namna ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Simu zitakua zinatengenezwa hapa Tanzania, kwenye huu uzi ntaelezea namna ya ku-manufacture hio simu ya kipekee

    Simu hizo zitakuwa na sifa zifuatazo Zitakuwa zinatumia natural satellite kufacilitate mawasiliano Kwa mtu aliyeko duniani atakuwa na uwezo wa kuwasiliana na mtu ambaye yupo sayari ya mars au Pluto instantly Battery yake itakuwa na uwezo wa kujaa kwa mda wa dakika 5 na zisizozidi dakika 10 Kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania CCM fikirieni namna ya kumuenzi Marehemu Kapteni John Komba

    Nimefikiria jinsi alivyotumika kuking'arisha chama kwa utunzi na nyimbo zake hasa katika nyakati ngumu za uchaguzi. Huyu nilianza kumshuhudia tangu enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Hata baada ya kufariki bado nyimbo zake zimetumika katika mikusanyiko ya chama na kwenye kampeni...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Watu waelewe kuwa propaganda za chama tawala ni namna ya kutafuta kisingizio kwamba wameshinda uchaguzi mkuu, hata wasiposhinda watatangazwa washindi

    Nadhani Watanzania wote waelewe modus operandi ya CCM. Moja, sio kwamba hawajui umuhimu na haja ya kufanya reforms katika taratibu za uchaguzi. Wanajua sana, na zaidi wanaelewa kwamba reforms, hata kama zikifanyika na upinzani ukashindwa kutwaa kiti cha raisi, zitatoa fursa ya kuwa na wabunge...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu namna ya kufika Mpwapwa JKT 826 KJ

    Habari, Nina mdogo wangu amechaguliwa kwenda Mpwapwa JKT. Naomba kufahamu namna ya kufika kambini. Mdogo wangu yupo Dodoma mjini. Akiwa anatokea Dodoma kwa usafiri wa bus ashukie wapi? Je kambi ipo mbali na Mpwapwa mjini?
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuirudisha namba ya NIDA iliyofungwa

    Wakuu habari 💪 Bila shaka humu wapi wahanga kibao wa kufungiwa namba ya nida na hawa authority 😮‍💨 Na pia kuna wataalamu wa mambo humu🫵 Tuliofungiwa tufanyaje ili tuweze kuzirudisha namba za NIDA Zilizofungwa? Wamenifungia kwa sababu ya kitokuchukua kitambulisho Na ukiangalia mimi niko mbali...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali na TFF iangalie namna ya kuifidia Simba SC kwenye hili sakala la uwanja wa Benjamin Mkapa

    Baada ya shughuli za kupongezana na kunyoosheana vidole kuisha, nadhani kuna namna inabidi Simba SC ikae chini na Serikali pamoja na TFF waangalie namna ya kuifidia Simba kutokana na upotevu wa mapato yaliyotokana na kushindwa kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa katika hatua hizi za mwisho za...
  7. JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali ingeangalia namna ya kuwakopesha walimu baskeli za kwendea kazini wanateseka mna kwa kutembea umbali mrefu

    Wengine mpaka miguu imeota vinumbu sabb ya kutembea umbali mrefu kwenda kazini. Tuwahurumieni walimu jamani
  8. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kulipa witholding tax kwenye mfumo wa TRA taxpayer portal

    Kuna majengo ya serikali nasimamia kama mtumishi wa umma sasa katika kuwalipa mafundi na suppliers Kuna Kodi inatakiwa kulipwa TRA, kwakuwa sina uzoefu na haya mambo nikasema niende ofisini kwao hawa TRA kupata ufafanuzi ila mtumishi wao niliyemkuta anifahamishe namna ya kufanya haya malipo...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Msaada anaejua namna ya Kuandaa ndizi kwajili ya Export kwenda nje ya Nchi Nimuajiri anahitajika hata saivi

    Habari Ndugu Nina ndugu zangu waarabu wamepata tenda uko kwao ya kupeleka ndizi kwa maana ya export kwenda nje ya nchi za uarabuni na wamenieka mimi kuwa mtu kati yao niwasaidie na tunagawana percent ila sina ninachojua kwenye uandaaji na packaging ili zifike salama ninachojua ni ndizi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya: Namna ya kujilinda, hatupo salama, chukua hatua hizi

    NAMNA YA KUJILINDA- HATUPO SALAMA. NAMNA YA KUJILINDA HATUPO SALAMA .1.Usipende kuwasha location ya simu yako kila mara. 2.Usipende kutembea mwenyewe nyakati za usiku. 3.Hakikisha kabla hujalala kuna mtu umempa taarifa au umemtakia usiku mwema na amejua upo wapi. 4.Wakija watu kukukamata...
  11. JamiiForums Tanzania Harakati za Daudi kuwania Ufalme zinatupa Somo gani katika Siasa na namna ya kuepa Kuuawa?

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli kabisa Hakuna ufalme au utawala usiotoka kwa Mungu. Huo utawala haupo. Hata watawala wenyewe wanajua Jambo Hilo kutokana na maisha Yao walikotoka na walipo hivi Leo. Niliwahi msikiliza Magufuli na pia Rais Samia mwenyewe alishawahi kukiri kuwa hakuwa...
  12. JamiiForums Tanzania namna ya kurecover corrupted excel file

    habari ya kazi wadau. samahani jana kuna mdau mmoja aliweka flash yake kwenye pc yangu kuhamisha muvi. sasa alipotoa tu mafaili yote yakawa hayafunguki. mfano nyimbo zote zikawa haziplay, word files zikawa hazifunguki pamoja na excel files. sasa kuna documents za muhimu kwa excel. je naweza...
  13. JamiiForums Tanzania Matatizo ya VETA na jinsi ya kuyatatua

    MATATIZO YANAYOIKUMBA VETA TANZANIA NA NAMNA YA KUYATATUA Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) nchini Tanzania ni taasisi muhimu inayotoa mafunzo ya ufundi kwa vijana ili kuwapa ujuzi wa kujiajiri na kuajiriwa. Hata hivyo, licha ya umuhimu wake mkubwa, VETA inakabiliwa na matatizo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Namna ya Kufungua Jicho la Tatu

    Jicho la Tatu (Ajna Center) ni Portali ya Mwanga, siyo tu "organi ya kuona visions" — ni sehemu ambayo Roho safi huunganishwa moja kwa moja na chanzo cha Nguvu (Source Field). Katika maandiko ya kale, Third Eye ilijulikana kama: "The Single Eye" — Yesu alisema: Lakini siri ya kufungua Jicho...
  15. JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo anaweza kuwa na hoja lakini amekosea namna ya kuwasilisha

    Inawezekana Mbunge wa Arusha alikuwa na hoja muhimu lakini amefanya makosa namna ya kuiwasilisha. 1-Kosa la kwanza yeye alikuwa ni mmoja wa wanaserikali ambao mara nyingi hupingwa na jamii. 2-Kama mtu aliyewahi kuwa mtumishi wa Serikali yapo mengi sana aliwahi kuyafanya na kuyaamua ambayo...
  16. JamiiForums Tanzania Kama ChatGPT inaweza kuhubiri Injili namna hii - basi ni kweli hizi ni siku za mwisho!

    Soma mpaka mwisho maongezi haya kati ya Interviewer na ChatGPT - utacheka, lakini pia utakubaliana nami kwamba hizi ni siku za mwisho. Injili inahubiriwa kwa kila njia, kwa mataifa yote, kama Yesu alivyotabiri(Mathayo 24:14) :) -------------- Swali: We chatGPT ni mbishi sana. Kila mahali, watu...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya ku quote several sentences na kuzijibu

    Imenitoka kidogo naomba mwongozo
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kutengeneza mbege

    Mwana Jf mmoja anielekeze namna ya kutengeneza mbege kama Nina ndizi na ulezi tayari.
  19. JamiiForums Tanzania Mabroo wa miaka 40+ tupeni ushauri namna ya kuukimbia umaskini,vijana mnaojitafuta pitienj huku!

    Vijana wanaojitafuta katika mazingira ya kiafrika wamekua wakikumbana na changamoto nyingi zinazopelekea kubaki katika dimbwi la umaskini. Hata hivyo,kuna watu wamefanikiwa kujikwamua kiuchumi katika mazingira hayohayo,tunahitaji kupata maelekezo kidogo kutoka kwa wakubwa zetu waliofanikiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Namna ya kununua shamba

    Habari JF Nimeamua kufanya maandalizi ya kustaafu kabla ya muda na kuachana na hizi kazi za ofisini ndani ya miaka 5 ijayo. Hatua ya kwanza nimeona ni kununua shamba walau ekari 10 kwa ajili ya makazi pamoja na ufugaji(70%) na kilimo(30%). Nitahamia shambani kabisa na kujenga nyumba huko kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…