nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufungua saloon Kimara

    Naombeni ushauri wenu ndugu zangu, nina 1.5m nafikiria kufungua Saloon ya kiume maeneo ya Kimara. Je zipi ni changamoto zake na faida za kufanya biashara ya namna hii.
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji mwekezaji tunaeweza fanya biashara pamoja kwenye idea yangu ya bidhaa 6 awepo Dar es Salaam

    Kama kichwa kinavosema wakuu Nahitaji mtu anaweza akawekeza Kwenye hili wazo la biashara.WAZO LENYEWE LIPO HIVIπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Lengo kubwa nikuwasaidia wauza migahawa kuendesha biashara zao hata kama hawana mtaji na lakini pia kutanua biashara zao.Ipo hivi mama ntilie anavoamka asubuhi atataka kununua...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua gari aina ya Toyota Alphard naomba ushauri

    Wakuu habari, Naomba ushauri wenu nahitaji kununua gari aina ya toyota alphard ya kuanzia mwaka 2006, Sina uzoefu na magari, katika bei ,ulaji wa mafuta, nk. πŸ™
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine ya kukandia ngano

    Habari wana nzengo. Nahitaji mashine used ya kukandia ngano (dough mixer) kilo 25, 3phase ISIWE kutoka China. Tuwasiliane hapa 0765390255. Karibuni
  5. JamiiForums Tanzania Tangu nikiwa mdogo nimekuwa na ndoto za kuwa askari (mwanajeshi)

    Habari zenu wanaJF? Tangu nikiwa mdogo nimekuwa na ndoto za kuwa askari (mwanajeshi), lakini dunia ina mambo mengi, mpaka sasa nimeshindwa kutimiza ndoto hiyo. Nimeajiriwa lakini sina furaha, why? Kwasababu nafanya kitu ambacho hakipo moyoni mwangu. Kwasasa nina umri wa miaka 29, kwa umri...
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji Shower Mixer Nzuri

    Wadau wa majumba naombeni ushauri nahitaj shower mixer nzuri Je ni wapi naweza kupata kwa hapa Dsm at affordable price but quality
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji Website/Blog yenye matangazo ya Adsense yakifanya kazi

    Wakuu nahitaji website au blog yenye matangazo ya Google Adsense yakiwa hayana shida yeyote, kwa aliyenayo naomba tuwasiliane Njoo WhatsApp http://wa.link/c951p8
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

    Sipendi kudanganya na kuficha nina Maisha magumu na napitia Changamoto kadhaa za Kimaisha, ila naamini nikimpata Mwanamke mwenye hali kama yangu na tukapendana, kushirikiana, tukapambana na kumuomba Mwenyezi Mungu bila Kuchoka basi Umasikini wetu utabadilika na Mafanikio kutupata. Naitwa...
  9. I

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI TONNER 616 C na 622Y

    Habari Wana Jamie forum Nahitaji msaada kwa mwenye Tonner za rangi nne 1.616c Tonner ndogo 2.622Y tonner kubwa Naomba bei pia nitumie picha kuhakikisha kama ni wenyewe Nahitaji Box 100 plus Naweza kufuata au ukanitumia itategemeana na makubaliano yetu Nauhitaji haraka iwezekanavyo...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji chumba Self cha Kupanga Arusha

    Habari Natafuta chumba cha kupanga Arusha, maeneo ya Moshono au Njiro. Kiwe chumba kimmoja ambacho ni self , kiwe kina nafasi na jiko dogo Chumba kiwe katika mazira masafi yenye ulinzi na karibu na barabara. Budget ni 100k
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji rafiki mwanamke

    Sifa Awe na umri wa miaka 33 na kuendelea Awe Muislam na anajitegemea (mfanyakazi/mfanya biashara) Asiwe kwenye Ndoa Sifa zingine karibu pm
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada toka kwenu wataalamu na mafreelancer

    Kuna DOGO kamaliza form4 hivyo nataka nimwezeshe biashara ya kuuza vifurushi vya dk,mb,sms vya mitandao yoote na kuuza LUKUU ya umeme visiwe vya kukwangua vocha Bali kutumia mashine (SIJUI NI MASHINE GANI INAFAA) Pia awe analipia ving'amuzi. Pia awe anasajili laini (SIJUI NI MASHINE GANI...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mbia kwenye biashara ya kuuza asali Kenya

    Habari wadau, ninahitaji mfanyabiashara wa asali au mfugaji wa nyuki ambae ana vibali stahiki vya kuuza na kusafirisha maana nina wafanyabiashara wapo kenya wanasafirisha asali kwenda dubai n.K, hvyo nahtaji mtu wa kushirikiana nae soko tayari lipo ila mim sina mtaji na utaalam wa kuitambua...
  14. JamiiForums Tanzania Habari zenu.. nahitaji ISP hapa mwanza

    Ndugu zangu nina uhitaji wa internet nyumbani.. nahitaji kujua internet provider wa hapa mwanza. Mm nipo bwiru press
  15. JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kunitengenezea App ya android kwaajili ya blog yangu

    kama nilivyozungumza hapo katika kichwa cha chapisho mimi ni mmiliki wa blog ya michezo, nahitaji mtu atakae weza kunitengenezea app ya android ambayo itakuwa ina sehemu ya live score pamoja na sehemu ya kusikilizia radio, blog yangu ni hii www.binruwehy.blogspot.com ipo katika platform ya blogger
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji Usafiri wa IT kwenda Dodoma

    Nahitaji usafiri wa Gari za IT nahitaji niondoke saa 3 usiku na kufika Dodoma saa 12 asubuhi, kuna issue ya saa 2:30 Asante waugwana nimefanikiwa kupata Coster pale Mbezi nimeanza safari saa 4 usiku nikeingia Dom saa 11:00 Nimemalizana na jambo langu nipo njiani kurudi jijini Dar.
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji mafuta ya nazi kuanzia lita 1000

    Nahitaji mafuta ya nazi in bulky kuanzia lita 1000 na kuendelea,aliyenayo atoe offer yake
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji kitabu cha KAMASUTRA nakipata wapi?

    Nakitafuta hicho kitabu mazee na je kimeandikwa na nani, mapenzi yatatuua mwaka huu maana huyu demu ni muarabu sasa nataka niipeperushe vyema bendera ya Tanzania. Naipenda sana nchi yangu na siko tayari kuidhalilisha kwa namna yoyote ile hasa katika nyanja ya papuching. Itakua machozi jasho na...
  19. JamiiForums Tanzania Nahitaji UI/UX designer wa wireframes

    Habari wakuu? Heri ya mwaka mpya. Niende moja kwa moja kwenye mada,ni hivi ninahitaji mtu mwenye uwezo wa kutengeneza WIREFRAMES kisha azipeleke kwenye MOCKUPS halafu atengeneze CLICKABLE-PROTOTYPES. Kama una uwezo na upo tayari njoo DM. NB: Sio lazima uwe umesomea, as long as unauwezo wa...
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji mzoefu wa kuuza vitabu Amazon au site yoyote

    Habari. Nitalipia tuition. Piga au chat 0713-039875
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…