naibu spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    RC Queen Sendiga ampongeza Mbunge wa Babati (V) Daniel Sillo kuwa Naibu spika wa Bunge

    Wananchi wa Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Queen Sendiga, wamepongeza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumchagua Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini, Daniel Sillo, kuwa Naibu Spika wa Bunge. Sendiga amesema kuaminiwa kwa Sillo ni heshima kubwa kwa...
  2. DuaZaMama

    PostGE2025 Daniel Sillo achaguliwa kuwa Naibu Spika Mpya wa Bunge kwa kura 371

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamemchagua Mbunge wa Babati Vijijini, Daniel Sillo kuwa Naibu Spika wa Bunge. Sillo amechaguliwa leo Novemba 13, 2025 kwa kupata kura zote za ndio (371) zilizopigwa na wabunge huku akiwa mgombea pekee aliyegombea nafasi hiyo. Tayari Sillo...
  3. Waufukweni

    Naibu Spika, Zungu: Marufuku kuvaa sare za Chama bungeni

    Katika kusimamia mavazi rasmi ya wabunge, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge imebaini kuwa baadhi ya wanaoingia maeneo ya Bunge huvaa sare zinazoashiria au kuzoeleka kuvaliwa na wafuasi au mashabiki wa vyama vya siasa kwa alama, nembo, maandishi ambavyo hutafsiriwa kwa jina, alama...
  4. S

    Kauli ya Dr Tulia kuwa wabunge walipochangia mtafaruku wa Tanzania na Kenya walikiuka maadili na kanuni za Bunge umeonyesha Naibu Spika hafai kabisa!

    Naibu Spika, alisimamia michango ya "waheshimiwa" Wabunge walipokuwa wakibwabwaja na kutoa kauli za kitoto na kijinga katika suala lililoanzishwa na Raisi Samia kuhusu wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania. Wakati huo Dr Tulia hakuwapo bungeni. Wengi wetu tulishitushwa sana na kauli zilizotolewa...
  5. Just Pray

    PreGE2025 Naibu spika: Tume ya sasa ni bora kuliko iliyowapa upinzani ushindi 2015

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ameviita vyama vya upinzani nchini Tanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, akieleza kuwa hata mabadiliko wanayoyataka na kuyahimiza ya kisheria na kimfumo yatapatikana ndani ya bunge hilo na siyo...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Naibu Spika Zungu: Tume ya sasa ni bora kuliko iliwapa wapinzani ushindi 2015

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ameviita vyama vya upinzani nchini Tanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, akieleza kuwa hata mabadiliko wanayoyataka na kuyahimiza ya kisheria na kimfumo yatapatikana ndani ya bunge hilo na siyo...
  7. Just Pray

    Naibu spika: Bado gharama za matibabu zinawasumbua wananchi, ataka madaktari na watumishi kuwa na utu

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu ametoa wito kwa madaktari na wauguzi kote nchini kuwa na utu wanapowahudumia wagonjwa, hususan wale wanaoshindwa kulipia gharama za matibabu kwa wakati. Akizungumza bungeni leo Alhamisi Aprili 17, 2025 wakati wa kipindi cha...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Mbunge awasilisha hoja ya dharura kwa Naibu Spika bunge lijadili penati za Simba! Wakati hoja ya Utekaji ilipigwa stop!

    Wakuu mnakumbuka hoja ilipowasilishwa bungeni ili kujadili kuhusu masuala ya usalama nchini na utekaji uliokithiri mpaka kusababisha kifo cha Ali Kibao? Nini kilitokea? Tulia alishupaza shingo, utekaji likawa jambo la kipuuzi, ambalo halifai kwenda kwa hati ya dharura, halafu hapa kila mbunge...
  9. upupu255

    PreGE2025 Naibu Spika, Mussa Zungu: Yaliyoonekana kuwa magumu yamewezekana kwa Rais Samia

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu kwaniaba ya Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson leo Machi 17, 2025 amesema ndani ya miezi minne ya Rais Samia Suluhu Hassan mambo mengo yaliyokuwa yameshindikana yamefanyika ikiwemo maandalizi na uzinduzi wa sera ya Ardhi...
  10. J

    PreGE2025 Naibu Spika Mussa Zungu awaasa wabunge wasiogope kurudi majimboni. Awataka wapange maneno ya kwenda kusema majimboni

    Naibu Sipika wa Bunge, Mussa Zungu amewataka wabunge wasiogope kurudi majimboni kwani kuna miradi mingi ya kuzungumzia na kuwa wameonyesha wana sifa za kurudi bungeni 2025. “Niwapongeze wabunge kwa kazi nzuri mliyofanya kipindi hiki chote ambacho tuko bungeni, mmeonyesha umahiri wenu na...
  11. I

    Naibu Spika, Zungu: Kuna nyumba za ICU zina chaji Tsh. 500,000 bila dawa

    Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu ametoa rai kwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)–Hospitali ya Dar Group kutotoza gharama zisizo himilivu kwa wananchi wanaohitaji usaidizi wa huduma za oksijeni. Kauli hiyo ametoa Julai 29, 2024 wakati wa uzinduzi...
  12. BARD AI

    Naibu Spika: Kuna watumishi wa TASAF bado wanaingiza ndugu zao kwenye Malipo

    DODOMA: Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema kuna Watu wasio na sifa lakini wameingizwa kwenye Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) kinyume na malengo ya mpango huo. Akijibu taarifa iliyotolewa na Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
  13. Mjanja M1

    Naibu Spika Zungu: Bodaboda wanakatisha tamaa, wasimamishwe

    "Suala la bodaboda ni kero kubwa sana na hasa katika utumiaji wa sheria za barabara, mimi ni mtetetezi mkubwa sana wa bodaboda lakini matumizi yao kwenye barabara yanakatisha tamaa lazima muwe na mkakati maalum wa kudhibiti ajali wanazozifanya na lazima muwe na sheria kali za kuwadhibiti na hata...
  14. K

    Kauli ya Naibu Spika kwa Waitara siyo ya kiungwana

    Leo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini". Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa chini siyo lugha ya kiungwana na hii inaonyesha ubabe wa Naibu Spika. Unapokuwa Bungeni unatakiwa...
  15. FaizaFoxy

    Mheshimiwa Spika na Naibu Spika tazameni "Dress codes" za bungeni

    Leo 30/08/2023 kuna Mbunge Mwanamke simfahamu jina lake, nilikuwa namuona kaketi nyuma wakati Nape anawasilisha kutokea kwenye "podium", amevaa "evening dress" ya kifua wazi bungeni. Ni aibu kwa Bunge letu ikiwa wabunge hata "dress codes" hawaelewi, wawe wanakwenda wabobezi wa mitindo...
  16. BARD AI

    Naibu Spika: Watu wanaugua kwa Makelele ya Muziki

    NAIBU Spika Mussa Azan Zungu ameitaka serikali kupitia Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kudhibiti kelele hasa za muziki katika makazi ya watu ambazo zimegeuka kero kwa wakazi. “Wazee wengi wanateseka na makelele ambayo hayana udhibiti (control). Tuwaombe NEMC mchukue...
  17. El Roi

    Naibu Spika Zungu, ongoza vikao na acha ukiranja

    Nikiri kwanza kwamba, baada ya uchaguzi mkuu uliopita 2020, morale ya kufuatilia siasa za nchi hii imeshuka sana kwangu, ukiachia mbali kufuatilia bunge lenyewe. Namna siasa zinavyotafsiriwa na kufanywa kwenye nchi hii, haitii raha kabisa, kama tunakuwa wakweli wa dhamira zetu. Tunamuomba tu...
  18. Mystery

    Naibu Spika Zungu anapolalamika kuwa makampuni ya simu na mabenki yanawatoza wateja pesa nyingi, je anajua gharama za uendeshaji wa makampuni hayo?

    Tumemsikia Naibu Spika, Mussa Zungu, akielezea kuhusu tozo zilizolalamikiwa Sana na wananchi, hadi Serikali ikasalimu amri na kuahidi kuzipunguza tozo hizo kuanzia tarehe 1 mwezi ujayo. Katika maelezo yake alidai eti wananchi wanachujua ni kuilalamikia Serikali kuhusu tozo wanazotoza kwenye...
  19. Nyendo

    Naibu Spika afafanua kuhusu Benki na Kampuni za Simu hukata pesa nyingi kuliko Serikali

    Amesema aligundua kuwa anapofanya miamala Serikali huchukua pesa kidogo kuliko bank au makampuni ya simu. Ametaka Serikali ifanye utafiti kuona kama kiwango wanachokata kiko sahihi au kunahitajika mabadiliko. Pia soma:Naibu Spika ashauri Serikali kudhibiti makato ya Mabenki na Kampuni za Simu...
  20. NetMaster

    Hawajamaliza: Mabando ya data kupanda tena upya, Naibu spika ampa kibarua Nnape kupandisha gharama

    Bado hawajamaliza, Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe.Nape Nnauye, kuona namna watakavyoweza kushirikiana na Wizara ya Fedha, kuja na mfumo thabiti utakachochea ongezeko la mapato ya serikali kupitia matumizi...
Back
Top Bottom