Ushauri wangu juu ya kurejesha namba ya simu iliyopotea au kuibwa

Jul 14, 2021
25
26
Kumekuwa na utaratibu wa kwenda polisi pindi mteja wa mtandao wa sim anapo potelewa ama kuibiwa sim yake ili kurejesha namba yake. Wata zania awapendi usumbufu pia tuna haiba ya woga, kwaiyo lipokuja suala la kwenda polisi kwa sababu kupotelewa na laini ya sim linakuwa changamoto kubwa sana.

Kutokana na hali hii watanzania wapoteza vitu vingi sana ambavyo vina umuhimu mkubwa kwao moja kupotezana na ndugu zao mana wanapopoteza lain zao awaendi polisi kupata loose riport ili walejeshewe namba zao za awali bali usajili mpya.

Pia kwenye lain ambazo wamepoteza huwa kuna kuwa na pesa japo inawezakana si nnyingi kwa mmoja mmoja ila zikikusanywa huwa nyingi, pesa hizi zote unufaika makampuni ya simu.

Nashauri kwenye ofisi zote za makampuni ya sim kuwe na kitengo kidogo cha polisi hili kuwarahisishia wateja kwenda hadi polisi kupata hizi loose riport.
 
Back
Top Bottom