namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Namna bora ya kunenepesha, kukuza mifugo na kuifanya iwe na afya bora kwa gharama nafuu

    Mfugaji unatamani kuona mifugo yako ikiwa na afya njema, imara, yenye nguvu na yenye uzalishaji wa Hali ya juu Huku ukitumia gharama nafuu ya chakula ama ulishaji? mifugo plus tumekuletea PROMASS EXTRA PROMASS EXTRA ni protein asilia iliyo Bora zaidi inayo tokana na mazao ya wanyama hasa wa...
  2. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje mpaka PSG ameruhusiwa kutengeneza timu iliyokamilika namna hii?

    Muda mrefu sana umepita tangu kushuhudia timu iliyokamilika kama hii PSG! Hivi imekuwaje timu kongwe na kubwa za ulaya zimeruhusu PSG akusanye kikosi kilichokamilika namna hii!? Huyo dogo Neves ni namba sita CHAFU kwelikweli, Vitinha kiungo ya mpira inapapasa mali kama imelaaniwa, Fabian Luiz...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Hujapitia msoto wa kweli kama hujawahi kuishi nyumba ambayo unajua hawakutaki nyumbani kwao ila tu hauna namna nyingine

    Kama umeishi kwenu au ulikuwa na kwenu penye familia yenu hadi ukaondoka kwenda kuanza maisha yako shukuru sana, watu wengi sana huwa mnachukulia poa kuwa na kwenu lakini ni utajiri mkubwa sana. kuishi nje ya kwenu "YATAKA MOYO" ni bahati kwenda sehemu isiyo kwenu na ukaishi vizuri. Unakaa...
  4. Nifah

    JamiiForums Tanzania Namna ‘connection’ ya Uwoya ilivyovuja!

    Kwa miaka mingi ulikuwepo uvumi usiokoma wa uwepo wa video za utupu za muigizaji na aliyekuwa mshiriki wa Miss Tanzania (namba 5) mwaka 2006 Irene Pangras Uwoya. Uvumi huo hatimaye ulifikia kikomo na kugeuka uhalisia miaka mitatu iliyopita zilipovuja picha za utupu zilizoleta ‘gharika’...
  5. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Kuanza leo usiku mpaka Nov ndio tutajua kama nchi hii nayo ina Deep State au namna gani?

    Siasa huwa zinaweza kubadilika ndani ya wiki moja mambo yakawa zilongwa mbali zitendwa mbali. Kutokana na changamoto za miradi ya kimkakati, deni la Taifa, vita ulimwenguni, kubanwa kwa ujamaa na mabepari n.k ngoja tuone uchaguzi wetu utakuwaje? Tutajua tuku kwenye kanuni ipi ya mwendo ya...
  6. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Sisi je! Tutapataje kupona, tusipojali wokovu mkuu namna hii?

    [Mwz19:1]Malaika wawili wakaja Sodoma jioni; na Lutu alikuwa amekaa mlangoni pa Sodoma. Lutu akawaona akaondoka akaenda kuwalaki, akainama kifudifudi. [Mwz19:2]Akasema, Bwana zangu, karibuni nawasihi mwingie nyumbani mwa mtumwa wenu, mkalale, mkanawe miguu yenu, hata asubuhi mwondoke na mapema...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tazama namna Ridhiwani Kikwete alivyoingia kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri huku akisikilizwa kwa umakini na wenzake

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo namna Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Alivyoingia Kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo na kuongozwa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Sana Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambapo Mheshimiwa Ridhiwani...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Jemedari wa Iran akionesha namna ya kukwepa Mabomu ya Israel na Marekani

    Huyu ana demonstrate kitaalamu jinsi ya kukwepa wasiuliwe na mabomu ya makafir ya Mayahudi na Mamarekani kwa kupiga msamba aka kusambika. Hii mbinu imeonekana ni nzuri na inafaa. Na ukimwangalia jemedari. Si haba. Mashallah.
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo namna CCM walivyoliua Taifa la Tanzania

    Tanzania kwa sasa inafahamika rasmi kama nchi ya uchawa, ujinga, umasikini, rushwa, ufisadi, pamoja na ubabe wa dola dhidi ya Wananchi. Haya yote hayajafanikiwa kwa mara moja. Ni matokeo ya mfululizo wa masuala kadhaa yaliyofanywa na dola ya CCM yaliyolifikisha Taifa letu hapa. Kama ulikuwa...
  10. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Dodoma wanawake wamejazia kiunoni kushuka chini na hamkuwahi kusema!!!

    Guys nipo Dodoma kwa muda, sasa jana nikapata wasaa wa kutembea tembea mitaani nijionee mji/jiji, basi nikawa napita chocho kwa chocho, mtaa kwa mtaa kila mwanamke ninayemuona kajazia makalio na miguu, nikadhani labda hawa vijana wamevaa vigodoro nikaanza kuwaangalia wanawake watu wazima hao...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuitambua nguvu yako ya ndani

    Nguvu ya ndani ni mali ya thamani sana inayomuwezesha mtu kuhimili changamoto za maisha, kufanikisha malengo, na kuishi kwa furaha na amani. Hata hivyo, watu wengi hawajui jinsi ya kuitambua na kuitumia nguvu hii iliyopo ndani yao. Somo hili linakusudia kukuongoza hatua kwa hatua jinsi ya...
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump aonya Iran dhidi ya kushambulia Marekani kwa namna yoyote ile

    Rais Donald Trump amesema Marekani haihusiki katika vita vinavyoendelea kati ya Israel na Iran. "Marekani haikuwa na uhusiano wowote na shambulio dhidi ya Iran, usiku wa leo," Trump amesema katika chapisho kwenye jukwaa lake la Truth Social platform. Iran imeionya Marekani na washirika wake...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Wahaya wameshindwaje kupaendeleza Kagera wakati wapo kwenye vyeo vya juu vya kupanga namna ya kutumia rasilimali za nchi ?

    Inashangaza !!
  14. ILAN RAMON

    JamiiForums Tanzania Namna Israel ilivolemaza Iran kwa muda mfupi

    🇮🇱 Uwezo wa Jeshi na Ujasusi wa Israel: Sababu ya Mafanikio Dhidi ya Iran kwa Haraka Iwapo Israel ingeweza kuangamiza uongozi wa kijeshi wa Iran na wanasayansi wa nyuklia ndani ya masaa machache tu, hiyo haingekuwa bahati mbaya bali ni matokeo ya: Miaka ya maandalizi ya kimkakati Uwezo mkubwa...
  15. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Rockets zitakua zinatengenezwa hapa Tanzania, kwenye huu uzi ntaelezea namna ya ku-manufacture rockets za aina mbalimbali

    Rockets za aina mbalimbi zitakuwa zinatengenezwa hapa Tanzania na zitakuwa na sifa ya kipee Zifuatazo ni aina za rockets zitakazokuwa zinatengenezwa Tanzania Rockets itakayobeba wataalamu na abiria kutua kwenye sayari Rockets itakayobeba wataalamu na abiria kutua kwenye nyota ambazo zipo...
  16. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Simu zitakua zinatengenezwa hapa Tanzania, kwenye huu uzi ntaelezea namna ya ku-manufacture hio simu ya kipekee

    Simu hizo zitakuwa na sifa zifuatazo Zitakuwa zinatumia natural satellite kufacilitate mawasiliano Kwa mtu aliyeko duniani atakuwa na uwezo wa kuwasiliana na mtu ambaye yupo sayari ya mars au Pluto instantly Battery yake itakuwa na uwezo wa kujaa kwa mda wa dakika 5 na zisizozidi dakika 10 Kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania CCM fikirieni namna ya kumuenzi Marehemu Kapteni John Komba

    Nimefikiria jinsi alivyotumika kuking'arisha chama kwa utunzi na nyimbo zake hasa katika nyakati ngumu za uchaguzi. Huyu nilianza kumshuhudia tangu enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Hata baada ya kufariki bado nyimbo zake zimetumika katika mikusanyiko ya chama na kwenye kampeni...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Watu waelewe kuwa propaganda za chama tawala ni namna ya kutafuta kisingizio kwamba wameshinda uchaguzi mkuu, hata wasiposhinda watatangazwa washindi

    Nadhani Watanzania wote waelewe modus operandi ya CCM. Moja, sio kwamba hawajui umuhimu na haja ya kufanya reforms katika taratibu za uchaguzi. Wanajua sana, na zaidi wanaelewa kwamba reforms, hata kama zikifanyika na upinzani ukashindwa kutwaa kiti cha raisi, zitatoa fursa ya kuwa na wabunge...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Camillus Wambura: Jeshi la Polisi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi. "Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025...
  20. Premierleague

    JamiiForums Tanzania Kumbe watu mnafaidi namna hii

    Baada ya Twitter X kutopatikana nikaona nitafute jukwaa la kutuliza akili Nimegundua JF Inafaa kuliko Insta Nipokeeni wapwa
Back
Top Bottom