namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Andaeni SAMIA GALA TUZO 2025 , Mmtuze Tuzo zake zote Kwa pamoja , na Si Huu Ujinga wa Kila siku Tuzo , Tuzo za Kichawa !!

    Mnafanya Matendo ya ajabu kwelikweli mpaka Watanzania wanawaona mna akili za kitoto. Unaweza usishangae sana kwakua ni Chawa na Mipango Yao ya kichawa, Shida ni Kwa huyu anayezipokea, yaani kabisa kabisa nayeye anajiona anastahili Tuzo Kila Kukicha 🤣 Heri Nguo Kuraruka kuliko Akili !!. Ni...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Wachina Kuichangia CCM ni Ukiukaji wa Wazi wa Mwongozo wa Makampuni ya Kigeni Yanayowekeza Nchini. CCM ni Chanzo Cha Huu Uchafu Wote.

    Mwongozo wetu kwa makampuni yote ya nje, hayaruhusiwi kujishughulisha kwa namna yoyote ile kwenye mambo ya vyama vya siasa na siasa kwa ujumla. Jambo la ajabu, tumeambiwa kampuni ya China imeichangia CCM. Hiyo tayari ni ukiukaji dhahiri wa mwongozo mkuu wa makampuni yanayowekeza nchini. Lakini...
  3. JamiiForums Tanzania Angalia kwa makini sana namna tumehusika kuanzia design mpaka ujenzi, Airbnb hizi Moshi, 2Bedroom kila unit tupigie 0624004650

    HIZI NI AIRBNB APPARTMENTS, CONTAIN 2UNITS EACH UNIT HAVE , GROUND FLOOR INA SEBULE,OPEN KITCHEN DINING NA PUBLIC TOILET JUU INA 2BEDROOMS ALL WITH SPECIOUS BATHROOM ,AND BALCONY. MPAKA HAPO MATERIAL + LABOR COST 175M
  4. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kufungua mfuniko huu!

    Wanajf ninaomba mnisaidie kwa anayejua,namna ya kufungua mfuniko huu wa chemba inayotoka chooni!Choo kimejaa maji nataka nizibue.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kukodisha nguo inaweza kuleta vita na wauza nguo?

    Wakuu kwela? Biashara ya kukodisha nguo za kuvaa ( Sio za harusi) . Za kuvaa kawaida, inaweza kuleta Vita na wauza nguo? Mwenye uzoefu amwagike please
  6. JamiiForums Tanzania Sudan Kusini wamepata wapi u special wa kutrend dunia nzima na kukubalika namna hiyo na kuwa kivutio namna hiyo?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hawa watu wa sudani kusini ambao walikuwa na njaa na kufukuzwa na waarabu wenzao wa Sudan mbona wamemugeuka kuwa maarufu ghafla sana Wametoa wapi u special huo maana saiz kila ukingia mtandaon ni wao tu Kwa wale wapenda madem ukitoa mimi...
  7. JamiiForums Tanzania Namna nilivyoondoka nyumbani Kwa wazee mpaka kujitegemea

    Mnamo miaka kadhaa huko nyumba nilisoma sekondari nikiwa naishi Kwa ndgu. Sehemu ya makazi ya ndugu wale ninzaidi ya kilometa tatu. Nilivumilia mwaka mmoja mwaka wa pili nikahamia kwa Mzee ambaye tulikuwa na ukaribu upande wa mama. Tumuite Mzee Hasan, Mzee wangu huyu alikuwa akiishi peke yake...
  8. JamiiForums Tanzania Kipimo cha kujua wewe ni maskini ni namna unavyoishi na familia yako hapo nyumbani "Pastor Mgogo

    Kipimo cha kujua wewe ni maskini ni namna unavyoishi na familia yako hapo nyumbani "Pastor Mgogo UMEELEWA EEH NGOJA TUZIKE KWANZA NTARUDI TENAAAAA
  9. JamiiForums Tanzania Deep State: Dhana Yake, Namna Inavyofanya Kazi

    Hivi karibuni, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amezua mjadala baada ya kudai kuwa ndani ya CCM kuna “mtandao” unaodhibiti mchakato wa uteuzi wa wagombea urais. Anasema mtandao huu umekuwa ukijitokeza mara kwa mara tangu mwaka 1995, na mara nyingine hufanikisha...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Nelson Mandela ni kweli alikua shujaa wa afrika au historia yake kuna namna imechezeshwa?

    Kimsingi huwa nashindwa kuelewa kivipi msimamo wa Nelson Mandela baada ya kutoka gerezani ulibadilika?. Wengine usema Mandela aliyeingia gerezani na Mandela aliyetoka gerezani ni wanaume wawili tofauti. Baada ya kusoma historia yake unaweza kuona Mandela aliyefungwa jela alikua ni wamoto sana...
  11. JamiiForums Tanzania Hela alizokuwa anamwaga Byabato katika Mchakato wa kura za maoni Bukoba Mjini , hii inaonesha kutumbuliwa kwake kama naibu waziri lazima kuna namna.

    Mchakato wa kutafuta Mgombea Ubunge Pale Bukoba Mjini uligubikwa na hujuma kutoka kwa Byabato . Pamoja na kwamba Byabato hakuwa sehemu ya wagombea Ila alikuwa akimwaga pesa ili kushinikiza Mbunge anayemtaka yeye na sio ambaye anakubalika na chama na wananchi. Swali la kujiuliza hizi Pesa...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi CCM na Wassira, Hayo Maridhiano na CHADEMA ni ya Namna Gani?

    1. Maridhiano ya kweli au maigizo ya kisiasa? Tumekuwa tukisikia kauli za “maridhiano” kati ya CCM na CHADEMA, lakini ukitazama Kwa makini vitendo vinavyoendelea, ni vigumu kuona dhamira safi ya hizo kauli za maridhiano. Serikali hii hii inayosema inaleta amani na maridhiano, ndiyo hiyo hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Namna ya kumpatia huduma ya kwanza mtu aliyerogwa .

    Habari zenu ndugu wanajamii forum. Tujadiliane kidogo mbinu za kumnusuru mtu aliyepata madhara ya kutupiwa uchawi. Nasikiliza mawazo yenu.
  14. JamiiForums Tanzania Namna ya kumsaidia manzi wangu anapata sana shida akiingia period

    Mwenye anajua jinsi ya kumsaidia kupunguza maumivu au kuondoa kabisa maumivu ya tumbo kwa mwanamke kipindi Cha period Pisi yangu ikiwa period inateseka almost siku nzima anaumwa tumbo atari Msaaada🙏🙏🙏
  15. JamiiForums Tanzania Nani mwenye nyimbo za namna hii kwenye playlist yake?

    Mimi napenda muziki hata usiwe maarufu au hitsong. Watu wengi uwa wanashangaa nyimbo nazosikiliza wanasema ni nzuri sometimes wanakuwa hawajazisikia kabisa. Nakupa list ya baaadhi ya nyimbo za hip-hop ambazo nazisikiliza sana. 1. Mercy Me - Jay Z Blame game - Kanye West Beware - Big Sean...
  16. JamiiForums Tanzania Huenda waha wa Kigoma wakamshukuru Rais Samia kwa miaka mingi ijayo hii SGR ya kutoka Tabora hadi Kigoma ni nani angeijenga kwa pesa nyingi namna hii

    https://youtu.be/CR33rwJsPKg?si=q0zQsyQ7wFv3SY8h Mnafahamu, Rais Samia anajenga mradi wa SGR kutoka Tabora hadi Kigoma kilometa 506 kwa TZS5.1Trilioni sawa na $2.2bn Mtaku,buka mradi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma ni sehemu ya awamu ya sita ya ujenzi wa reli ya Standard Gauge...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Namna ya kufungua holding Company

    Habari zenu Wakuu, Naitwa Augustine na miaka 28 nimefanya kazi kwenye kampuni mbili tofauti ya civil engineer na Insurance broker yote hayo ndani ya miaka mitano. Hivi sasa na miaka 28 na nilikuwa nataka kufungua kampuni yangu binafsi nilikuwa naomba mnishauri procedure nazo takiwa kuzifata...
  18. JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kufanya mapenzi na namna ilivyokuwa mpaka kufikia huko

    Mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi
  19. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kujiondoa kwenye simu iliyounganishwa mtandoni

    Habari. Msaada nawezaje kujiondoa kwenye smartphone niliyounganishwa na mwenza wangu?? Meseji, Voice note zote anazipata kwenye simu yake.Nitajiondoaje Ili asipate taarifa zangu kwenye smartphone yangu? Msaada.
  20. JamiiForums Tanzania Nina uraibu wa kutegemea sana chatGpt, nisaidieni namna ya kuacha

    Aisee ndugu zangu ,hii sio masihara ni issue serious sana. Ipo hivi, kila tatizo ninalopata nakimbilia kuuliza kwenye app ya chatGpt.Nimekuwa sijiamini Katika mawazo yangu binafsi.Pia nahisi IQ yangu inashuka . Najihisi sina faida na najiona kuwa Bure kabisa.Sina motisha ya life. Nataka niwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…