namba

Namba (難波, Nanba, IPA: [namba]) is a district of Osaka, Japan. It is located in Chūō and Naniwa wards. Namba is regarded as the center of so-called Minami ("South") area of Osaka. Its name is one of variations on the former name of Osaka, Naniwa. Namba is best known as the city's main south-central railway terminus: JR, Kintetsu, Nankai, Hanshin, and three Osaka Metro subway lines have stations there.
Some of the most famous images of Osaka, including the Glico Man and the Kani Doraku Crab, are located around the Dōtonbori canal in Namba. Namba is also known as an entertainment district, and hosts many of the city's most popular bars, restaurants, nightclubs, arcades, and pachinko parlors. The area is also known for shopping, with the Takashimaya department store (for older styles) and the sprawling underground Namba City shopping mall (for newer styles).
Namba Parks is a new development consisting of a high office building, called "Parks Tower," and a 120-tenant shopping mall with rooftop garden. Various kinds of restaurants (Japanese, Korean, Italian, etc.) are located on the 6th floor, and shops on the 2nd to 5th floors. Parks Garden features enough greenery to help visitors forget that they’re in the middle of the city. There is also an amphitheater for live shows, as well as space for small personal vegetable gardens and wagon shops.
Namba was once the city of adult deliquents.Now,namba gathers some of the young deliquents.
There are sex trade shops and discos,but namba is also the pub restaurants city.
The namba's amusing commerce culture gathers many people.
canals in osaka created the commere culture.namba was near the center of osaka in Edo.
namba is also the center of owarai culture.
NMB48 bases in Namba.

View More On Wikipedia.org
  1. Naomba namba ya dharura ya LATRA/SUMATRA

    wadau naomba msaada namba ya dharura ya latra au sumatar mkoa wa dar es salaam,makondakta wanatukomesha sana..
  2. Y

    INAUZWA Nauza Bajaji Namba B

    Bajaji Bei 1.5M, Iko vzur engine iko vzur, njoo ukague ulipie uondoke nayo mawasiliano 0693 794 907 location Dar es salaam Airport N.B haijaenda body.
  3. Kinondoni Real Estate Workshop Namba 1

    District Real Estate Workshop ni kozi maalumu kwa wanachama wa makundi yetu ya TZ REAL ESTATE TEAM (TRT) kwa ajili ya kuchambua taarifa na maarifa kuangazia fursa zipatikanazo katika wilaya husika. Siri ya kukutana na bahati ya fursa kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo inatokana na uelewa wa...
  4. Simba haikucheza vizuri, Wydad ni mbovu na kutafuta namba kwa Benchika

    Anaesema Simba ilicheza vizuri dhidi ya Wydad ninamshangaa sana tena sana. Wydad kufungwa na kila timu kwenye mechi mbili za kundi lake kuliwapa matumaini wachezaji wa Simba kuwa hata wao wangeweza kuifunga Wydad, hivyo walijitahidi tu kucheza mbele ya kocha wao mpya ili wapate matokeo pia kama...
  5. Maoni yangu: Chama ndiye anayestahili kucheza namba 10 na sio Ntibanzonkiza!

    Ntibanzonkiza ukimwangalia kwa jicho la ndani Hana msaada kwa Simba kwa namba 10 anayocheza, hivyo anampa wakati mgumu Baleke kupata mipira kazi za kumpa mipira Baleke anaiweza Chama only! Ntibanzonkiza anafanya sana back pass na akiwa na mpira kwenda golini ni rahisi Sana kupoteza hivyo kwa...
  6. B

    Prof. Makame Mbarawa - Upanuzi wa Airport za Arusha, Lindi, Mwanza pia mwekezaji gati namba 8 bandari ya DSM apatikana

    08 December 2023 Arusha, Tanzania 16th Joint Transport Sector Review Meeting Hayo yamejiri leo katika mkutano wa 16 unaohusisha wadau wa sekta ya Uchukuzi ukiotayarishwa kwa pamoja baina ya Wizara ya Uchukuzi kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Tawala wa Mikoa na serikali za mitaa ( TAMISEMI /...
  7. FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

    Mechi za hatua ya Makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika kuendelea tena leo tarehe 08.07.2023 Yanga kutoka katika kundi D watakuwa ugenini kumenyana na Madeama ya nchini Ghana. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 1:00 jioni katika uwanja wa Baba Yara nchini Ghana. Je, wawakilishi hawa wa Tanzania...
  8. Naomba mawasiliano ya Maafisa hawa wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, Mara

    Kwa mwenye nazo naomba anisaidie namba za simu za Mkurugenzi Rorya DC, Afisa Utumishi Rorya, Afisa Elimu Secondary na kama unazo za staff wengine nitashukuru ukishea nami, ninashida nazo. Natanguliza shukrani zangu.
  9. Nashindwa kusajili namba ya pili WhatsApp

    Wakuu habari zenu. Ninajambo naomba msaada. Ninataka kusajili whatsapp namba ya 3 kwenye simu yangu. 2 nishaweka yani whatsapp na WA Business. Hii ya tatu imekuwa kipengele wiki jana yote imekuwa nikizaa zaa. namba ya 3 imekuwa banned zaid ya mara 4. Nimejaribu kutumia clone apps/duo apps/...
  10. Kuna ngoma za 1. Harmonize, Jux & Marioo: 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody:na 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso, utasikiliza namba ngapi?

    Mezani kuna 'Playlist' ya Nyota hawa wa Bongo Flava 1. Harmonize, Jux & Marioo 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso Utasikiliza kundi namba ngapi?
  11. Msaada: Whatsap wamenilog out namba yangu bila kosa

    Wakuu habari Leo asubuhi nimekuta notification kwamba namba yangu imewekwa nje ya whatsap (log out) Nilipoifungua nikakuta ujumbe namba yangu hairuhusiwi kutumia whatsap. Nashangaa tatizo ni nini? Sijawahi kutumia versions zingine za whatsap kama GB au Yo. Kuna watu wamenireport vibaya ama? Too...
  12. Yanga bila kupata mshambuliaji namba 9 haiendi popote

    Tuache kujipa moyo eti mfumo wetu tunaweza shinda bila namba 9 mwenye quality ya juu. Pengo linaonekana harry kane au haaland anahitajika. Hakuna timu duniani imechukua kombe kubwa bila kuwa na namba 9 wa maana. Mzize, Konkoni na Musonda wameprove failure.
  13. Al Ahly waweka wazi Simba ni Club namba moja Tanzania, Yanga ni ya pili

    Hapo vip! Leo ilikuwa nawasikiliza waandishi wa habari walijaribu kuwahoji wachezaji wa ALLy Ahlly dhini ya kujuaa ukubwa wa Simba cl na yanga. Wachezaji wa Ally Ahly wamesea hawajawahi kukutana na yanga kwasababu ni timu ndogo ila kwa tanzania ni maarufu,wakasema timu kubwa wanaoijua Tanzania...
  14. Ukweli usemwe: Zuchu ndio supastaa wa kike namba moja kwa sasa Tanzania

    Kuna wakati ni busara kuukubali ukweli hata kama unakuumiza. Zuchu ndio supastaa namba moja Tanzania kwa wanawake. Ndio mwanamke very powerful na mwenye ushawishi zaidi ya wote ukimtoa Rais. Kingine ndio demu wa Diamond Platnumz hata kama kuna watu wanaumia wanamshambulia sana haswa wanawake...
  15. Faida nilizopata baada ya kujitolea kuwapa wajasiriamali wenzangu namba za machimbo ninayonunulia vitu nchini China

    Jikumbushe kwanza huu uzi; https://www.jamiiforums.com/threads/ninajitolea-kutoa-namba-za-machimbo-ya-china-kwa-wapambanaji-wenzangu.2137915/ Nia yangu ilikuwa kusaidiana bila kujali kupata chochote baada ya hapo ila katika hali ya kushangaza baadhi ya wachina ambao tumeshakuwa marafiki sana...
  16. Huku Mtwara msimamo wa watu maarufu uko tofauti kidogo namba 1. Misso Misondo, 2. Harmonize, 3. Chibu, 4. Alikiba

    Aisee hii Tanzania ni kubwa sana, niko Mtwara linapokuja suala la burudani kwa mikoa ya Lindi na Mtwara hamna mtu aneyemfikia Dj Missondo kwa kusepa na kijiji. Huyu jamaa akiwa sehemu anafanya yake hamna msanii yoyote atayethubutu kufanya show, maana itakuwa hasara. Kwa huku Mtwara, msimamo wa...
  17. D

    Wale Matapeli wa "ile pesa tuma kwenye namba hii" Wanakula na baadhi ya wahudumu wa mitandao ya simu

    Amini nawaambieni! Wale matapeli wa ile pesa tuma kwenye namba hii wanapata taarifa kutoka kwa baadhi watoa huduma ya simu wasiokuwa waaminifu! Ukitaka kujua hilo! "Ongea dili lolote na mtu kwa simu mufanye kama mnapatana na kuelekezana kwamba akutumie" Baada ya kumaliza mazungumzo utashangaa...
  18. Usiombe namba ya mwanamke Kwa lengo la masihara

    Habar za muda huu ndugu zangu, Kwa tulipofikia sasa, usijaribu kumuomba namba mwanamke kwa lengo la utani au kujaribu kutest zali, na ukijaribu kufanya hivyo bas ujue atakuganda hadi ujute kwanini ulichukua namba yake.
  19. Zile risiti za baa mnazopewa na namba za simu msizidharau, zifanyieni kazi

    Kumezuka na wimbi jipya ingawa kwangu la zamani kidogo Ukienda sehemu ya kula na kunywa wakati wa kulipa unapewa billi Kwa juu imeandikwaa namba yanguu ni hii hapa. Kuna mdada leo amepatata kazi. Nilijaribu kumwombea kazi sehemu mbali mbali leo alipiga mchana njoo sehemu nikauliza kuna shida...
  20. Yanga Yapaa Ubora wa Viwango, Yashika Namba 4 Afrika, Yawabwaga Simba, Mamelodi

    Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania klabu ya Yanga inashika nafasi ya 4 kwa Afrika na 53 duniani kutoka 60 huku Simba ikishika nafasi ya 13 Afrika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…