namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumsaidia manzi wangu anapata sana shida akiingia period

    Mwenye anajua jinsi ya kumsaidia kupunguza maumivu au kuondoa kabisa maumivu ya tumbo kwa mwanamke kipindi Cha period Pisi yangu ikiwa period inateseka almost siku nzima anaumwa tumbo atari Msaaada🙏🙏🙏
  2. music mimi

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye nyimbo za namna hii kwenye playlist yake?

    Mimi napenda muziki hata usiwe maarufu au hitsong. Watu wengi uwa wanashangaa nyimbo nazosikiliza wanasema ni nzuri sometimes wanakuwa hawajazisikia kabisa. Nakupa list ya baaadhi ya nyimbo za hip-hop ambazo nazisikiliza sana. 1. Mercy Me - Jay Z Blame game - Kanye West Beware - Big Sean...
  3. Investigation Unit

    JamiiForums Tanzania Huenda waha wa Kigoma wakamshukuru Rais Samia kwa miaka mingi ijayo hii SGR ya kutoka Tabora hadi Kigoma ni nani angeijenga kwa pesa nyingi namna hii

    https://youtu.be/CR33rwJsPKg?si=q0zQsyQ7wFv3SY8h Mnafahamu, Rais Samia anajenga mradi wa SGR kutoka Tabora hadi Kigoma kilometa 506 kwa TZS5.1Trilioni sawa na $2.2bn Mtaku,buka mradi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma ni sehemu ya awamu ya sita ya ujenzi wa reli ya Standard Gauge...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Namna ya kufungua holding Company

    Habari zenu Wakuu, Naitwa Augustine na miaka 28 nimefanya kazi kwenye kampuni mbili tofauti ya civil engineer na Insurance broker yote hayo ndani ya miaka mitano. Hivi sasa na miaka 28 na nilikuwa nataka kufungua kampuni yangu binafsi nilikuwa naomba mnishauri procedure nazo takiwa kuzifata...
  5. Black nyeti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kufanya mapenzi na namna ilivyokuwa mpaka kufikia huko

    Mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi
  6. COLTAN

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kujiondoa kwenye simu iliyounganishwa mtandoni

    Habari. Msaada nawezaje kujiondoa kwenye smartphone niliyounganishwa na mwenza wangu?? Meseji, Voice note zote anazipata kwenye simu yake.Nitajiondoaje Ili asipate taarifa zangu kwenye smartphone yangu? Msaada.
  7. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Nina uraibu wa kutegemea sana chatGpt, nisaidieni namna ya kuacha

    Aisee ndugu zangu ,hii sio masihara ni issue serious sana. Ipo hivi, kila tatizo ninalopata nakimbilia kuuliza kwenye app ya chatGpt.Nimekuwa sijiamini Katika mawazo yangu binafsi.Pia nahisi IQ yangu inashuka . Najihisi sina faida na najiona kuwa Bure kabisa.Sina motisha ya life. Nataka niwe...
  8. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna namna fulani hivi nyakati hizi za kisasa u-kidume umekuwa bedazzled hata dogo uliemuona leo mtaani kesho unamuona ananyanyua vidole mitandaoni.

    Acha kuvaa vipensi vifupi vinavyobana mapaja na makalio. Acha kuwa motivated sana mambo ya kwenye tv. Hakikisha kufuatilia majarida na story books anazosoma mtoto wako mdogo. Mwanaume akimbilii kukaa na wadada kwenye hadhara. Mwanaume hapendi vya bure bure na offer za kila mara
  9. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Ofisi za namna hii zibadilike

    Huwa wanajiona sijui akina nani? Wanajikuta wako busy, ni kupishana tu mbele yako.
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wazalendo wasiruhusu kabisa Uhuni wa Dodoma kua Desturi , itaangamiza Taifa , MTU mmoja' anaweza mpitisha Mwanae 2030 kugombea Urais na asihojiwé !!

    Mkutano ulikua wa kumteua Makamo!!. Wahuni na Machawa wakiwa tayari wameshajipanga, Anaibuka MTU ,kama vipi TUMPITISHE hapahapa? Makofi na kelele vikawa vingi. Wakaibuka Machawa na Vilaza na wahuni wengi wengi kufanya Fujo za makofi na vigelegele. Lini Samia alichukua Fomu? Licha ya...
  11. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Namna ya ku escape Mahari na fine zingine

    Wakuu naomba mbinu za ku escape hii misala kabla kuingia Vitani
  12. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna namna unaweza kuishi na amani yako nzuri tu kwa kuacha Kuanguka kimapenzi na vitu hauwezi kuvipata au kuvimudu

    👩‍❤️‍👨Achana na wake za watu. Hauwezi vumilia maumivu ya consquences zake. 🚗Ukinunua gari hakikisha una uhakika wa kurudisha hicho kiasi cha bei ya gari kirahisi. 🍑Kama demu ni mwenye matako makubwa hakikisha uwe na moyo mkubwa pia. 💵Kama ni bwana pesa nyingi hakikisha uwe na uvumilivu mwingi...
  13. I

    JamiiForums Tanzania NAMNA YA KUREJESHA NYWILA ILIYOSAHULIKA KWENYE WINDOWS – KIUNDANI NA KWA MAJUKUMU HALALI TU Na Goodluck Maleko J

    “Umekwama Kwenye Windows? Njia ya Kisomi, Kisheria na Kiufundi ya Kurejesha Password Kusahau nenosiri (password) ya kuingia kwenye kompyuta ya Windows ni moja kati ya changamoto zinazoathiri watumiaji wengi — iwe ni nyumbani, kazini, au katika mazingira ya kielimu. Wengine huingia kwenye hofu...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Namna bora ya kuweza kwenda Sweden

    Wakuu habari! Aisee mna ushauri au mawazo gani kuhusu jinsi ya Mtanzania kwenda Sweden kucheki maisha.
  15. melick odas

    JamiiForums Tanzania Namna watu walivyoupokea ujumbe wa Askofu Gwajima leo

    Habari ya muda huu wakuu, bila shaka walio wengi wetu wamepata fursa ya kumsikiliza Gwajima katika press conference yake , kwa ufupi baadhi yetu tumepokea ujumbe huu namna hii... ~Wengine wanamuunga mkono wakiona anagusa mambo ya msingi kama usalama na mageuzi ndani ya CCM. ~Wengine wanamkosoa...
  16. Mributz

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kupata hati ya nyumba mkoa wa arusha

    Habarini Nimepata makazi apa mkoa wa arusha maeneo ya olasiti Tokea nijenge nina mwaka sasa Nilikuwa naomba msaada jinsi gani ya kupata hati ya nyumba Kama mtu ana mtu huku aliopo kwenye hiyo mission anisaidie kuniunga nae Thanks
  17. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa kaya ni namna gani ya kujitoa kwenye ajira?

    Wakuu wa kaya ni namna gani ya kujitoa kwenye ajira ambayo ni financial security Na kwenda kwenye mifumo mingine ya kusaka fedha yenye uhuru Zaidi wa kifedha yaani financial freedom Unashauri kijana akifika kiwango gani Cha fedha anaweza ku escape game ya mshahara wa kila mwezi kama yupo...
  18. ashomile

    JamiiForums Tanzania Msaada : Naomba Mnisaidieni Namna Ya kuinstall Window 10 Pro Kwenye HP Chromebook 11 63/G4 (Kip).

    Habarini Za Mchana Huu , Poleni na majukumu , nimekuja kwenu WanaIT mnisaidie swala hili , maana swala hili limenishinda kwa kutumia mawazo yangu pekee. Majuzi kuna Hp Chromebook Ram 4 na Internal Storage SSD 16 nilfanikiwa kuactivate window, nikamkabidhi mwenye nayo akaondoka , sasa basi...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Picha: Iran yaonyesha namna inaweza kutumia nyuklia kuifuta Israel, hivyo inapaswa kupigwa kila inapojaribu kupata nyuklia

    Mshauri mkuu serikalini aonyesha picha ya namna ya kuifuta Israel kwa kutumia mabomu mawili ya nyuklia, hizi ndio sababu kwa nini hao magaidi wa waislamu hawapaswi kumiliki silaha zozote zenye maangamizi makubwa, maana adhimio lao kuu huwa kumaliza Wayahudi. Kila wakipanga kujihami kwa nyuklia...
  20. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Namna Kamanda alivyotoka Handakini

    Aliyeweka hii Sauti alaaniwe vikali
Back
Top Bottom