namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Namna mashirika ya umma yanavyotumia 4R za Rais Samia

    Kutokana na report ya CAG ya mwaka 2025 hivi ndivyo mashirika ya Uma yanavyonufaika na 4R za Mh Rais wetu mpendwa. 1.TTCL wao wameona namna nzuri ya kunufaika na 4R za Mh Rais ni kupandisha hasara kutoka billion 4.32 mwaka 2022 hadi billion 27.7 mwaka 2023. 2.TRC wao wameupiga mwingi zaidi na...
  2. Hharyson

    JamiiForums Tanzania KAMA UNATAMANI KUJUA KUHUSU UJENZI PITA HAPA UONE NAMNA TUMEKAMILISHA KAZI ZA WATEJA WETU KUANZIA DESIGN HADI UJENZI +255624004650

    SISI TUNAHUSIKA KATIKA DESIGN NA UJENZI MAKINI SANA TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM SINZA CALL/WHATSAP US +255624004650
  3. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania KITAAOLOJIA: Namna ya kusurvive hapo hapo ulipo, VETA sio suluhisho, pesa ipo hapo hapo ulipo

    Hellow wakuu Huu ni uzi wa namna ya kujikimu kimaisha kwa mwana JF, Mtanzania sehemu yeyote alipo Ipo hivi.. Hapo hapo ulipo kuna watu wana njaa ila hawataki kupika, kuna watu wanahamu na makande wanayapenda ila hawana mahindi na mkaa Kuna wachaga wengi ila hawana pa kujumuikia kupata mbege...
  4. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ila wanaume kwa wanaume tunanafikiana sana likija swala la namna ya kuwatreat wanawake

    Oya mie ngoja leo niwape za uso mabaharia wenzangu. Watu tunakaa kwenye kikao, tunaweka ajenda mezani na points kabambe zinatolewa. Mara utasikia "Hamna kumnyonya mwanamke K utakua unalamba lolo la jamaa zake wengine" Mara "Usimpigie magoti demu wako ukimvisha pete" Mara "Mwanamke...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waasi wa Houthi waandamana Yemen kupinga shambulizi la Marekani la hivi karibuni

    Maandamano makubwa yalizuka katika miji kadhaa ya Yemen, ikiwemo Sana’a, Saada, Dhamar, Hodeida na Amran, baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya waasi wa Houthi. Waandamanaji, wengi wakibeba bunduki, visu na Quran, walipaza sauti wakisema, “Kifo kwa Amerika, kifo kwa Israel!” Katika mji...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wataalam naomba mnasadie na kwa namna gani naweza kupata verification notification to my android. Nimeshindwa kabisa kulog in kwa accout zangu zote

  7. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Kuna watu mwezi huu wanatumiana jumbe za simu za namna hii

    MASIHARA! Kuna watu mwezi huu (mwezi wa mfungo) wanatumiana jumbe za simu za namna hii licha ya kwamba na wenyewe wanashiriki mfungo. Mwanaume:👁️‍🗨️ "Baby tukimaliza kufuturu, mida ya saa moja na nusu tuonane pale pale pa' siku zote". Mwanamke:👁️‍🗨️ "Mh sawa. Ila tusitumie muda mrefu ili...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Watoto Kuwatii Wazazi kwa Namna Gani

    Watoto Kuwatii Wazazi kwa Namna Gani Maandiko Yanasemaje 1. Katika Wakolosai 3:20, maandiko yanasema: "Ninyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote; maana jambo hili lapendeza katika Bwana". 2. Lakini katika Luka 14:26, Yesu alisema: "Kama mtu akija kwangu naye hamchukii baba yake, na...
  9. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Walemnaoguswa na maazi ya rais Trump njoo hapa useme wewe umeathirika namna gani?

    Inajulikana Rais Trump katika kipindi kisichozidi siku 100 maamzi yake yameathiri watu wengi na Taasisi nyingi duniani kote,najua Tanzania siyo kisiwa lazima kuna watu wameathirika na maamzi ya hovyo kwakipindi hiki kifupi! Karibu!
  10. Chizi Maarifer

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna namna ya kublock unwanted tags za status kwenye Magroup?

    Mzuka wana Jamvi.. Siku hizi Wasap kumezuka mtindo wa hata watu ambao hamfahamiai nao kukutag kwenye grupu kuview status zao na mara nyingine bila hata kupenda na kutarajia unakuta unaview sasa wengine wanafanya Sifa wanatg kila mara , Sasa ningependa kujua kama Kuna namna ya kuzuia huu mchezo.
  11. Olsea

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya ku activate locking/unlocking bee sound.

    Habari wakuu,nina gari aina ya Toyota Belta X niki lock kwa kutumia remote yake ina flash taa za indicator mara 1 na nikitoa lock ina flash taa za indicator mara 2 kimya kimya bila kutoa sauti ya ku beep ya aina yoyote,naomba kujuzwa namna ya ku activate iwe ina beep nikiweka lock au kutoa...
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Matunda ya Diaspora: Namna Wanawake Diaspora 2 walivyoweza kumuweka Kagame na Rwanda kwenye kona. Tanzania tuna la kujifunza

    Congo DRC ikiwa kwenye hatihati ya kutekwa na Rwanda na Uganda, Wanawake wawili Diaspora wanaibuka na kuisadia nchi yao kuishawishi Jumuiya ya Kimataifa kuchukua hatua stahiki dhidi ya Rwanda. Sote tunafahamu namna Kagame alivyowekeza katika suala la Uhusiano wa Kimataifa. Sote tunafahamu...
  13. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania TRA kawafundisheni wateja wenu namna ya kutumia mashine za efd kutoa risiti

    Wakuu kwema? Hiki kipengele kinasumbua sana. Yani unahitaji risiti ambayo ina tin halafu muuzaji anakwambia mashine haina option ya tin. Hapo ili tu asisumbuke kwa kuwa hajui hiyo hatua. Pia mashine zenyewe ziko aina tofauti kiasi kwamba procedure za kutoa risiti zinatofautiana. Sasa muuzaji...
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Zembwela Amkumbuka Magufuli, Asikitika namna serikali ya sasa inavyoibiwa kizembe

    "Siku moja mtanikumbuka, na mtanikumbuka kwa mazuri si mabaya" "Nimetoa maisha yangu kwaajili ya Watanzania, msifikiri mafisadi wanapenda" https://youtu.be/NaJCiQydU6U?si=i3Ux3On5vuQwMpuw
  15. J

    JamiiForums Tanzania PICHA: Namna Spika wa Bunge la Cuba anavyofanana na M|Kiti Steven Wassira

    WASIRA AZUNGUMZA NA SPIKA WA JAMHURI YA CUBA, OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA.* Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Ndg. Stephen Wassira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake waliofika...
  16. Roboti Wa Nape

    JamiiForums Tanzania Je, ni kitu gani huwezi kukifanya kwa namna yoyote?

    Mi kuvaa sare za CCM au kuvaa manguo yenye picha ya Mama Abdul pia kubebeshwa bango lenye picha ya mama Abdul. Pia kushiriki kwenye mbio za mwenge. Bora waniue kuliko kifanya hayo. Wewe je?
  17. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza katika historia, Viongozi wakuu wa Ulaya, Canada na Australia wakutana kujadili namna ya kuisaidia Ukraine bila kumwalika Marekani

    Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani. Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia ya kwanza kabisa kuiambia Dunia kuwa Ulaya unarudi kwenye himaya yake. Viongozi waliohudhuria ni...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Naomba nifundishwe namna ya kuingiza pesa nikiwa na akaunti ya TikTok

    Naomba msaada wenu namna ya Kupata pesa kutokana na kuwa na acc. Ya TikTok pia umuhimu wa live chat.
  19. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hakuna chochote nacho admire kwa hawa wanaojiita manabii na utapeli wao ila kwa namna walivyo badirisha ulaghai wao kuwa uhalali, should be studied.

    Kwa miaka miaka 2000 tangu Yesu Kristo arudi mbiguni hapakutokea mtu aliejiita chief prophet hadi ilipofika miaka 2010 ghafla kila mtu akaanza kujiita hivyo. So nimegundua hawa watu are businessmen na hivyo ndivyo wanavyouza bidhaa zao. Kama vile utakavyo ifanyia market bidhaa yako kuwa bora...
  20. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Amkemi Watanzania: Kina Tundu Lissu na Makelele ya Katiba Mpya Hayawezi Kutuokoa – China Imetoa Mwongozo wa Namna ya Kufikia "Nchi ya Ahadi"

    Kwa zaidi ya miongo mitatu, mjadala wa Katiba mpya umekuwa gumzo kuu katika siasa za Tanzania, huku wanasiasa kama Tundu Lissu wakijaribu kuwashawishi wananchi kuwa bila Katiba mpya, maendeleo hayawezekani. Wanapiga kelele kwamba mabadiliko ya Katiba ndiyo yatakayotoa mwanga wa ustawi wa Taifa...
Back
Top Bottom