Kuna kadada furani kana soma Saut hapa mwanza nakapenda sana nanimeshawahi kukambia ila akatoi majibu zaid ya kukaa kimya basi.
Tumeishi maisha hayo ila kakikukumbuka kana kutexts mnasalimiana vizuri ila ukikakumbusha tu kana kaa kimya ata wiki ata mwez mzima Sasa jumapili kalinisalimia...
Nampenda sana Bahame.
Nime mfollow sana maeneo mengi. Ana mwanae nahisi ama anasoma Kusini au wanaishi wote somewhere in the South.
Dunia ina balance pale kila mmoja akabalansisha mambo...langu mie I love you Sylvia Bahame.
Habari Wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 24 Kiukweli nashindwa Kumdanganya Mwanamke nina mapenzi ya dhati kwa mtu ninaempenda kweli. Ni mara ya pili naingia kwenye Mausiano baada ya nilie kuwanae kuniwekea masharti kwenye chakula cha mwili baada ya kumvumilia kwa miezi tisa.
Kazi ipo kwa...
Naomba wale wenye uzoefu wa kuwa kwenye mahusiano na wanawake wenye ugonjwa wa kunuka kikwapa wanisaidie mbinu walizotumia kumsaidia mwanamke wa namna hii. Nina demu wangu kiukweli nampenda na hatuna kabisa mgongano wowote tumekuwa tunaelewana.
Shida yake ni harufu ya kwapa, hiki kitu kimekuwa...
Naombeni ushauri,
Mimi ni msichana wa miaka 24, nina mchumba ana miaka 29, tatizo langu ni kwamba mchumba wangu nimekuja kugundua ni muongo sana na mpaka kumgundua uwe na akili ya ziada kabisa, nimekuja kumgundua nimeshampenda tayr, na nisingekuwa nakaa naye pamoja hakika nisingemkamata...
Sina mengi nisaidieni kumwambia, nampenda mwambieni nitatoa mahari anayotaka yeye, afu mwambieni ndoa tutafungia Saadani, mwambieni niko tayari na nipo kwa ajili ya kumpa Raha, siitaji kulelewa ila kumlea.
Ndugu zangu habiri nyingi sana hamjambo?
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Kiukweli nampenda MKE WANGU sana ila wakati mwingine shetani anapitaga tu na pisi kali kinoma basi najisemea kimoyomoyo ujue mimi nimeoa afu afu toto kama hili linakatiza basi najisahaulisha naanza kutia...
Nilipo kuwa mtoto kipindi kile cha 2011 nilitokea kumpenda Saana uyu mtoto wa kike. Sasa nimekuwa, bado mapenzi yangu Yako pale pale i want to be with this Girl in my life.
Please Who can help me to get her phone number ni nani anaweza kunitafutia number zake au kuni unganisha naye? Please Nina...
Nimemkuta huyu mpenzi wangu akiwa na mtoto mmoja na sasa ni kipindi cha miaka saba sasa.
Cha ajabu tulitumia miaka mitatu tulikuwa tunafanya kila kitu lakini aligoma kabisa kusex na mimi.
Tulikuwa tunaenda chumbani au tunakaa kwenye gari tunafanya kila kitu ila ukimwambia msex hataki kabisa...
Poleni na tozo za miamala
Mimi nina mpenzi mpya kabisa ila tatizo nisipomtafuta mie baasi ujue ndio siku imepita hivyo. Nikimwambia 'Nakupenda' anajibu ahsante.
Nikimpigia simu anasema ana kazi atanitafuta baadae baasi hiyo baadae mpaka mie nimtafute. Nikimtumia msg anajibu inshort sana yaaani...
Mbunge mstaafu wa Mbeya mjini kupitia Chadema mh Mbilinyi aka Sugu amesema hata tukiweka siasa pembeni anamkubali na kumpenda mama Samia, mh Rais wa JMT.
Wadau natumai mko poa.
Nazama moja kwa moja kwenye mada. Miezi takribani 5 iliyopita nilileta mada humu 90% ya mawazo ya wadau niliyatumia na yalinisaidia sana. Najifeel zaidi ya hom humu. Nilikuwa na mahusiano na binti ambaye nilitegemea mwaka huu kumuoa baada ya kumaliza masomo kwa bahati...
Ilifika mahali hata kuongea siasa unaangalia kushoto na kulia ndiyo uongee,tena na unayemuamini.
Ilifika mahali ukiongea halafu ukataja neno Tundu Lissu badi kama pana mfanyakazi wa serikalini unaona amaondoka kimyakimya.
Simu zinarahisisha biashara lakini ilifika mahali mtu hapendi muongee...
Bwana wetu Yesu asifiwe wapendwa, Asalaam naalykum kwa waisilam wote natumaini mu wazima wote.
Moja kwa moja nizame ndani ya maada wapendwa. Mimi ni kijana ambaye natarajia kuingia kunako ndoa ikimpendeza Mungu wangu,
Umri wangu miaka 25
Kuna binti ambae tulikutana kwa mazingira fulani...
Jamani yaani kila ninapomuona huyu mdada, nachanganyikiwa sana. I really love her, sitanii ila nilipomtupia maneno matamu akaniambia ana jamaa yake sasa mimi SIKUBALI nataka kumpindua jamaa.
What can i do? Nipeni mbinu kama huna pliz nenda threads zingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.