga nilimuomba afungue hajajibu sijui nilimfanyaje id yake inaanza na e.... Nataka awe mpaka mama wa watoto wangu.
  5. Uncle Mabiki

    JamiiForums Tanzania Bado nampenda Sumaiya ingawa nimeshaoa - True Story

    Karibuni kwenye simulizi yangu ya maisha yangu ya kweli,Yenye Mapenzi na uchawi juu yake. Story inaanza mwaka 2018 nikiwa mwaka wa kwanza pale udsm main campus,mwaka huo nilikuwa mwaka wa kwanza,nilikuwa nakaa hostel za chuo pale mabibo hostel block D ,basi maisha yalikuwa yanasonga tu...
  6. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana Rais wangu Mama Samia ila baadhi ya aliowaamini siwapendi!

    Ukiniuliza kiongozi gani unampenda mimi bila ya kupepesya macho nitakutajia Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Swali; Kwanini unampenda Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Jibu; Nampenda kwa sababu zifuatazo Nikiongozi wa Nchi...
  7. Cheology

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana Nargis Mohamed

    Huyu msichana na sasa mwanamama wa miaka 2003 miss Tanzania 🇹🇿 nampenda sana. Sinaga muda mwingi kumtazama ila angejua wengi tunavyovutiwa naye basi angefungua pazia. Si upendo wa kiuchafuchafu ngonoana hapana. Nampenda alivyo tuuu hata sijui alikosaga vipi kuwa miss namba moja miaka ile.
  8. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Nampenda mke wa mtu ila nami nina mke na watoto!

    Habarini humu wandugu,, Nipo katika wakati mgumu kidogo na ningependa sana nipate ushauri fulani. Mimi ni baba wa familia ya watoto wanne.... Mimi na Mke wangu tumefanikiwa kuishi pamoja kwa miaka 13 sasa tena kwa furaha bila shida zozote zaidi ya magomvi madogo madogo ya kawaida ndani ya...
  9. Tamu3

    JamiiForums Tanzania Nampenda Priska

    NAMPENDA PRISKA Nampenda Priska, shairi namtungia, Mwili umetakasika, hakika anavutia, Sauti akitamuka, hoi mie nabakia, Nampenda Priska, shairi namtungia. Macho yake ya gololi, Mungu mempendelea, Kimtazama kwa mbali, anarembua rembua, Kama anapenda wali, mie tamnunulia, Nampenda Priska...
  10. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kichaga wote jehovah awabariki sio kwa huyu bikra aisee nampenda sana

    Sikuwahi kuamini ipo kama nitaweza kukutana na bikra wa mwanamke wa kichaga ila mimi nimejonea laivu na mimi ndiyo nimeitoa aisee yaani sio poa poa kabisa demu wa kichaga ana mapenzi balaa asikuambie mtuu Baada ya kuvutiwa na huyu binti ambaye nimemkuta ana miaka 30 ila nimekuta hymen ipo...
  11. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Nawapenda sana na nawatakia jioni njema wanawake wa JamiiForums

    Nawapenda sana na nawatakieni jioni njema wadada wa Jamiiforums mtag mdada unaempenda na unae mkubali sana mimi nawakubali hawa👇👇 FaizaFoxy Kasie Dr Lizzy Depal dada yangu Jadda Kalpana Unique Flower Heaven Sent Mamndenyi lara 1 miss Gf Caroline Danzi AshaDii Antonnia cocochanel miss chagga
  12. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Anampenda baba yake mzazi kimapenzi mpaka anamuonea wivu mama yake!

    Kuna mwanamke fulani nilimkuta baa fulani analewa nikaona acha nijisogeze, kweli nikafanikiwa kukaa naye hakuniringi. Alikuwa analewa huku analia nikamuuliza Mbona unalia akagoma kuniambia ila baada ya kumbembeleza ili anijuze Sababu za Yeye kulia akaniambia ataniambia. Muda ulikwenda na...
  13. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Ameniacha ila nampenda…!

    Mimi ni kijana mwenye miaka 28 Nina kil0 97. Sijivunii kuwa na kil0 nyingi hivi ila napamba kuzipunguza ila na0na kama zinazidi. Kwenye Uandishi wangu Badala ya O naweka 0 hiv0 mnivumilie msinitukane wajuaji kama siku z0te. Ip0 hivi, Nimeishi na huyu mwanamke wa kirangi Yapata sasa miezi 8 Na...
  14. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Nampenda Mungu tu

    Sisi sio mafala ila bado wanaumee wanaona hiivyoo. Mi nampenda Mungu tu . Ila Kuna mtu anaringa sana eti Kisa anamashangazi plus mke ila yote life na kitambii changu, Ngoja mjerumani wangu aje nitatolewa tu mpenzi halafu tuone kama hutonimiss . Mume wangu mwingine yupo tu,good day endelea...
  15. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Ninayempenda, ananipenda ila hataki tuwe wote. Mwingine ananipenda, nampenda pia ila sitaki tuwe wote

    Nipo njia panda kwa kweli.... Naombeni ushauri, hasa hasa huyo wa kwanza Picha kwa hisani ya Google
  16. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana Lady Jaydee. Sema ni kwa vile nilichelewa kufanikiwa

    Nianze kwa kuelezea hisia zangu kwake. Nampenda sana huyu bidada. Kila ninapoisikia sauti yake ikichomoza kwa vyombo huwa najihisi faraja sana. Nasisimka akili mpaka moyo. Hajawahi kukosea kwa kweli Lady Jay Dee, kama ningekuwa na pesa kipindi kile ningekutafuta nikuoe kabisaaa, nikuweke ndani...
  17. Dr Count Capone

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana

  18. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Dah! Selewiii kabisa still nampenda

    Tujifunzage kuwa unachoona huwezi kukiacha kutokana na mapenzi basi usikibugudhi au kukichunguza Kwenye maisha yangu nimedate na wanawake lkn most of them wamenizidi umri one or two years Kuna huyu mmoja jamani alinikuta nipo na mchumba wangu ila nilimkataa yule kuwa naye nilimpenda kuliko...
  19. kwisha

    JamiiForums Tanzania Nampenda mchepuko wangu kuliko mke wangu

    Pamoja na kuwa katika dunia ya sasa imekuwa vigumu saana kumpata mwanamke au mwanaume ambaye anatambua nafasi yake vizuri, yaani kama ni mwanamke anajua mwanaume na mwanamke hawako sawa, kama walivyo kuwa mama zetu wa zamani. Lakini kuna mwanamke nimempata nilimtongoza kwa nia ya kutaka kula...
  20. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nampenda kuwa mcha Mungu lakini makalio ya wanawake yananiangusha

    Naweza kusema dhambi UASHERATI ndiyo itakayonifikisha motoni. Zingine naweza kuzishinda. Nikiona tu Yale makalio yanavyotikisika nahama Chanel. Nimejitahidi kujikana nafsi yangu na kutumia mbinu mbalimbali kuutiisha mwili wangu lakini ni kama tu najaza maji kwenye chujio. Nilifanya maombi ya...
Back
Top Bottom