namba

Namba (難波, Nanba, IPA: [namba]) is a district of Osaka, Japan. It is located in Chūō and Naniwa wards. Namba is regarded as the center of so-called Minami ("South") area of Osaka. Its name is one of variations on the former name of Osaka, Naniwa. Namba is best known as the city's main south-central railway terminus: JR, Kintetsu, Nankai, Hanshin, and three Osaka Metro subway lines have stations there.
Some of the most famous images of Osaka, including the Glico Man and the Kani Doraku Crab, are located around the Dōtonbori canal in Namba. Namba is also known as an entertainment district, and hosts many of the city's most popular bars, restaurants, nightclubs, arcades, and pachinko parlors. The area is also known for shopping, with the Takashimaya department store (for older styles) and the sprawling underground Namba City shopping mall (for newer styles).
Namba Parks is a new development consisting of a high office building, called "Parks Tower," and a 120-tenant shopping mall with rooftop garden. Various kinds of restaurants (Japanese, Korean, Italian, etc.) are located on the 6th floor, and shops on the 2nd to 5th floors. Parks Garden features enough greenery to help visitors forget that they’re in the middle of the city. There is also an amphitheater for live shows, as well as space for small personal vegetable gardens and wagon shops.
Namba was once the city of adult deliquents.Now,namba gathers some of the young deliquents.
There are sex trade shops and discos,but namba is also the pub restaurants city.
The namba's amusing commerce culture gathers many people.
canals in osaka created the commere culture.namba was near the center of osaka in Edo.
namba is also the center of owarai culture.
NMB48 bases in Namba.

View More On Wikipedia.org
  1. Naomba ufafanuzi wa namna ya kupata namba ya NACTE

    Habari ya mchana wapambanaji wenzangu, Husika na kichwa cha habari hapo juu naomba msaada namba ya NACTE nimejaribu kufanya malipo ya transcript ila najaribu kuingia kwenye website yao ni request transcript nashindwa nimejaribu kutumia namba ya mtihan ya chuo pia inakataa. Msaada tafadhali
  2. D

    Wenye magari namba (A) tuwe waungwana tuyatoe barabarani ili TRA warudi kusajili (A) tena itakapo jaa namba D

    Katika utaratibu wa maisha Africa inabidi tujifunze kujiwekea kikomo! Ili tuendane na ulimwengu lazima tujifunze kubadilika! Nikimnukuu bwana Newton mwanasayansi msomi aliwahi kusema kwamba (Kila kitu hubaki kilivyo au kwenye mwendo hadi pale nguvu hasi itakapotumika) Hii inamaanisha kwamba...
  3. C

    Baada ya kumbamiza Mnamibia, Mwakinyo apanda chati za ubora duniani hadi namba 13

    Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amepanda rank na kuwa nafasi ya 13 katika Ubora wa Mabondia duniani katika uzito wake wa super welterweight. Mwakinyo amepanda kutoka nafasi ya 24 aliyokuwa awali kabla ya kumpiga Bondia Julius Indongo wa Namibia kwa TKO round ya nne kwenye pambano la round 12...
  4. Wakazi wa Shinyanga piga namba hizi kama una changamoto ya cheti cha UVIKO-19

  5. Ronaldo apewa jezi namba 7 na Cavani kuchukua namba 21 Manchester United

    Jezi namba 7 pale katika viunga vya Old Traford Manchester United huwa inajulikana ni ya nani 😇 Ronaldo na tayari kachukua namba yake huenda Cavan akavaa jezi namba 21 ambayo anaitumia timu taifa na kwenye vilabu vingine alivyochezea. Mwanzo jezi namba 21 pale Man United alikuwa akiitumia...
  6. S

    Ni vyema Wizara ya Fedha ikajua kuwa uhalisia wa matumizi ya tozo sio maneno ya namba watanzania wanasubiri kuona

    Ni kama vile watanzania wamekubali yaishe , japo malalamiko mengi bado yanaendelea katika mitandao ya kijamii , huku serikali ikijitahidi kuwaaminisha watanzania juu ya matumizi ya tozo zinazowaumiza kila kukicha . Kumekuwa na kupiga kwingi kwa kelele katika vyombo vya habari huku wizara ya...
  7. D

    Maoni yangu; Ni afadhali utoe namba yako ya siri ya benki au simu kwa ndugu kuliko kuificha kama tunavyoambiwa na benki, faida hupata wao zaidi ukifa

    Ule ushauri wa mabenki na makampuni ya simu kwamba Namba yako ya siri ni siri yako usimpe hata unayemwamini ni mbaya sana! Ukitaka kujua ule ushauri ni mbaya fatilia mirathi ya ndugu ndipo utajua ulikuwa hujui! Hata ukifuata taratibu zote za mirathi usumbufu uko palepale, kwanza usumbufu...
  8. Kuna ulazima wa kubadilisha namba ya simu baada ya harusi?

    Hivi kuna ulazima wowote wa kubadilisha namba ya simu baada tu ya kuoana? Nyie mnaobadilisha sababu gani inawafanya mbadilishe namba zenu za simu?
  9. SoC01 Kwa jinsi namba D 'zilivyotutesa', zikianza namba E, tufanye mabadiliko haya

    Ukisoma chapisho la Profesa wa uchumi, ndg George Akerlof, lijulikanalo kama 'market for lemons' utaona anavyofafanua juu ya ugumu wa kupata gari bora pale unaponunua gari lililotumika hasa kutokana na taarifa mbonyeo (information assymetry) anazokuwa nazo mnunuzi ukilinganisha na muuzaji ambaye...
  10. Kusajili dini ni kinyume cha Katiba ya nchi kifungu namba 19

    Serikali haina mamlaka ya kusajili dini ni kinyume cha katiba ya nchi kifungu cha 19 hiki hapa nanukuu 19.-(1) Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, imani na uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa mtu kubadilisha dini au imani yake. (2) Bila ya...
  11. Tatizo nyota au? Ni wiki sasa Jealous ya Alikiba haijashika namba 1 trending licha ya views nyingi

    Mmakonde kaamua kumkata matumaini kabisa Binafsi nashangaa kuona hii ni video ya pili mfululizo ya kiba haijafika kilele cha trending, Nahisi ni sababu Ali kiba kaanza kulipia matangazo ya kulipia fb na insta ya sponsored (kama la kwenye picha ya chini), haya matangazo unaweza kuchagya...
  12. Kununua Luku inasema mita namba haipo

    Luku tanesco vipi mmeanza zengwe Tena mbona nanunua umeme inakataa inasema mita namba haipo? Natumia tigo.
  13. Nijue, ishi na mimi: Ahadi namba 5 ya Mwanachama wa CCM

    NIJUE, ISHI NA MIMI: AHADI NAMBA 5 YA MWANACHAMA WA CCM. NIJUE, ISHI NA MIMI: AHADI NAMBA 5 YA MWANACHAMA WA CCM "Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu." Ahadi namba 5 inasisitiza kuwa uongozi ni utumishi kwa wananchi na sio manufaa kwa mtu binafsi...
  14. Tafakuri: Gaidi Nambari Moja likihutubia taifa mbele ya Rais

    Kuna vitu vinafurahisha sana. Vijana wanasema "Tanzania Sihami" Video: "Gaidi numero uno akihutubia taifa mbele ya Rais. Ouagadougou, Burkina Faso 1573 BC (Terrorist number one addressing the nation in front of the President. Ouagadougou, Burkina Faso 1573 BC)" - J. Msangi
  15. Car4Sale RAV4L Namba A inauzwa: Dar es salaam

    Haina tatizo lolote bei: 4.5 mil nipigie/sms 0625750755
  16. SoC01 Namna ya kuuza Kipaji, Ujuzi au Taaluma yako

    Ni wazi kuwa kwa sasa kuna tatizo kubwa la ajira nchini. Ni jambo la kawaida kabisa Watu 1000 kugombea nafasi tano za kazi. Rejea Ajira za Elimu na Aya zilizotolewa na Tamisemi mwaka Huu 2021. Pamoja na changamoto nyingi za Kujiajiri lakini tunaweza kuanza taratibu hatimaye Kujiajiri kupitia...
  17. Ushauri wangu juu ya kurejesha namba ya simu iliyopotea au kuibwa

    Kumekuwa na utaratibu wa kwenda polisi pindi mteja wa mtandao wa sim anapo potelewa ama kuibiwa sim yake ili kurejesha namba yake. Wata zania awapendi usumbufu pia tuna haiba ya woga, kwaiyo lipokuja suala la kwenda polisi kwa sababu kupotelewa na laini ya sim linakuwa changamoto kubwa sana...
  18. Ushauri wangu juu ya kurejesha namba ya simu iliyopotea au kuibwa

    Kumekuwa na utaratibu wa kwenda polisi pindi mteja wa mtandao wa simu anapo potelewa ama kuibiwa simu yake ili kurejesha namba yake. Watanzania hawapendi usumbufu pia tuna haiba ya woga, kwa hiyo lipokuja suala la kwenda polisi kwa sababu kupotelewa na laini ya simu linakuwa changamoto kubwa...
  19. Bado Mo Dewji ndiye tajiri namba moja nchini?

    Kwa Mambo makubwa makubwa anayoyafanya Mzee Bakhressa kwenye soka letu naamini ni kichekesho cha Mwaka kuamini Mo Dewji ndie tajiri namba moja nchini. Kimsingi orodha ya Matajiri nchini inapaswa kuwa hivi... 1. Said Salim Bakhressa 2. Said Salim Bakhressa 3. Said Salim Bakhressa 4. Said...
  20. Ndombolo na saluti zote zimeshindwa kuwa namba moja youtube trending, tatizo nini?

    Imekuwa shughuli pevu kwa king (mfakme) kupata taji la namba 1 huko youtube Hapo wiki mbilizilizopita zuchu alimuwekea kauzibe king kiba, Ndomboloo ikashindwa kukamata namba moja Saizi kaachia salute lakini wapi, kuna uwezekano mkubwa wa zuchu kushika namba mbili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…