namba

Namba (難波, Nanba, IPA: [namba]) is a district of Osaka, Japan. It is located in Chūō and Naniwa wards. Namba is regarded as the center of so-called Minami ("South") area of Osaka. Its name is one of variations on the former name of Osaka, Naniwa. Namba is best known as the city's main south-central railway terminus: JR, Kintetsu, Nankai, Hanshin, and three Osaka Metro subway lines have stations there.
Some of the most famous images of Osaka, including the Glico Man and the Kani Doraku Crab, are located around the Dōtonbori canal in Namba. Namba is also known as an entertainment district, and hosts many of the city's most popular bars, restaurants, nightclubs, arcades, and pachinko parlors. The area is also known for shopping, with the Takashimaya department store (for older styles) and the sprawling underground Namba City shopping mall (for newer styles).
Namba Parks is a new development consisting of a high office building, called "Parks Tower," and a 120-tenant shopping mall with rooftop garden. Various kinds of restaurants (Japanese, Korean, Italian, etc.) are located on the 6th floor, and shops on the 2nd to 5th floors. Parks Garden features enough greenery to help visitors forget that they’re in the middle of the city. There is also an amphitheater for live shows, as well as space for small personal vegetable gardens and wagon shops.
Namba was once the city of adult deliquents.Now,namba gathers some of the young deliquents.
There are sex trade shops and discos,but namba is also the pub restaurants city.
The namba's amusing commerce culture gathers many people.
canals in osaka created the commere culture.namba was near the center of osaka in Edo.
namba is also the center of owarai culture.
NMB48 bases in Namba.

View More On Wikipedia.org
  1. Je lipa namba za mitandao zinaenda kufungwa?

    Kwa wale Mawakala wa Mitandao ya simu wanaotumia Lipa Namba bilashaka watakuwa wamekumbana na kashkashi za matishio ya Mitandao ya simu kuhusu . Kwa sasa mawakala kwa asilimia kubwa wamekuwa wakitumia Lipa No kwa ajili ya kutoa pesa kutokana na demand ya wateja kupata unafuu wa Makato kiasi cha...
  2. Watu smart wamwangalie sana Kafulila. Anamvuruga vuruga Mama kwa namba halafu akija huku anacheka sana

    Mama hajui kitu, kakuta wananja ambao wanamtumia vizuri kutokana na kutojua kitu kwake. Kafulila kampa tu namba uchumi unakua hajaweza mfafanulia mlinganyo wake kimahesabu na uwezekezaji na Ulaya na Marekani. Na yeye akabeba hivyo hivyo kuanza pita na kauli mbiu mitaani. Hakuweza changanya na...
  3. Mchezo namba 184 wa 25 june 2025 huwezi kuwa mchezo wa kumpa Simba wala Yanga ubingwa

    Naiona Simba ikipoteza mchezo mmoja,. Na kumfanya kuwa nyuma kwa alama 4 mbele ya Yanga. Hivyo mimi kama UwesuTanzania naiona Deby ya Kariakoo Simba ikicheza kwa kukamilisha tu ratiba, pia nikiendelea kumulika hapa naona kuna asilimia kubwa za Simba Kuto kwenda uwanjani siku ya mchezo...
  4. Netanyahu Awe Yerobohamu Namba Tatu Ama Ahabu Namba Mbili

    Biblia inamtaja Yerobohamu mwana wa Nebati mara kwa mara kama mfano wa “mfalme aliyefanya dhambi na kuwaongoza Israeli kutenda dhambi” — almost kila mfalme aliyefuata katika ufalme wa kaskazini (Israeli) alilinganishwa naye vibaya. Ahabu (Mume wa Yezebeli) – 1 Wafalme 16:30-33 Ahabu ni mzito...
  5. NI BORA HIYO mechi namba 184 kati ya Simba na Yanga. Ni BORA IFUTWE KULINGANA NA KANUNI...

    Ukizingatia wenye mamlaka Wana assets zao , ukizingatia historia ya nchi ilivyo na inavyohusisha timu hizo mbili... Na ukizingatia yoyote Yale NI BORA IFUTWE TUUUU ILI KU BALANCE MZANI WA TIMU HIZI......LIGI IISHE TIMU MBILI ZINA PUNGUFU YA MECHI 1 WENGINGE 14 WAKO SAWA.... ASANTENI..
  6. Nilikua najua masihara issue ya unfollow machawa. Nikachukua sample ya Milard Ayo. Aisee namba zinatembea!

    Nimeanza kumcheki jamaa mida ya saa 6 usiku, ubao wa followers IG ulikua unasoma hivi (note muda juu kulia) Saa moja baadae saa 7 usiku, ubao unasoma hivi: Imagine hii ni usiku wa manane amwpoteza zaidi ya watu 200, je mchana itakuaje? Ngoja nifuatilie hii.
  7. Sijui watafunga wangapi, ukimfunga huyu anakuja huyu, Namba ya wanaharakati inazidi kuongezeka

    SIO kawaida mpaka huyu mkuu WA Wilaya Mstaafu nae haridhishwi na mambo yanavyoenda
  8. Namba za wafuatiliaji wa Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kupitia YouTube zatikisa!

    Wakuu Kesi inayovuta hisia za wengi nchini imeendelea kupata mvuto mkubwa mtandaoni, huku idadi ya wafuatiliaji kupitia jukwaa la YouTube ikiongezeka kwa kasi isiyotarajiwa. Hizi ni baadhi ya Chaneli za YouTube zilirusha Live zoezi la Usikilizwaji wa kesi ya Tundu Lissu katika Mahakama ya...
  9. W

    Uzi Maalum wa kutambua namba za mitandao ya simu Tanzania 📶

    Watu wengi hupata changamoto kujua kama namba fulani ya simu ni ya Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel au TTCL. Karibu tushirikiane kujuzana namba za mwanzo za kutambua mtandao, Tuzikusanye zote na kuweka orodha kamili VODACOM: 0754, 0755, 0743, 0745, 0746, 0769 TIGO: 0710, 0712, 0713, 0714, 0715...
  10. Soka sio mchezo pendwa namba moja Nchini Finland, unaoongoza ni ice hockey

    Wakati Barani Ulaya inajulikana wazi kuwa mchezo wa soka (Football) ndio namba moja kwa kupendwa na kufuatiliwa zaidi na Watu, Nchini Finland hali ni tofauti, wao mchezo wao namba moja ni ice hockey. Mchezo huo unaongoza kwa umaarufu na kwa kufatiliwa na watu wengi Finland, hii inajumlisha...
  11. Hivi ukimuomba namba akawa anajishauri kukupa ina maana gani?

    Ee, nimempatia simu aandike namba yake, akaishia kushtuka shtuka tu, mara ang'ate vidole, mara aangalie chini kushoto. Nikamwambia acha kanjanja, chora namba kwa simu hapo. Mara ooh, mi siwezi, mara ooh huna nia nzuri na mimi, mara oh ya kazi gani Nikamwambia kama hutaki nipatie simu yangu...
  12. K

    Heche kwa sasa ni namba moja kwa vijana

    Heche kwa uwezo wake mkubwa wa kuelezea vitu kwa ufasaha na kwa ufupi. Pamoja na ujasiri wake amekuwa mashuhur kuliko vijana wenzake wote wanasiasa . Kwa sasa anamzidi Mwigulu, Biteko, Makamba, Lema, zitto kwasababu ya umahiri wake wa kueleweka na watu wa kawaida. Tumpe maua yake talent ni...
  13. Zumaridi yupo sahihi (Mwafrika hajaumbwa/ Mwafrika ni Mungu) Likud 7th theory of creation

    Bado naendelea kutafuta asili ya mwanadamu na kwanini yupo duniani. Nimesha taja nadharia Sita kuhusu kile ninacho ona huenda kikawa ndio chanzo cha Sisi kuwepo hapa duniani. Hii ni nadharia yangu namba saba. MWAFRIKA HAJAUMBWA. Ila? MWAFRIKA yuko pamoja na Mungu. Kama ambavyo Mungu hana...
  14. Kwa nini kuna namba za simu za kimataifa (international dialing codes) soma hapa.

    Namba za Simu za Kimataifa ni Nini? Namba za kimataifa ni viambishi namba vinavyowekwa mwanzo wa namba ya simu unapopiga kutoka nchi moja kwenda nyingine. Mfano: Ukitaka kupiga kutoka Tanzania kwenda Marekani, unaanza na +1 (ambayo ni code ya Marekani), halafu unafuata na namba ya mtu...
  15. Nani anaweza kucheza namba ya Chamalone pale Simba?

    Naingia wasisi kwani Chamalone binafsi simwamini Tena maana anatusababishiaga magoli ya kizembe, yule jamaa aliyecheza alipokuwa majeruhi ni hatari sana mzee baba, hajasababisha tufungwe goli kizembe, kwanza pasi zake za uhakika kuliko Chamalone! Akicheza Chamalone kwa wale Waarabu kule...
  16. U

    Taja hizo namba 27,000 na 2,007 kwa maneno sahihi ya lugha ya Kiswahili na Kiingereza

    27, 000 20, 007 Wadau hamjamboni nyote? Usitoe maoni unachotakiwa ni kuzitaja hizo namba hapo juu kwa usahihi wa maneno ya kiswahili na kiingereza
  17. Ni hatua zipi za kufata ili namba ya NIDA iliyofungiwa iwe accessible tena.

    Je kwa zile namba ambazo Bashungwa amezizuia kutokana na kutochukua vitambulisho ni Nini Cha kufanya ili ziwe active tena.
  18. PreGE2025 Namba 0792705831 imetajwa ila sijasikia jeshi la polisi kutoa kauli ina maana tusibiri ya tokee halafu mseme hamfahamu?

    Hii nchi sasa ni FUTUHI kama kamanda mriro NSSF umri anasema kuwa wale sio askari wake na video zinaonyesha naweza amini kuna baraka zote. Mbona simu za wizi zina kamatwa au wale matapeli wanao tumia namba za simu. Tusifike mbali hivi tukio likitokea mbona mnajua mawasiliano na namba zao. Je...
  19. Unapewa namba na mrembo kuisave True caller inaitambua ...Tinder alfu ya pili ....Badoo...Utaendelea naye ?

    Niaje wakubwa Ni Asubuhi njema na kupendeza, kumekucha kumepambazuka. Eeeh bhana nikiwa kwenye harakati za hapa na pale akapita mdada mrembo aseee. Macho yangu hayakuweza kukatika kwake na nikaona ameingia kwenye mgahawa kupata chakula. Basi namimi mtoto wa kiume nikamfuata.. Nimemsemesha akawa...
  20. Namba ya nani hii?

    Nimepgiwaa na namba + 25509000010000 sijapokea ila nimeshindwa kuitambua.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…