namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Nguvu inayotumika kunyukana kwenye chaguzi za CCM iwaamshe wapinzani wafikirie upya namna ya kufanya siasa

    Inavyoonekana kupata uongozi ndani ya ccm ni jambo la kufa na kupona ndio maana uchaguzi wao una vitimbi na vituko vingi Kwa kiwango cha kufuatiliwa sana na wafuasi na wasiowafuasi. Kilichonitisha ni misuli inayotumika kushinda uchaguzi. Misuli hii inawajengea ccm uzoefu wa kushinda kwa njia...
  2. JamiiForums Tanzania Tambua namna ya kujua uhalali wa mileage ya gari unalonunua Yard au kwa mtu

    Wakuu Habari, Leo nimeona nielezee kidogo kwa namna gani unaweza kujua uhalali wa kilometer zinazosoma kwenye gari unalotaka kununua either mkononi kwa mtu ama yard. Hii njia haitaweza kuapply kwa magari yote kwa sababu mbali mbali ikiwemo kwamba kipindi fulani hapa nyuma magari yalikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Mr. Right ni kizuri Ila namna kinavyofanyika kinaaibisha na kudhalilisha Wanawake

    KIPINDI CHA MR. RIGHT NI KIZURI ILA NAMNA KINAVYOFANYIKA KINAAIBISHA NA KUDHALILISHA WANAWAKE. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Ingawaje ni aibu kubwa Kwa mwanamke kutoka hadharani na kutangaza kukosa mume WA kumuoa lakini hiyo tunaweza kusema ni kasumba tuu Mbaya. Taikon ninaamini hata...
  4. JamiiForums Tanzania Kuhusu umeme tumuamini nani? Maharage au Byabato? Kuna namna hapa

    Huyu ni Maharage. Huyu ni Byabato
  5. JamiiForums Tanzania Hakuna anayemhujumu Rais Samia. Wananchi kwa macho yao wanaona namna anavyoboronga ila hawana mbadala kwa sasa

    Bei ya vya vyakula ni mateso raia wa kawaida sasa ni mateso kuishi Tanzania kwa raia wa kipato cha chini. Maana kula imekuwa anasa. Wale mabwenyeye CCM wasio na huruna na raia wanyonge wameshika hatamu. Maana umeme kero,.maji kero ajira kero na amayeumia ni mlalahoi. Madeni ya taifa...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna namna ya kufupisha muda wa simu kuita ukipigiwa?

    Habari wakuu sana, Kuna zile simu unapigiwa lakini unakuwa hautaki kupoke au muda huo hauwezi kupokea kwa sababu mbalimbali. Sasa zinaita muda mrefu inakuwa kero na kukata huwezi. nimeona kuwa kwa wastani simu inaita sekunde 30-45. Kuna namna ya kufupisha labda iite sekunde 5 au 10 hivi...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna namna natamani kuwa sijui kwa jinsi gani itawezekana

    Habari zenu wanajukwaa. Naamini wote ni wazima poleni kwa wale wenye changamoto Mungu awatangulie 🙏. Niende moja kwa moja kwenye Mada. Kiufupi nimechoka namna jinsi gani nilivyo. Simaanishi sijipendi au sitamani tena kuishi... lahasha ila kama binadamu tungekuwa kama namna...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada, namna ya kuwa register ERB bodi ya wahandisi

    Habari za muda wadau wa jukwaa,naomba kwa anaejua anisaidie namna ya resubmit vyeti vyangu kwenye ukurusa wa erb
  9. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kuwa register erb bodi ya wahandisi

    Habari za muda huu wakuu,naombeni msaada namna ya kuresubmit vyeti vyangu hapa
  10. JamiiForums Tanzania Mtanzania akifukuzwa kazi, utamsikia 'Nimeamua kuacha, Nifanye mambo yangu' hasemi kuwa nimetimuliwa

    Ahahahaha, Naanza kwa kucheka maana nimekutana na visa vingi vya namna hii. Kuanzia wale walioondolewa kwa vyeti fake na sababu zingine ilikuwa ukiwapigia simu mtu anakuambia kuwa NIMEAMUA KUACHA NIFANYE MAMBO YANGU. Then siku mbili mbele anakupiga sound umsaidie jambo fulani la kifedha au...
  11. JamiiForums Tanzania Kulingana na namna Rais Samia anavyoupiga mwingi. Basi aishi miaka mingi (Milele)

    Wakuu amani iwe nanyi. Baada ya kushuhudia mateso makuu ya kimwili na kiroho katika awamu ya Tano, naam amani imerejea rasmi maana naiona milango ya mafanikio ikifunguka mmoja baada ya mwingine. Katika awamu hii ya sita nimeshuhudia Kwa macho yangu namna maisha ya wengi yalivyobadirika...
  12. JamiiForums Tanzania Shirikisha Watu Wafuatao Kwenye Utafutaji wa Fedha Kwa Ajili ya Taasisi Yako

    Utafutaji wa fedha kwa ajili ya Taasisi yaani "Fundraising Process" ni jambo muhimu sana kwa ustawi wa Taasisi. Kupitia "fundraising process" Taasisi itaweza kupata fedha kwa ajili ya; kutekeleza miradi, kugharamia shughuli za uendeshaji n.k. Jukumu la utafutaji wa fedha kwa Taasisi nyingi za...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbe shemeji mtamu namna hii, basi nina mtihani mkubwa huko mbeleni

    Za mida hii wakuu, Yan week 2 zilizopita nimejitahidi kukwepa vishawishi na mitego ya huyu binti, lakini leo nimefika mwisho. Last night alinipigia simu akidai kuwa anaumwa niende nikamuone, basi mimi leo nilipotoka kwenye shughuli za kutafuta riziki nikatia mguu kwa shemeji kumjulia hali...
  14. JamiiForums Tanzania Namna 5 ya kuepuka kupatwa na kiharusi

    Wataalam wa afya wanasema asilimia 80 ya viharusi vinaweza kuzuiwa kupitia mabadiliko ya mtindo mzuri wa maisha na kucheki afya mara kwa mara ili kudhibiti hatari za kiharusi. Watafiti wamegundua hatua nyingi ambazo watu wanaweza kuchukua ili kupunguza hatari ya kiharusi. 1. Ikiwa unavuta...
  15. JamiiForums Tanzania Namna ya kutengeneza Cheese 🧀 ukiwa nyumbani kwako

    Mahitaji: Maziwa fresh 1lt, limao na sukari kidogo tu. Anza kwa kuchemsha maziwa katika moto mdogo yapate moto ila yasichemke kabisa. Kisha chukua limao kamulia ndani ya maziwa hakikisha yamekua mgando. Halafu kusanya ule ugando ugando ambao ndio cheese 🧀 yenyewe uchuje vizuri kabisa kisha...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi unamchukuliaje mtu wa namna hii?

    HIVI UNAMCHUKULIAJE MTU WA NAMNA HII? Anaandika, Robert Heriel Hivi unamchukuliaje mtu ambaye kazaliwa mjini lakini hajasoma? Yaani kuna shule na vyuo vya kutosha lakini yeye hajasoma, yaani Hana hata elimu ya diploma wakati vyuo hivyo amezaliwa amevikuta. Hivi mtu wa namna hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri wa namna ya kutatua changamoto ya kidini kabla ya ndoa

    Wakuu nina mchumba wa kiislamu ambae tumeshibana sana na nataka nimuoe lakini imetokea changamoto kwa baba yake anataka nibadili dini na amekomaa kweli kweli. Baba yake ni mtu wa dini na ni kiongozi kwenye BAKWATA. Binti hana maamuzi sana kwenye swala hilo anamsikiliza mshua wake. Binti...
  18. JamiiForums Tanzania Namna ya kujibu maswali ya interview,pamoja na Andiko yaani documents.

    Sikia hii Kuna wanachuo wengi hawana uzoefu wa kujibu maswali ya Interview Vizuri,Hawajui ni kwa namna gani wanaweza Kuandika Barua ya kuombea kazi (Application Letter), Au wastaafu wamesahau namna ya kuandika barua ya aina yoyote ile Lakini Kuna wengine CV KUandika Inawashinda Unajua hivi ni...
  19. JamiiForums Tanzania Namna ya kujibu maswali ya interview

    Sikia hii Kuna wanachuo wengi hawana uzoefu wa kujibu maswali ya Interview Vizuri,Hawajui ni kwa namna gani wanaweza Kuandika Barua ya kuombea kazi (Application Letter), Au wastaafu wamesahau namna ya kuandika barua ya aina yoyote ile Lakini Kuna wengine CV KUandika Inawashinda Unajua hivi ni...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Kihistoria aliyoyapata Rais Samia katika ziara yake ni Uthibitisho wa Watanzania wanavyomkubali

    Ndugu zangu watanzania Rais Samia amepata mapokezi ya Kihistoria, mapokezi ya kishindo, mapokezi ya aina yake, mapokezi yaliyoacha Alama ,mapokezi yaliyotikisa Kanda ya ziwa mpaka mwisho wa reli, mapokezi yaliyo isimamisha Tanzania, Mapokezi yaliyosimamisha kila kitu ,Mapokezi yaliyo tetemesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…